Dakika 5 tu niage dunia, Msanii wa nyimbo za injili Roz Haki afunguka

Msanii wa nyimbo za injili Roz Haki amefunguka jinsi amebadilika na kuwa chombo cha kumtukuza Mungu.

Hii ni baada ya kupitia hali ngumu ya maisha pamoja na kusongwa na mawazo.

Roz Haki alikuwa katika kitengo “cha ilikuwa aje”, kipindi cha Bustani la Massawe.

Kilichomsumbua hapo awali ni makovu ya kubakwa na idadi ya watu asiowafahamu sehemu ya burudani ya eneo la Lang’ata viunga vya jiji kuu la Nairobi.

(+Picha) Umaarufu wa watoto wa Diamond Platnumz, idadi ya wafuasi Insta

Tazama video yake hapa:

 

“Niliporudi na kurudi kunywa nikawa nahisi kulegea. Rafiki yangu akanionyesha sehemu ya kutulia. Nilikuwa naskia uchungu sana kwa kichwa. Mwanaume akaingia nikama anavuta mlango na akanichapa nikaanguka. Niliamka asubuhi nakuta watu wawili kwa nyumba na sikujua kilichofanyika…” Roz alisimulia.

Roz hatimaye alijitua vitendo vyake vya kutoroka wazazi na kuishi na marafiki wabaya mtaa wa Kibera.

“Sio wizi, ni malipo ya Twa twa twa,” ajitetea Ruth Khaecha mbele ya korti

“Mpaka leo sina habari idadi ya watu walionibaka. Nilipopata fahamu kulikuwa na watu karibu walionipa nauli huku wakisema sisi hata tumekuja saa hii. Wakati huo nilikuwa nalia na kujuta sana. Singeweza kupanda gari…” Roz.

“Nilienda hospitali nikatibiwa ila nikabaki na mawazo tele. Sikupata ugonjwa na hapo nikarudi Kibera. Marafiki zangu waliniona wakashtuka nikajua kuna kitu wanafahamu…” Roz.

Roz aliona safari yake ya kufanya sanaa ilikuwa tayari ishapata mkosi.

“Nikawa najilaumu pengine kuna kitu ningefanya kuzuia. Kidogo nikaanza kunywa pombe kwa mwezi ili nisahau. Nikaona suluhisho ni kujitia kitanzi…”

Roz alitamani kujiua.

Picha za Rayvanny na mrembo Nana zinazomkosesha usingizi Fayhma

 “Kuna ile unahisi hauna thamani…mama alishtuka kama naweza weka mambo kama hayo kwa muda mrefu…”

“Msamaria alinipata kabla nijue. Nilikuwa nishaandika will na baadaye nikajikuta kwa ICU. Madaktari wakasema nilikuwa nabakisha dakika 5 nife…”

Roz kwa sasa amebadilika na anafanya kampeni za kuhamasisha vijana.

“Nilikuwa nimekunywa tu sumu. Kwa hayo yote mungu amefanya makovu yangu yakawa nyota.

“Hapo sasa nikafungua taasisi yangu ya kuwapa wasichana na vijana motisha. Haijalishi unayopitia unaweza ukabadilika…” Roz alisema.

Mhariri: Davis Ojiambo.

“Kijana alienda kunianika katika Facebook Kilimani Mums…” Mamake Lucy Wangui

Mamake Lucy Wangui amefungukia Bustani la Massawe jinsi mme wa binti wake alimtusi katika mitandao ya kijamii.

Ameyasema haya katika mahojiano na kituo hiki.

“Kijana alienda kunianika katika Facebook Kilimani Mums…”

Mama huyu alikuwa ameandamana na bintiye Lucy.

(+ Picha) Othuol Othuol asimulia mahangaiko ya ulevi, mchango wa Churchill

Picha za Lucy zilisambaa katika mitandao ya kijamii baada ya kudhalilishwa na kupigwa kinyama na mumewe Ken.

Kichapo hiki cha kinyama kilifanyika Jumamosi ya tarehe 9 mwaka huu.

Lucy amesema mumewe alimtwanga kwa saa moja huku amewasha sauti ya redio juu zaidi ili majirani wasiskie.

“Aliniga kwa muda wa saa moja hadi nikazirai. Alikuwa amefunga mlango kwa kufuli…”

Matokeo ya KCPE hayamfurahishi kamwe, afika nyumbani kupata ndugu walikufa

 

Wiki moja na nusu imeisha tangu kisa hiki kifanyike.

Bwanake alipenda kumchapa akitoka kazi kama amechelewa.

