Mashindano ya Safari Rally Kufanyika mwaka 2021

Kurejea kwa mashindano ya Safari Rally Kenya katika mashindano ya World Rally Championships[ WRC] imesongeshwa hadi mwaka ujao baada ya maafikiano ya serikali na WRC na shirika la International Association.

Hatua hiyo ilichukuliwa kutokana na mazungumzo ya kina baina ya idara hizo tatu yaliyoanza Machi mwaka huu baada ya corona kutangazwa kama janga la dunia.

Akizungumza wakati wa kuafikiwa kwa uamuzi huo, waziri wa michezo nchini Amina Mohammed alisema wamefurahia kuwa waandalizi wa mashindano hayo .

“We are grateful to the Patron, His Excellency President Uhuru Kenyatta, for his unwavering support and counsel as we deliberated on the next best steps. We also owe exceptional gratitude to the President of the FIA, Mr. Jean Todt and the WRC Promoter led by Oliver Ciesla for their unyielding support since we commenced engagements to return the Safari Rally to the WRC Circuit,” alisema  CS Amina Mohamed.

Aliongezea kuwa Kenya itaendelea kujiandaa kwa kufanikisha shughuli nzima ya michezo hiyo nchini.

“We will continue to prepare for the event as groundworks are already in top-gear and look forward to welcoming rally professionals, teams and enthusiasts to Kenya when the event is re-convened next year. Postponing the event to 2021 was not a simple decision to make, however, we are cognisant of the present global challenges and assure that the Safari Rally will mark a significant part of our country’s history as was intended for the next three years,” Amesema Amina

Katibu katika wizara ya michezo Joe Okudo ametilia podo katika usemi wa Amina akisema idara mbalimbali katika wizara ya michezo nchini zinashirikiana na vitengo vingine ili kufanikisha mashindano hayo.

“The coordinating organs responsible for the preparation for the event are already in place and will continue to work until the event is re-convened,” amesema PS Joe Okudo.