Wanariadha 12 watiwa mbaroni wakibugia mvinyo kwa nyumba moja

NA NICKSON TOSI

Wanariadha 12 kati yao wanawake wanne wametiwa mbaroni na maafisa wa polisi wakiwa kwa chumba kimoja wakibugia mvinyo Uasini Gishu, eneo la Eldoret.

Wanariadha hao kumi na wawili ni  Julius Lagat, Washington Muigai, Cynthia Cherono, Christine Chemutai, Brian Okwaro, Judy Cheruto, Dismas Kiplimo, Timothy Rotich, Winfrey Atieno, Gideon Kosgei, Alex Lagat  na John Mwangi.vSasa watalazimika kuwekwa kwenye karantini kwa siku 14

12 athletes arrested partying in Eldoret, to be quarantined

Mwisho wa Ngono! Watafiti wadai huenda viruis vya Corona vikasalia katika mbegu za mwanamume

Kulingana na mkuu wa polisi kaunti hiyo Johnstone Ipara, mmoja wa wakaazi wa Eldoret haswa chumba walichokuwa wamejificha alimtumia video ya makabwela hao mida ya 4 jioni na kuanzisha harakati za kuwashika.

Ipara amesema kuwa baada ya maafisa wake wa usalama kufanya msako kwenye nyumba waliokuwamo, walikuta kuwa kati ya watu hao 12, wanne walikuwa wanawake na kuongeza kuwa wanaendeleza uchunguzi iwapo wanawake hao walikuwa wanariadha pia.

Fikra za kishenzi! Waliotimuka mbio baada ya kupatikana na Corona watafutwa na polisi Mombasa

Vinywaji tofauti vilikusanywa kutoka kwa chumba ambacho jamaa hao walikuwa wamejikusanya.

 

 

 

Serikali imezindua vituo vya kupima Corona katika hospitali ya rufaa ya Moi

NA NICKSON TOSI

Serikali imezindua kituo cha kupima virusi vya Corona katika hospitali ya rufaa ya Moi ,Elidoret ,kikiwa ndicho cha kwanza kuzinduliwa nje ya jiji kuu la Naironi .

Katika taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na iliyotiwa saini na magavana kutoka bonde la ufaa wakiongozwa na mwenyekiti wao Jackson Mandago,kituo hicho kitaanza kufanya kazi siku 10 zijazo.

Maafisa wa afya katika hospitali hiyo watakuwa wanapima sampuli za damu takriban 960 kwa muda usiozidi masaa 8 na kituo hicho kinatarajiwa kupunguza mrundiko wa sampuli unaowasilishwa katika kituo kikuu cha taifa cha National Influenza center ,jijini Nairobi.

Utoaji wa mafundisho kwa maafisa watakao kuwa wakitoa huduma hiyo umekalimilika.

Hospitali hiyo ilibuni kitengo cha maafisa spesheli watakao kuwa wanatoa huduma kwa masaa 24.

 

 

ELDORET: Mwanamke auawa, vipande vya mwili vyachukuliwa

Polisi wanachunguza kisa kimoja ambacho mwanamke aliuawa na vipande vya mwili wake kuchukuliwa katika eneo la Moi Bridge, liliko kwenye mpaka wa kaunti za Trans Nzoia na Uasin Gishu.

Nameless ampasha Massawe baada ya kuanguka katika jangwa la Dubai

Miguu yake miwili na mkono mmoja haikupatikana baada ya mwanamke huyo kupatikana akiwa ameuawa kinyama. Polisi wanakisia mauaji hayo yasiyo ya kawaida yalitekelezwa na jamaa anayeshukiwa kuwa mpenzi wa mwendazake.

Ben Kibe ambaye ni jirani yake mwanamke huyo, alisema kuwa marehemu alikuwa nyumbani kwake pekee yake wakati kisa hicho kilitendeka.

Mwili wake ulipelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Kitale County Referral, huku polisi wakiendeleza uchunguzi wao kuhusu kisa kilichowaacha wenyeji wa Moi’s Bridge na mshtuko mkuu.