“Aliponipiga akaona damu inavuja akaacha na akatoka. Akiniona na nywele alikuwa anaivuta na kuninyoa…”

 

Jasiri aliyeingia na genge lake katika eneo la mkasa wa bomu 1998

Kanoga amesimulia Massawe jinsi yeye na wenzake waliingia katika eneo la mkasa wa bomu kutafuta pesa.

Bomu hiyo ililenga ofisi za ubalozi wa Marekani mwaka wa 1998.

Aidha, jama huyu amesimulia jinsi makali ya mvua ya Elnino yalivyompata pabaya na jeshi lake.

Wengi wa marafiki wake walipoteza maisha katika eneo hili la mkasa wa bomu.

Masaibu ya Babu Owino, ataja sababu za mahasidi kutaka kumtoa uhai

 Wilson ambaye kwa sasa amebadilika alikuwa na genge lake la vijana wanaorandarada mitaani wakati huo.

“Wakati huo tulikuwa street children,tuliingia huko wakati huo bomu ilipuka kutafuta pesa na kupora mali…”

Aidha, njama na njaro za kufuata mtu hadi benki ili kujua ni kiasi gani cha pesa alikuwa mjuzi wa hilo.

Baadaye angekupaka rangi ili uweze kuonekana na chokora wale wengine wakufuate.

“Ningekupaka rangi baada ya kuona pesa umetoa. Ama nakufuata nijue kwako ili nitume wezi waje kukupora…”

Kanoga alipoteza babake na umri mdogo sana,

Sumu iliyowakosa Shanice na Michael, mamake Joyce Syombua asimulia

“Babangu alikufa nikiwa mdogo, mama aliniacha akaolewa pengine na kwa sasa hatuna uhusiano wa karibu na ma-sister…”

Huku akihesabu aina za dawa alizotumia, Kanoga ana kovu la jeraha kichwani alilopigwa shoka na genge la wezi.

“Nimetumia cocaine, brown sugar na nikauza dawa za kulevya Kencom…”

Kanoga amesema baadaye alikuja kubadilika na kuwa mwema.

 

”Nilikuwa nalala na wanaume watano.”Binti asimulia kazi ya ukahaba

Wahenga walisema penye nia pana njia na si uongo kwani binti aliyekuwa kahaba amefunguka wazi na kusema vile ambavyo alikuwa anafanya kazi ya ukahaba  na akaweza kuacha tabia ile.

Mzozo wa Mali waibuka baina ya Wajane Wanne wa Jacob Juma

Sadiki usisadiki,Sylvia alisema kuwa, akianza biashara hii alikuwa analala na wanaume watano au sita kila siku.

Binti huyu alianza biashara hii akiwa na umri wa miaka 15.

”Nilikuwa nalala na wanaume watano ama sita kila siku kwa sababu nilikuwa najua hii ni doo naingiza.Nilikuwa naingiza kitu 15k kila siku.”Sylvia alisema.

Vilevile,alisema kuwa hata yeye kuacha kazi hii,hakuacha kazi hii ghafla tu,alianza kushiriki ngono na watu watatu au wawili na polepole akaweza kuacha kazi hii.

Patanisho:”Hii ndio siku ya mwisho nakuongelesha.”Bwana amuambia mke wake

Aidha,kilichomfanya aingie kwenye biashara hii ya ukahaba ni maisha magumu.

Mama yake alifariki na ikabidi aishi na shangazi yake na kisha baadae mjomba wake akampeleka kwenye danguro.

Kwenye danguro,alianza kufanya kazi ya ukahaba na baada ya miezi mitatu akatoka.

Hata hivyo,baada ya miezi hiyo, alitoka huko na baada ya kufanya kazi kwenye hoteli alianza kazi hii ya ukahaba.

Siku yake ya kwanza kuanza kazi hii, ilikuwa ngumu sana kwani hakuwa anataka lakini pia alikuwa anatamani apate pesa ili arudi shuleni.

Baada ya miaka mitatu,binti huyu aliona kuwa kazi hii haina manufaa hata kidogo na akaamua kuacha.

Kidosho  huyu jina lake Sylvia alisema kuwa kwa sasa, kazi yake huwa kuwaongelesha kina dada wachanga waliojiunga na kazi hii ya ukahaba.

”Mimi nilikuwa nashangaa hawa watoto wadogo wanafanya nini hapa kwa sababu najua hawajui haki zako.”Sylvia alisema.

Sababu ya kumfanya aanze kazi hii  ya kuwaongoza kina dada wanaofanya kazi hii ni kwa sababu alikuwa anaona kuwa hata mabinti wachanga walikuwa wamejiingiza kwenye shughuli hii pasi nao kujua haki zao.

Mwisho kabisa,Sylvia alisema kuwa yeye hawezi waambia wasichana walio kwenye bishara hii waache ukahaba kwani hana uwezo wa kuwakimu maishani.

