Dawa ya HIV imepatikana? Wanasayansi waonya kuhusu kusherehekea mapema baada ya jamaa mmoja kudaiwa kupona HIV Brazil

Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 36 nchini Brazil huenda akawa mtu wa kwanza kupona  HIV baada ya kutibiwa kwa mseto wa dawa za  kukabiliana na virusi hivyo, watafiti wamesema.

Shocking! Shilole ajitokeza kumwaga yote wazi kuhusu kupigwa na mumewe Uchebe

Ni watu wawili pekee ambao wamethibitishwa kupona ugonjwa huo baada ya matibabu yanayofanywa kwa njia ya kitaalam na hatari sana  yalihusisha  kuondolewa  kwa ‘Bone marrow’  kutibu kansa zinazozuka baada ya ugonjwa huo kukithiri mwilini.

Mgonjwa huyo Brazil hajaonyesha dalili za  maambukizi ya HIV  baada ya kufanyiwa vipimo vya damu  kulingana na watafiti katika chuo kiku cha  Sao Paulo kinachotambulika kwa tafiti za hali ya juu.

Wamesema kisa hicho ni cha mwanzo na majaribio, huenda ndicho cha kwanza kwa matibabu ya kudumu ya mtu aliyeambukizwa HIV.

Ni Kweli: WHO yasema kuna ushahidi unaoonyesha kuwa corona inaweza kusambazwa kupitia hewa

Lakini katika mataifa mengine watafiti wametaka pawepo tahadhari katika kuanza kutangaza ushindi wa mapema dhidi ya HIV. Dr Steve Deeks  ambaye ni mtafiti wa HIV kutoka  chuo kikuu cha California amesema  ukosefu wa  antibodies katika mgonjwa huyo ni jambo la kushangaza katika kisa hicho  na utafiti zaidi unafaa kufanywa kubaini hali hiyo ndiposa pawepo uhakiki wa kupatikana kwa tiba ya kudumu ya HIV.

Deek amesema ni mapema sana kujua iwapo mgonjwa huyo wa Brazil ana ukimwi hadi matokeo hayo yathibitishwe na  maabara huru.

Rais wa Brazil Bolsonaro apatikana na virusi vya corona

Rais wa Brazil Jair Bolsonaro amegundulika kuwa na virusi vya corona.

Kiongozi huyo amekuwa akipuuzilia mbali janga la Covid-19 akiutaja ugonjwa huo kuwa mafua tu yasiyokuwa na athari kubwa.

Rais Jair Bolsonaro alipimwa Jumatatu baada ya kuonesha dalili ikiwemo kiwango cha juu cha joto.

COVID 19: Visa vya walio na virusi vya corona sasa ni 183 na kufikisha 8,250

Aidha Bwana Bolsonaro pia alikuwa ametaka magavana kulegeza masharti yaliyokuwa yamewekwa kama njia moja ya kukabiliana na ugonjwa wa virusi vya corona akisema kwamba hatua hizo zimeathiri uchumi na Jumatatu alipuuzilia mbaya kanuni ya kuvaa barakoa.

Bwana Bolsonaro ametangaza hilo Jumatatu kupitia mahojiano kwa njia ya televisheni Jumanne.

Alisema kwamba joto ambalo amekuwa akihisi sasa hivi limeanza kurudi chini na kwamba amepata afueni kubwa.

Aprili, Bolsonaro aliwahi kusema kwamba hata akipata maambukizi ya virusi hivyo, hatakuwa na haja ya kuwa na wasiwasi wowote kwasababu zaidi itakuwa ni kama mafua tu au homa.

Alipokuwa anatoa tangazo hilo, idadi ya waliothibitishwa kufa kwa ugonjwa wa Covid-19 nchini humo ilikuwa bado ni chini ya 3,000 huku maambukizi yakiwa karibu 40,000.

Lakini idadi hiyo imekuwa ikiongezeka tangu wakati huo.

Ushahidi kwamba virusi vya corona vinasambazwa hewani hautabidilisha mbinu za kuvizuia

Kufikia Jumatatu, idadi ya waliokufa ilikuwa ni zaidi ya 65,000 huku maambukizi yakiwa zaidi ya milioni 1.6, ikiwa ya pili baada ya Marekani kwa nchi zilizoathirika vibaya na ugonjwa wa virusi vya corona.