Mwandishi afungwa kwa kushiriki ngono nje ya ndoa

Hayo yakijiri, wabunge wa ukanda wa pwani wameshauriwa kutengea elimu mgao wa kutosha wa basari kutoka kwa hazina ya kitaifa ya CDF, ili kuhakikisha wanafunzi wote kutoka kwa familia zisizojiweza eneo hilo wamesoma. 
 
Mbunge wa Mwatate Andrew Mwadime anasema hatua hiyo itasaidia kuinua viwango vya elimu ambavyo vimedorora eneo la Pwani kutokana na umasikini miongoni mwa wazazi. 
-Solomon Muingi

Mwanamke amuua mumewe kwa kumdunga kisu Eldoret

Polisi mjini Eldoret wamemkamata mwanamke aliyemdunga mumewe kwa kisu na kumuua jana usiku katika mtaa wa Shauri Estate, mjini Eldoret.

Marehemu alikuwa dereva wa teksi na alifika nyumbani usiku wa manane alipotoka kazini, baadaye wawili hao walianza ugomvi kuhusu ujumbe aliopokea na hapo vita vikaibuka dhidi yao wawili.

Jirani yao, bi Pauline Kibe alisema kuwa waliskia ugomvi na mayowe ndani kutoka kwa nyumba hiyo lakini juhudi za kumuokoa jamaa huyo hazikufua dafu kwani alifariki papo hapo baada ya kudungwa kisu kifuani.

Polisi waliofika eneo hilo la tukio walianzisha uchunguzi na wakaupeleka mwili katika chumba cha kuhifadhia mauti cha hospitali ya Moi.

Hayo yakijiri,

Wizara ya afya katika kaunti ya Taita Taveta itawapa ajira za kudumu zaidi ya wahudumu wa afya 200 wanaohudumu kwa kandarasi ili kukabili changamoto ya uhaba wa wahudumu. 

Waziri wa afya kaunti hiyo Daniel Makoko anasema huduma ya afya ina upungufu wa wahudumu 400 huku akilitaja swala hilo kama changamoto kubwa katika kutoa huduma kwa wakazi.

Anasema wahudumu wengi wa afya wanashawishika kuhamia kaunti zinazotokana ajira ya kudumu na jivyo kusababisha uhaba katika kaunti hiyo.

Polisi wanachunguza mauaji ya mwalimu wa shule ya upili ya Ngeria, Eldoret

Polisi mjini Eldoret wanachunguza mauaji ya mwalimu wa shule ya upili ya Ngeria iliyoko Eldoret baada ya mwili wake kupatikana umetupwa katika shamba la mahindi, kilomita chache kutoka shule hiyo.

Redio Jambo yatua miji ya Nyeri na Mwea kuzawadi mashabiki

Mkuu wa polisi wa Kapsaret, Francis Warui alisema kuwa mwalimu huyo, Gloria Sangwatei mwenye umri wa miaka 27 alitoweka kutoka nyumbani kwake siku ya Jumapili, kabla ya mwili wake kupatikana katika shamba hilo la mahindi.

Warui alisema kuwa kamba inayokisiwa kutumiwa kumnyonga marehemu ilipatikana karibu na mwili wake.

Kenya, Jamaica zajitolea kuthibiti zaidi uhusiano wa kibiashara

 

Wife of former Kakamega DC Paul Yatich found brutally raped and murdered in Eldoret

The wife of a former DC in Kakamega Paul Yatich has been found brutally raped and murdered at their house in Kiplombe area in Eldoret town.

The body of Loice Yatich was found partly decomposed and Eldoret West OCPD Zachary Bitok says they suspect she was murdered last Saturday. She worked with the TSC as a Curriculum Support Development officer in Uasin Gishu County.

Bitok said they are looking for one of her workers who went missing following the incident. Her car which had also been missing was found abandoned in Kabiyet area Nandi County.

“We suspect the murder may have been committed on Saturday and the body had serious cuts on the shoulders and we also suspect she was raped during the attack”, said Bitok.