”Mimi siwezi waambia waache hii kazi kwa sababu sina kitu ya kuwapea kama kazi.Kitu naweza wasaidia nayo ni kuwaambia haki zao na kuwapa mawaidha watumie mbinu za kuwasaidia wasipate magonjwa ya zinaa.”Sylvia alisema.

Aliyepata alama 428 KCPE afanya kazi ya ‘walking scarecrow’ kwa shamba ya ngano

Dkt. John Karanja alifunguka mwanzo mwisho kuhusu maisha yake katika kitengo cha Ilikuaje Bustani La Massawe.

John amesimulia jinsi alilelewa katika familia iliyokumbwa na ukata mwingi.

Kwa sasa ndiye Inspekta wa polisi katika huduma ya Jela nchini na ameweza kusoma sana hadi kufikia hadhi ya Dkt.

Ni msomi,mwandishi na kasisi anahimiza watu kufanya vizuri ili kufikia kiwango  hicho amepitia mengi.

Alitaka awe Daktari ila kulingana na umaskini uliokuwa kwao, jamaa huyu alipata tabu kubwa.

Alichokisema Obama kuhusu Eliud Kipchoge, Eliud aomba wakutane

 “Nimezaliwa pande ya Nyeri. Wazazi wangu walikuwa maskini sana. Babangu aliaga…. Mama akaachiwa kazi ya kufulia watu nguo.” alianza John

“Nilikuwa msomi Darasani. Mama alikuwa anafua nguo ili kutusaidia. Karo yangu ikawa haipo baada ya kupata alama 428 za KCPE…”

“Hapo nikafanya mungu awe rafiki wa karibu na nikaanza kutembea na Mungu…”

John alitafuta kazi ya kwanza ili apate kuwekeza karo,

“Nilikuwa na miaka 14 nikapewa kazi ya kufunga ng’ombe na mbuzi…Nilipata alama 428….Mama alisema nikubalie wale wengine wasome wajue kusoma vibango.”

Kazi hii ilimchosha na akaamua kutafuta kazi kwingine,

“Nikatoka Othaya nikaenda Mweiga nikafute kazi kwa Baba Luka. Nikawa nawekeza ili nipate karo ya kusomea udaktari…’

Mkimbia uchi usiku asimulia siri za familia anazotembelea,ajisifia kwa mbio

“So Massawe nikawa maid kulea watoto wawili nikitafuta karo… Nalipwa pesa 450 kila mwisho wa mwezi….”\

Kazi hii aliaacha na akafuta kazi nyingine ya kuchunga shamba la ngano,

“Kufika Mweiga Town nikapata kazi ya kulinda shamba la ngano. Nikawa walking scarecrow kwa shamba ya ngano.”

“Nikalipwa shilingi 700 kwa mwezi…”

Kitambulisho kilimkosesha kazi nyingi zaidi huku waajiri wakihofia kumwajiri.

Hatimaye njia zake zilifunguka na akawa msomi na kwa sasa anasaidia wengi kujikimu kimaisha.

Afika GPO na umaskini, Hii leo CEO wa Njue Foundation

Njue amesimulia hadithi yake inayovutia masikio ya wengi.

Jamaa huyu amekulia katika familia ya watoto 12 na iliyojawa na umaskini tele.

Soma hadithi nyingine:

Saumu Mbuvi, seneta wa Lamu chombo kimoja! Saumu Afunguka

Haya ameyasema katika Bustani la Massawe.

“Nilikuja Nairobi na seepers. Nilikuwa na miaka 19 baada ya kidato cha nne.”

“Baada ya kidato cha 4 nikaona nifike mjini.Tulikuwa wengi hatungesoma sana. Familia ya watoto 12. Yeye ni mtoto wa 8.”

Alipofika GPO, Njue aliipiga simu ya Jamii katika shirika la reli alipokuwa akifanya kazi bwana wa dadake.

Soma hadithi nyingine:

 

Yaliyomo: Alivyotaka ufanyiwe mwili wake Tob Cohen. Itikadi za wayahudi zinasemaje?

Kilichowafanya dadake na bwana kukasirika na kufanya dalili za kumfukuza Njue ni kwamba hakua ametoa taarifa ya kuwatembelea.

“Tukaanza kuishi pamoja. Alibadilika chakula kwa sababu ni budget. Ata mimi nikaanza kuona nimeharibu budget ya hiyo familia.”

‘Dadangu aliniuliza maswali mengi. Anashindwa vipi niliamua kuja kwake.”

