Kuwa on na ukuwe zone na Safaricom: Nyimbo 6 za Kenya zilizotazamwa zaidi kwenye YouTube

Usikose YouTube bundles bora zinazotolewa na Safaricom— bonyeza *544# na uanze kufurahia utazamaji bila kukatizwa leo.

Muhtasari
  • Ikiwa wewe ni mpenzi wa muziki ambaye hufurahia kutazama video kwenye YouTube, je, umewahi kujiuliza kuhusu nyimbo zilizotazwa zaidi za wasanii wa Kenya?
  • Ikiwa una wasiwasi kuhusu kukosa data wakati wa kutazama maudhui unayopenda kwenye YouTube, Safaricom imekusaidia.
Msanii wa kizazi kipya Otile Brown katika mahojiano ndani ya Radio Jambo.
Msanii wa kizazi kipya Otile Brown katika mahojiano ndani ya Radio Jambo.
Image: Radio Jambo (Facebook)

YouTube imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku kwa Wakenya wengi. Jukwaa hili la mitandao ya kijamii linatoa chaguo mbalimbali za maudhui ambayo yanakidhi ladha mbalimbali, kuanzia vlogu, vichekesho, michezo, ukaguzi wa magari, video za kupikia, ukaguzi wa vifaa na video za muziki. Chaguzi za burudani hazina mwisho.

Ikiwa wewe ni mpenzi wa muziki ambaye hufurahia kutazama video kwenye YouTube, je, umewahi kujiuliza kuhusu nyimbo zilizotazamwa zaidi za wasanii wa Kenya? Hizi hapa ni video 6 bora za muziki za wasanii wa Kenya ambazo zimetazamwa zaidi:

  1. "Dusuma" wa Otile Brown akimshirikisha Meddy - umetazamwa mara milioni 40.
  2. Wimbo wa Willy Paul wa "I Do" akimshirikisha Alaine - umetazamwa mara milioni 36.
  3. "Mmmh" ya Willy Paul akimshirikisha Rayvanny – umetazamwa mara milioni 35.
  4. "Melanin" ya Sauti Sol wakimshirikisha Patoranking - umetazamwa mara milioni 32.
  5. "Chaguo la Moyo" wa Otile Brown akimshirikisha Sanaipei Tande – umetazamwa mara milioni 31.
  6. "Suzanna" wa Sauti Sol - umetazamwa mara milioni 28.

Wasanii wengine wa Kenya ambao nyimbo zao zimetazamwa zaidi ya mara milioni 15 ni pamoja na Bahati na Nyashinski.

Tuna habari njema sio tu kwa wapenzi wa muziki, lakini kila Mkenya ambaye anafurahia maudhui ya YouTube kutoka kwa mastaa wanaowapenda. Ikiwa una wasiwasi kuhusu kukosa data wakati wa kutazama maudhui unayopenda kwenye YouTube, Safaricom imekusaidia. Safaricom, kwa ushirikiano na YouTube, inakupa YouTube bundles ambazo zinakuwezesha kutazama maudhui uyapendayo bila kukatizwa. Hivi ndivyo inavyofanya kazi:

  • Nunua bundle yoyote ya kila wiki ya Safaricom.
  • Pokea data zaidi 500MB za YouTube, BILA MALIPO kabisa!
  • Bonyeza *544# ili ununue YouTube bundles na ufurahie maudhui bila kukatizwa.

Ushirikiano huu kati ya Safaricom na YouTube unalenga kuwapa wanamitandao wa Kenya waliojisaji utazamaji maudhui ulioboreshwa, kuondoa wasiwasi kuhusu kupungua kwa data. Ni fursa nzuri ya kufahamiana na WanaYouTube unaowapenda bila kukatizwa.

Iwe wewe ni shabiki wa muziki, michezo, vichekesho, vlogu, ukaguzi wa magari au maudhui mengine yoyote, YouTube ndiyo nyumbani. Usikose YouTube bundles bora zinazotolewa na Safaricom— bonyeza *544# na uanze kufurahia utazamaji bila kukatizwa leo. Usisubiri tena, Kuwa On na ukuwe zone na Safaricom.