Licha ya idadi hiyo kuzidi kuongezeka, rais Bolsonaro amekuwa akisema kuwa athari za kufungwa kwa maeneo ni kubwa mno kuliko za virusi vyenyewe na kushtumu vyombo vya habari kwa kusababisha hofu miongoni mwa raia.

Wakati anatoa cheche za maneno namna hiyo mwezi wa Machi, amekuwa akienda kinyume na hatua zilizowekwa za kukabiliana na virusi vya corona alizozichukulia kama udikteta mfano kufunga maeneo ya ufukweni au kuvaa barakoa.

Jumatatu, alifanya mabadiliko zaidi ya sheria ambayo yangetaka raia wa Brazil kuvaa barakoa wakiwa maeneo ya umma.

Pia, Bolsonaro amehudhuria matukio kadhaa ya umma bila kuvaa barakoa hata wakati ambapo alihitajika kuvaa.

Jumapili, Waziri wa Mambo ya Nje Ernesto Araújo alituma picha mtandaoni inayomuonesha yeye na Rais Bolsonaro pamoja na wengine wakihudhuria ‘Sikukuu ya Uhuru’ katika ubalozi wa Marekani nchini Brazili.

Pesa husumbua watu! Mwanamme wa India anunua maski ya dhahabu kukabiliana na coronavirus

Hakuna kati ya picha hizo iliyomuonesha Bolsonaro amevaa barakoa au anafuatilia hatua ya kutokaribiana.

Ubalozi wa Marekani ulisema kwamba balozi wa Marekani amekula chakula cha mchana na Bwana Bolsonaro pamoja na wengine Julai 4.

Ubalozi uliongeza kwamba balozi huyo hakuwa na dalili zozote lakini hatahivyo, atafanyiwa vipimo.

Awali, balozi alikuwa ametuma kwenye mtandao wa Twitter picha yake yeye na Rais Bolsonaro.

 

COVID 19 : Brazil ni nchi ya pili iliyopitisha vifo 50,000

Brazil imekuwa nchi ya pili, baada ya Marekani, kuandikisha zaidi ya vifo 50,000 kutokana na virusi vya Corona.

Wizara ya Afya nchini humo inasema jana pekee, wagonjwa 641 walifariki, huku viwango vya maambukizi ya ugonjwa huo vikiongezeka hadi milioni moja kufikia wikendi.

Kenya yafikisha siku ya 100 tangu kisa cha kwanza cha Covid-19 kuripotiwa huku visa 260 vipya vikisajiliwa leo

Wataalamu wameonya kuwa kilele cha maambukizi nchini Brazil bado hakijafikiwa.

Shirika la Afya Duniani (WHO) limerekodi ongezeko kubwa zaidi la maambukizi ya ugonjwa huo kwa siku, huku Amerika kusini ikiwa na idadi ya juu zaidi ya maambukizi mapya.

Kati ya visa vipya 183,000 vya maambukizi yaliyoripotiwa katika kipindi cha saa 24, zaidi ya asilimia 60 ni kutokea Kaskazini na Kusini mwa America, shirika hilo lilisema.

Licha ya kuongezeko kwa mlipuko wa virusi, maelfu ya wafuasi wa rais wa Brazil Jair Bolsonaro wameshiriki maandamano sambamba na mahasimu wao siku ya Jumapili

 COVID 19:Maafisa watatu wa polisi Kamukunji wapatikana na coronavirus

Maandamano dhidi ya serikali yanashinikiza Bwana Bolsonaro aondolewe madarakani.

Wafuasi wake wanasema Bunge la Congress na mahakama ya juu zaidi inajaribu kudhibiti uwezo wake.

Rais Bolsonaro amekosolewa vikali kutokana na jinsi anavyoshughulikia mlipuko wa virusi vya corona nchini humo.

Amepinga hatua ya kuweka amri ya kutotoka nje na kutofautiana hadharani na ushauri wa wizara yake ya afya.

Siku ya Jumapili, wizara hiyo ilitangaza vifo zaidi ya 641 vilivyorekodiwa katika kipindi cha saa 24 na kufikisha 50,617.

Pia nchi hiyo ilithibitisha maambukizi mapya zaidi ya 17,000 katika kipindi sawia na hicho.

Ni Marekani pekee iliyo na idadi ya juu zaidi ya maambukizi, ikiwa na jumla ya watu milioni 2.2 walioambukizwa huku watu 120,000 wakifariki.