Bitok said the former DC had separated with his wife and lived separately at Pioneer estate in Eldoret.

According to Bitok, Yatich had twice reported to the police that his wife was missing since last Sunday and she never returned. However he accompanied the police to the house where she lived in efforts to trace her.

“When we broke one of the windows to the house, her body was discovered in the house partly decomposing”, said Bitok.

-Mathews Ndanyi

Who is your Governor? Here are some of the cleanest towns in Kenya

Even though many towns in Kenya are doing their best to fight the menace of garbage, some cities and towns have done a great job in this fight.

Here are some of the towns in Kenya that are really clean.

1. Kisumu

kisumu9

It is the Kenyan inland port city and is the capital of Kisumu county, Kenya. It has a estimated population of upto 500,000 people and is so far the cleanest.

2. Nakuru

kenya-economy

It is the fourth largest city in Kenya and is also the capital of Nakuru county.

It is the second most cleanest town in Kenya and has a great variety of tourist attraction sites.

3. Kericho

kericho

it is the biggest town in Kericho county and home of some of the largest tea plantations due to its favourable climate.

The town is strategically located along Kenya’s western tourism circuit with access to Lake Victoria, the Maasai Mara National Reserve and Ruma National Park.

It is the 3rd cleanest town in Kenya.

4. Naivasha

naivasha

Three Day Fishing Ban Lifted In Lake Naivasha After A Massive Clean Up Exercise

It is a popular tourist destination and is an agricultural town as well that practices floriculture.

It is a great tourist attraction site with places like Hells gate National Park, and Longonot National park.

it is the 4th cleanest town in Kenya.

5. Eldoret

eldoret

It is the fifth largest town in Kenya and is the capital of Uasin Gishu county.It is the fastest growing town in Kenya .

It is the 5th cleanest in the country.

6. Machakos

Machakos

It is the capital of Machakos and is 63 km southeast of Nairobi. It has a rapidly growing population and is surrounded by hilly terrain, with a high number of family farms.

It is ranked 6th cleanest in Kenya.

7. Kiambu

kiambu

It is located within the Nairobi Metropolitan Region.The town is surrounded by hilly Kikuyu farmland although is under urbanisation as Nairobi is growing fast and more people settle in neighbouring towns. Kiambu is seen as a future anchor to the capital city Nairobi which is undergoing rapid development with limited space for growth.

It is the 7th  cleanest.

 

Police in Eldoret recover body of man murdered with hands and legs tied with ropes

Police in Eldoret have recovered the body of a man who was murdered brutally with his hands and legs tied with ropes.

Eldoret East OCPD Richard Omanga says the body of the middle aged man with serious several wounds on head was found in a trench near the St. Mathews ACK Church in the town.

Omanga said the victim appeared to have been murdered elsewhere and his body dumped at the scene. Police are investigating the identify the victim and the killers.

Police arrest murder suspect in killing of 12-year-old boy in Narok

-Mathews Ndanyi

Three charged in court with sodomy and defilement of children in Eldoret

Three people have been charged in an Eldoret court with sodomy and defilement of children.

Police Holding A Priest In Murang’a Over Sodomy Claims

Among them was Ramadhan Bitok who was charged for sodomizing a boy aged 11 years on August 23rd 2018 at CPU village near the town.

Abel Kiprotich Lagat was charged for defiling a girl aged 12 years at Chebarus village while Benjamin Simiyu Wabala allegedly defiled a 12-year-old girl at Makokha village in Likuyani Sub-County.

Naivasha Court stops prosecution of foreigner accused of sodomy

They both denied the offenses.

-Mathews Ndanyi

KDF senior officer impersonator arrested in Eldoret

Police in Eldoret have arrested a man who went to a police station masquerading as a senior KDF officer and demanded that a suspect in custody should give a sh100,000 bribe to be released.
Eldoret East OCPD Robert Omanga said police became suspicious after the man who introduced himself as a senior KDF officer demanded the bribe from the suspect.
Omanga said the man would be charged in court.
-Mathews ndanyi