Soma hadithi nyingine:

 

Sarah Wairimu akanusha taarifa za wasia wa Tob Cohen

“Alikuwa na watoto 3. Nikaoana vile ananipimia. Aliambia dadangu aidha aamue nirudi nyumbani ama anitafutie pahali pa kuishi.”

 

 

Baadaye Njue alipata kazi iliyomlipa shilingi 250 kwa siku na kuamua kuanzisha mpango wa kuwasaidia watoto yatima.

 

“Nilianza na watoto 3 ambao hawakuwa na baba na mama yao alikuwa anateseka. Nilihakikisha kuwa wameenda vyuo vya kiufundi.”

 

Hali ya umaskini yasababishia Ashley na Joyce kujitosa katika ukahaba

Katika kipindi cha Bustani La Massawe kitengo cha Ilikuaje, wageni katika studio walikuwa wawili Ashley na Joyce ambao wamekuwa katika uraibu wa ukahaba kwa muda mrefu. Wawili hawa wana sababu zao zilizowafanya wajitose katika kazi hii.

Soma mengine hapa:

PATANISHO: Atafute bibi mwingine kwani siwezi rudiana naye!

Ashley, 22, baada ya kumpoteza mama akiwa kidato cha pili alipata pigo la kimaisha na kujipata katika tandabelua huku akilelewa na baba wa kambo.

Baba huyu ndiye alimuingiza katika ukahaba. Kazi hii alikuwa anaifanya ili kumsitiri kakake mdogo pamoja na mahitaji yake ya kila siku.

“Nilipoteza mama nikiwa kidato cha pili miaka minne iliypita. Hapo nikaanza kujipata katika matatizo kidogo. Babangu wa kambo alinipeleka katika danguro ili niingize pato la kila siku.”

Binti hawa wanasimulia jinsi wanavyojipata katika matatizo kazini yao huku wakitaja wanapolisi kama changamoto kubwa. Hali kadhalika wameweza kufunguka jinsi wapo katika mahusiano na wanapotumia ujanja kuwafanya wanaume wao wasijue kazi wanayoifanya.

Pata uhondo hapa:

Former KU VC Olive Mugenda shows off daughter after graduating with PHD

Huwa wanapata kipigo kikali kutoka kwa wateja wao na wengine kukosa kuwalipa katika vyumba vya kukodi.

Joyce alianza ukahaba baada ya ufukara katika nyumba yao kukita mizizi.

Anasimulia kisa na ambapo alibakwa na marafiki wake wanne wakitoka shuleni na hapo akapata ujauzito.

“Nimelelewa na single mum na nyumbani tuko watoto watano. Mamangu anafanya kibarua na kuzungusha nguo. Ikafika kipindi tunatoka shuleni saa kumi na mbili mimi na marafiki zangu tukapatana na wanaume watano na wakatubaka na hapo nikapata mimba.”

Hatimaye wawili hawa wamejutia kuwa maisha yao yalizama katika usiku wa giza totoro na kutoa nasaha kwa wanadada wasiufuate mtindo huu.

Soma hadithi nyingine hapa:

This is why you should update your WhatsApp now!

Bi Diana asimulia vile bwanake alitaka kumuuwa

Katika kipindi cha Bustani na Massawe Japanni October 19th mgeni wetu alikuwa ni dada Diana.

Diana Kamande ni nusura wa ghasia za kijamii.

Kulingana na ushahidi wake Diana aliweza kuteswa na kupigwa na bwanake, akisema alinusurika kifo.

Kama hukumbuki alikuwa katika vyombo vya habari mwaka wa 2013.

Ni mama wa watoto wawili, na kando na hayo alikumbuka ile siku alipotoka nyumbani na bwanake wakienda kazini.

Lakini la kushangaza ni yaliyotokeza baadaye.

Diana alisema;

” Hiyo siku nilimwambia bwanangu kwamba sitaweza kuenda nyumbani naye kama ilivyo desturi. Akaniandikia message kupitia simu kwamba ni sawa.”

“Kumalizana na shughuli zangu nikaelekea nyumbani, na bwanangu akaniuliza chene napika usiku huo. Bwanake akasema atajishugulikia chakula ya jioni.”

Bwanake alifika nyumbani usiku akiwa na hasira. “Nilishtuka kwasababu hajawahi onekana akiwa amekasirika hivyo, watot pia walishtuka. Baada ya mda kidogo alisimama na kuchukua vifunguo zote, akatoka na akafunga milango.”

Na hapo ndipo mambo yalienda mrama.

Usiku wa manane alipokuwa amelala, aliamka amestuka kupata bwanake anamkata uso na kisu. Diana alivutana na mumewe hadi alipojificha chini ya kitanda.

Tazama kanda ifuatayo ya Diana akiwa ndani ya studio yetu.