Bw. Bolsonaro anadai kuwa athari za kiuchumi zitakuwa mbaya zaidi kuliko maambukizi ya virusi vyenyewe, hoja ambayo inaungwa mkono na wengi. Lakini hatua yake imesababisha mawaziri wawili wa Afya kujiuzulu.

Coronavirus: Mbona Marekani inawadhibiti wasafiri wa kigeni kutoka Brazil

Marekani imewawekea marufuku ya usafiri raia wa kigeni ambao wamekuwa Brazil katika kipindi cha siku 14 zilizopita.

Taifa hilo la Amerika Kusini hivi karibuni limekuwa ngome la pili kuu la maambukizi ya virusi vya corona duniani.Brazil imethibitisha kuwa zaidi ya watu 360,000 wameambukizwa corona, huku zaidi ya watu 22,000 wakifariki kutokana na baada ya wizara ya Afya ya nchi hiyo kutangaza Jumapili hali ilivyo.Msemaji wa Ikulu ya Marekani amesema kuwa udhibiti huo wa usafiri utasaidia kuhakikisha hakuna maambukizo mapya yataletwa nchini.

“Hatua ya leo itasaidia kuhakikisha raia wa kigeni ambao wamekuwa Brazil hawatakuwa chanzo cha maambukizi mapya ya corona nchini mwetu,” Ilisema taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Marekani Kayleigh McEnany.

Kilio cha Ramaphosa, Rais wa Afrika Kusini asema huenda maambukizi yataongezeka kwa taifa lake

Watu wasiokuwa raia wa Marekani na ambao walikuwa Brazil ndani ya muda wa wiki mbili kabla ya kuomba idhini ya kuingia Marekani watazuiliwa kuingia nchini humo. Hatua hiyo haitaathiri biashara kati ya nchi hizo mbili.

Marufuku hiyo itaanza kutekelezwa Mei 28 (03:59 GMT).

Marufuku hiyo ya usafiri haitawajumuisha raia wa Marekani, wanadoa, wazazi, walezi halali, au mto wa raia wa Marekani ama wakaazi wa kudumu, na ndugu walio na umri wa chi ya miaka 21.”Uwezo wa watu walioambukizwa kupitisha virusi upo juu hasa kutoka kwa wale wanaotaka kuingia Marekani kutoka [Brazil] hali ambayo huenda ikatishia usalama wa mfumo wetu wa usafirishaji na miundombinu na usalama wa kitaifa,” ilisema katika amri hiyo ilichapishwa na Ikulu ya Marekani siku ya Jumapili.

Awali mashauri wa kitaifa wa Ikulu ya Marekani Robert O’Brien aliiambia CBS “Kabili taifa” akiashiria kuwa marufuku ya usafiri tdhidi ya Brazil ilitarajiwa wakati wowote.”Tunatumai kuwa marufuku hiyo itakuwa ya muda, kutokana na hali ilivyo nchini Brazil, tutachukua kila hatua kulinda watu wa Marekani,” Bw. O’Brien alisema.

Aliongeza kusema “Tunatathmini hali ilivyo katika mataifa mengine kwa kuangazia kila moja kivyake”.

Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii aligusia kuwa anatafakari kuwawekea marufuku wasafiri kutoka Brazil.

Marekani kwa sasa inaongoza duniani kwa kuwa na visa vingi vya maambukizi ya virusi vya corona. Ina zaidi ya watu milioni 1.6 waliothibitishwa kuwa na virusi na vifo karibu 100,000 vinavyohusishwa na virusi hivyo.Tangazo hilo la Jumapili ni hatua ya hivi punde uliyochukuliwa na Marekani katika juhudi za kuzuia kuenea kwa virusi vya corona.Raia wa kigeni ambao wamezuru nchi za China, Iran, nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya, Ungereza na Jamhuri ya Ireland tayari wamezuiliwa kuingia Marekani.

Kenya yasajili visa 22 zaidi vya coronavirus na kufikisha jumla ya visa 1,214

Canada na Marekani pia hivi karibuni zimekubaliana kurefusha muda wa kufunga mipaka yao ya pamoja kwa usafiri ambao sio wa muhimu.Brazil hivi karibuni iliipiku Urusi katika maambukizi ya virusi. Rais Jair Bolsonaro amepuuza mara kadhaa hatari inayotokana na virusi vya corona.Idadi ya vifo nchini Brazilimeongezeka mara mbili zaidi katika kipinda cha karibu wiki mbili, ilikilinganishwa na kila miezi miwili nchini Uingereza, miezi minne Ufaransa na miezi mitano Italia.Wataalamu wameonya kuwa idadi halisi ya walioambukizwa virusi huenda ikawa juu zaidi kutokana na ukosefu wa upimaji.

