Jishindie vinono na PIKABOX; Mchezo rahisi, hela nyingi

Kwa PIKABOX ni lazima ushinde. Unashinda pesa rahisi kwa kucheza mchezo rahisi sana. Tunakutakia bahati nzuri unapojaribu.

Muhtasari
  • Mchezo wa PIKABOX umerudi kwa kishindo na safari hii ni mkubwa zaidi na umefanywa kuwa bora zaidi.
  • Kucheza mchezo hu ni rahisi kama A, B,C na kushinda hela nyingi ni kawaida. Maagizo pia ni rahisi, unachotakiwa kufanya ni kujiandikisha kwenye mchezo kwanza kwa kutuma neno 'BOX' kwa sms code 23 501.

Tuna furaha kubwa kuwatangazia kuwa mchezo wa kuvuna pesa nyingi wa ‘PIKABOX’ umerudi.

Mchezo wa PIKABOX umerudi kwa kishindo na safari hii ni mkubwa zaidi na umefanywa kuwa bora zaidi. Hii ni wewe unajichezea na unaweza kushinda hela nyingi zaidi!! Una control kwa simu yako !!!

Kucheza mchezo hu ni rahisi kama A, B,C na kushinda hela nyingi ni kawaida. Maagizo pia ni rahisi, unachotakiwa kufanya ni kujiandikisha kwenye mchezo kwanza kwa kutuma neno 'BOX' kwa sms code 23 501. Baada ya kukamilisha hatua rahisi, uko ndani ya mchezo na uko tayari kushinda vinono.

Mara tu unapojiandikisha, utahitaji kutuma nambari '0' kwa code ya sms 23 501 ili kupata visanduku vya kuchagua. Visanduku ni 1,2,3,4 na 5. CHUKUA kisanduku chako cha BAHATI kati ya tao hizo ili ushinde. Kisanduku cha kwanza kuchagua ni bila malipo na unaweza kujishindia pesa nyingi sana.

Baada ya kucheza kwa kutuma nambari ‘0’ kwa 23 501, kisha kuchukua box moja kati ya 1, 2, 3,4 ,5, utapata matokeo ya box 5 na ni LAZIMA Ushinde!!!

Hatua inayofuata baada ya kushinda ni kutoa pesa zako na kuanza kuzifurahia. Hatua hii pia ni rahisi kwani unachotakiwa kufanya ni kutuma neno ‘Toa’ likifuatiwa mara moja na kiasi cha pesa unachotaka kutoa, mfano Toa500. Tafadhali USIWEKE nafasi kati ya ‘Toa’ na kiasi cha pesa unazotoa.

Iwapo huwezi kupata box hizo, tafadhali piga simu kwa nambari yetu ya huduma kwa wateja ili upate mwongozo wa jinsi ya kufanya hivyo. Nambari ya usaidizi ni 0720 918 999.

Kwa wale ambao hawapati box, Piga: *100*5*2*5# . Utapata chaguzi chache. Jibu na 1. Sasa umejisali na kuwezeshwa. Baada ya kufanya hivyo, sasa unaweza kucheza PIKABOX kwa kutuma 0 kwa 23 661.

Kwa PIKABOX ni lazima ushinde. Unashinda pesa rahisi kwa kucheza mchezo rahisi sana. Tunakutakia bahati nzuri unapojaribu.