'Mimi ndio nina deni la shukrani kwa wakenya-Ruto'

Ruto:Uhuru hana deni langu ,hana deni la jamii yoyote

Deni nyingine yote hakuna ..tuachane na biashara hiyo ya madeni .

Muhtasari
  • Na mimi nataka niwaombe sisi wote tuache  kusumbuliwa na kusumbuana na madeni ya kisiasa.
  • Na mimi nataka niwaombe sisi wote tuache  kusumbuliwa na kusumbuana na madeni ya kisiasa.
Naibu wa rais William Ruto

Siku moja baada ya rais Uhuru  Kenyatta kusema kwamba hana deni la mtu yoyote naibu wake William Ruto amejitokeza kusema kwamba hamdai rais  lolote na kwamba yeye na  rais ndio wana deni la pamoja  ambalo wanafaa kuwalipa wakenya kwa kuhakikisha kwamba  wanatekeleza ahadi zote walizotoa wakati wa uchaguzi . Hii hapa hotuba yake nzima kuhusu suala hilo .

Naibu wa rais amejibu tamko la rais kenyatta kwamba hana deni la mtu yeyote kwa kusema kwamba naye hamdai yeyote..Hotuba yake nzima kama alivyoyasema hayo; 'Nakubaliana na rafiki yangu rais wa kenya .Ambaye anasema jana(Jumamosi) kwamba hana deni ya mtu na kwamba hana deni ya jamii yoyote ..hiyo ni ukweli mtupu …mimi wakati niliamua kumuunga mkono mheshimiwa uhuru Kenyatta ,sikumpa masharti yoyote ..sikumuambia namuunga mkono ndio aniunge mkono …. Hapana..nilimuunga mkono boila masharti…rais hana deni yangu ..hakuna jamii iko na deni yangu …hakuna mtu Kenya mwenye ako na deni ya mimi kama mwanasiasa …infact ni mimi nishukuru wakenya kwa sababu mimi sikuwa ni mtu wa kujulikani kiasi cha kuchaguliwa kama naibu wa rais ….kama kuna deni ni mimi niko na deni ya shukrani kwa wakenya walionipatia nafasi niwe naibu wa rais wa Jamhuri ya Kenya kupitioa kwa kura zao …. Na mimi nataka niwaombe sisi wote tuache kusumbuliwa na kusumbuana na madeni ya kisiasa..mimi nataka niulize sisi wote kila kiongozi sii tumechaguliwa ,tumepatiwa nafasi kw aneeema ya mwenyezimungu na kura za wananchi …hakuna mtu ako na deni ya mwingine ..na hii madeni ya kisiasa tuachane nazo..ile deni moja tu ambayo najua rais Uhuru Kenyatta ako nayo na mimi ni mshirika wa hiyo deni kwa sababu nilichaguliwa nay eye debe moja…ni deni ya kuwanganisha wakenya na kusimamia mambo ya maendeleo ya taifa letu la Kenya ,ya barabara,na stima,na maji na kuunganisha wakenya wote na kushughulika na mambo ya maendeleo .Hiyo ndio deni ambayo rais na mimi tuko nayo . na mimi nitasimama imara kuhakikisha kwamba hiyo deni inalipwa .na ndio kwa sababu mimi natetea perfeomance ya serikali ya jubilee kwa sababu mimi na rais tulichaguliwa siku moja kwa debe moja .Na hiyo deni rais ako nayo mimi ni mshrika kwa sababu hata na mimi nilichangia sehemu kubwa ya kufanya kampeini na kuunda serikali ya jubilee.Na hiyo deni nitahakikisha kwamba pale mimi nitaweza nitasaidia rais tulipe hiyo deni kwa wakenya .deni nyingine yote hakuna ..tuachane na biashara hiyo ya madeni .sisi kama wakenya tushukuru kwamba tumepata nafasi kati ya wakenya milioni 48 tumepata nafasi ya kuongoza taifa letu la Kenya awamu hii '

  Nakubaliana na rafiki yangu rais  wa kenya .Ambaye anasema jana(Jumamosi) kwamba hana deni ya mtu na kwamba hana deni ya jamii yoyote ..hiyo ni ukweli mtupu …mimi wakati niliamua kumuunga mkono  mheshimiwa uhuru Kenyatta ,sikumpa masharti yoyote ..sikumuambia namuunga mkono ndio aniunge mkono …. Hapana..nilimuunga mkono boila masharti…rais hana deni yangu ..hakuna jamii iko na deni yangu …hakuna mtu Kenya mwenye ako na deni ya mimi kama mwanasiasa …infact ni mimi nishukuru wakenya kwa sababu  mimi sikuwa ni mtu wa kujulikani kiasi cha kuchaguliwa kama naibu wa rais ….kama kuna deni ni mimi niko na deni ya shukrani kwa wakenya walionipatia  nafasi niwe naibu wa rais wa Jamhuri ya Kenya kupitioa kwa kura zao …. Na mimi nataka niwaombe sisi wote tuache  kusumbuliwa na kusumbuana na madeni ya kisiasa..mimi nataka niulize sisi wote kila kiongozi  si tumechaguliwa ,tumepatiwa nafasi kw aneeema ya mwenyezimungu na kura za wananchi …hakuna mtu ako na deni ya mwingine ..na hii madeni ya kisiasa tuachane nazo..ile deni moja tu ambayo najua rais Uhuru Kenyatta ako nayo na mimi ni  mshirika wa  hiyo deni kwa sababu nilichaguliwa nay eye debe moja…ni deni ya kuwanganisha wakenya na kusimamia mambo ya maendeleo ya taifa letu la Kenya ,ya barabara,na stima,na maji na kuunganisha wakenya wote na kushughulika na mambo ya maendeleo .Hiyo ndio deni ambayo rais na mimi tuko nayo . na mimi nitasimama imara kuhakikisha kwamba hiyo deni inalipwa .na ndio kwa sababu mimi natetea perfeomance ya serikali ya jubilee kwa sababu mimi na rais tulichaguliwa siku moja kwa debe moja .Na hiyo deni rais ako nayo mimi ni mshrika kwa sababu hata na mimi nilichangia sehemu kubwa ya kufanya kampeini na kuunda serikali ya jubilee.Na hiyo deni  nitahakikisha kwamba pale mimi nitaweza nitasaidia rais  tulipe hiyo deni kwa wakenya .Deni nyingine yote hakuna ..tuachane na biashara hiyo ya madeni .sisi kama wakenya tushukuru kwamba tumepata nafasi kati ya wakenya milioni 48 tumepata nafasi ya kuongoza taifa letu la Kenya awamu hii’