Ongezeko la vifo na maambukizi ya virusi vya corona nchini Brazil bila shaka inawatia hofu viongozi duniani, lakini rais Jair Bolsonaro hajaonesha dalili ya kuuchukulia ugonjwa huo kwa uzito unaostahili.Kwa mara nyingine tena siku ya Jumapili, alionekana akitangamana na mamia ya wafuasi wake mjini Brasilia – bila kuvalia barakoa.

Pigo Brazil,Hospitali zashindwa kuhimili idadi kubwa ya wagonjwa wa corona

Meya wa mji mkuu wa Brazil  São Paulo,amesema huenda hospitali katika mji huo zikalazimika kufungwa kutokana na idadio kubwa ya wagonjwa wa corona wanaoendelea kuwasilishwa kila mara kutoka maeneo tofauti.Sao Paulo ni miongoni mwa miji mikuu katika taifa la Brazil ambayo yameathirika zaidi na virusi hivyo huku watu 3000 wakiwa wameaga dunia kufikia sasa .

Watu 32000 wapona corona Afrika -WHO

Kufikia Jumamosi Brazil ilikuwa inaongoza kwa idadi ya maambukizi baada ya Uhispania na Italia.

Hospitals in Brazil's São Paulo 'near collapse'

Uganda yadhibitisha visa vingine vipya 21

Wizara ya afya katika taifa hilo iliripoti visa vipya vya maambukizi 79387 chini ya saa 24 ,na kufikisha watu 241,000 walioambukizwa virusi hivyo.

Vile vile chini ya saa 24,Brazil imesajili vifa 485 ikiashiria kuwa watu waliofariki kufikia sasa ni 16,118,ikiwa ya taifa la tano ambalo liko na maambukizi mengi yua maambukiz duniani.

 

 

Brazil yatwaa taji la Copa America

Brazil ilitawazwa mabingwa wa Copa America baada ya Kuicharaza Peru 3-1. Everton aliipa Brzail uongozi mnamo dakika ya kumi na tano. Peru ilisawazisha mnamo dakika ya 44  kupitia tuta la penalti baada ya Thiago Silva kunawa mpira.

cac.huyen.thoai.noi.gi.ve.chuc.vo.dich.copa.america.2019.cua.dt.brazil

Gabriel Jesus aliipa Selecao uongozi kabla ya kipindi cha kwanza kuisha akikamilisha pasi kutoka kwake Roberto Firmino.Richarlison alitia kimiani goli la mwisho kwenye michuano hio mnamo dakika ya 89 kupitia njia ya penalti.

mexico.wins.gold.cup.trophy

Brazil ilitawazwa mabingwa wa Copa America baada ya Kuicharaza Peru 3-1. Everton aliipa Brzail uongozi mnamo dakika ya kumi na tano

Dani Alves alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa michuano huku Alisson Becker akichaguliwa kuwa mlinda lango bora.

2788361.2019.07.08T035542Z_1433027588_NOCID_RTRMADP_3_SOCCER.CONCACAF.GOLD.CUP.MEXICO.AT.USA

Kwingineko ni kuwa Mexico ilitwaa taji la CONCACAF gold baada ya kuigaragaza U.S.A goli moja bila jibu. Jonathan Dos Santos alifunga goli la kipekee la mchezo kunko dakika ya 73.

Chile kuchuana na Columbia katika robo finali ya Copa America

Baada ya michuano ya makundi kufanyika wiki mbili zilizopita, sasa mataifa manne yamefuzu katika awamu ya robo fainali.

Mwenyeji Brazil aliyeongoza kundi A anatarajiwa kuchuana na taifa la Paraguay mnamo tarehe 28 mwezi huu katika uwanja wa Arena Do Gremio.

Argentina yake Lionel messi inatarajiwa kuchuana na taifa la Venezuela mnamo tarehe 28 saa 10:00 usiku.

bboby

Ratiba ya robo fainali za copa America

  1. Brazil vs Paraguay
  2. Argentina vs Venezuela
  3. Chile vs Colombia
  4. Uruguay vs Peru

Mshindi wa mechi ya kwanza atakutana na mshindi wa mechi ya pili huku mshindi wa mechi ya tatu akikutana na mshindi wa mechi ya nne. Fainali ya Copa America itachezwa mnamo tarehe saba mwezi julai mwaka 2019.

