Rais Uhuru Kenyatta apokea chanjo dhidi ya virusi vya covid-19

Muhtasari
  • Rais Uhuru Kenyatta apokea chanjo dhidi ya virusi vya covid-19

Ijumaa,Machi 26 rais Uhuru Kenyatta amepokea chanjo dhidi ya virusi vya corona,mbele ya kamera na nchi nzima.

Waliopokea chanjo hicho ni pamoja na mama taifa Margaret Kenyatta, waziri wa mambo ya ndani Fred Matiang'i na waziri wa mambo ya nje Rachel Omamo.

Rais alipokea baada ya kutangaza kanuni na maagizo mapya ya kuthibiti virusi vya corona.

Awali Uhuru aliamuru mawaziri wote wapewe chanjo ya covid-19.

Mengi yafuata;