Kwingineko ni kuwa taifa la Mexico limekamilisha orodha ya mataifa yaliyo fuzu kwenye awamu ya robo fainali ya Goldcup CONCACAF.

Mataifa mengi yaliyo fuzu kwenye robo fainali hizo ni pamoja na :Haiti, Canada, Costa Rica,Jamaica, panama, U.S.A pamoja na Curacao.

pilisic(1)

Ratiba ya mechi za Robo finali za Concacaf

  1. Haiti vs Canada
  2. Mexico vs Costa Rica
  3. Jamaica vs Panama
  4. U.S.A vs Curacao

 

Belgium stun favourites Brazil in World Cup upset that has Neymar crying

It was a picture of devastation at the end: Neymar on his haunches and Fernandinho flat on his back, staring into the black night sky after their nation’s third quarter-final loss in four World Cups.

Belgium, a nation of 11 million people, have developed the technical and tactical capacity to beat Brazil, a nation of 207 million. They out-thought and out-played them for 75 minutes of quite stunning counter-attacking football from which Brazil could not find a way back, despite two gilt-edged chances of their own.

As the Belgians tired in the last 15 minutes, Brazil seemed justified in their demands for a penalty after Gabriel Jesus nutmegged Jan Vertonghen and seemed to be clattered by Vincent Kompany. VAR ruled that the ball had already run out of play, though it was in play at the moment of Kompany’s initial contact.

Source: Daily Mail

Click here for more 

Belgium complete stunning comeback with 94th-minute winner to set up Brazil clash

Nacer Chadli’s dramatic 94th-minute winner — going from one end to the other in 9.94 seconds — completed an incredible Marouane Fellaini-inspired comeback to break Japanese hearts.

Belgium, the huge favourites, had looked down and out at 2-0 down thanks to goals from Genki Haraguchi and Takashi Inui at the start of the second half. But the arrival of second-half substitute Fellaini turned the game around.

Jan Vertonghen started the fightback with a looping header for 2-1 before Fellaini made it 2-2 with 16 minutes to go.

Then, with only seconds remaining on the clock. Chadli arrived at the end of a classy breakaway move to clinch a quarter-final against Brazil.

What will hurt Japan the most is that the winner came so soon after Thibaut Courtois had saved a Keisuke Honda free-kick which almost won the game for his team.

But from the corner that followed, the Chelsea goalkeeper rolled the ball out to Kevin De Bruyne ,who ran half the length of the field in a classic counter-attack which ended with Chadli gleefully firing home from a Thomas Meunier cross after Romelu Lukaku had dummied.

‘Well that’s what happens in the World Cup!’ said Belgium boss Roberto Martinez. ‘You get pushed in games and you have to congratulate Japan. They were so solid, frustrated us and good on the counter.

‘You have to see a reaction of the subs coming on and to win the game 3-2 in 90 minutes tells you everything about this group of players.

‘Today was about getting through, we did that and it’s a day to be proud of these players. Keep believing.

‘Sometimes in a World Cup you want to be perfect but in the knockout stage it’s about winning. The boys showed a winning mentality today.’

-Dailymail

Chelsea Reject £50m Offer From Barcelona For Willian As They Bid To Beat Man U To Land Brazilian Star

Chelsea have turned down a £50million offer from Barcelona for Brazilian midfielder Willian.

Despite winning the league and cup double last season, Barca have concerns that their squad still lacks greater quality in depth and attacking flair, particularly following their shock Champions League defeat by Roma.

The Spanish side see the skilful 29-year-old as a playmaker who can add an extra dimension to their attack following the departure of Andres Iniesta and want him to link up with compatriot Philippe Coutinho.

Willian’s representatives have been in Barcelona and the lure of the Spanish giants will be tempting but Chelsea have so far shown no willingness to sell.

Long-term admirers Manchester United are waiting in the wings and have also posted an interest.

It is understood, United would be willing to offer even more to secure a player their manager Jose Mourinho rates highly.

Indeed, United made overtures to sign Willian in January but Chelsea resisted despite Antonio Conte preferring to use him predominantly as an impact player.

Willian still managed to score 13 goals last season and was arguably Chelsea’s stand out player when they played Barcelona in the Champions League.

-Dailymail