‘Diamond Platnumz amechoka na mimi!’ Eric Omondi afichua

Mchekeshaji  Eric Omondi  pia ametambulika katika fani ya burudani  kwa hisani ya wajibu wake Daniel Ndambuki katika kipindi cha Churchill. Akiwa na zaidi ya wafuasi milioni 2.5 katika instagram  na kwenye kumbi mbalimbali za mitandao,  Eric amejitengezea sifa na jina la kumpa uzito .

omondi 2

Kama hujaoa ,Warembo ndio hawa,fursa ndio hii

Nyimbo zake za  miigo ya nyimbo za Diamond  zilimfanya awe rafiki wa karibu wa msanii huyo wa Tanzania  na wangali marafiki hadi sasa

Akizungumza katika mahojiano kwenye Churchill, Omondi amesema;

DIAMOND NIMEMCHOSHA. AMECHOKA NA MIMI. AFTER I DID NABEBA MAWE, DIAMOND CALLED ME AND INVITED ME TO HOST ZARI’S ALL-WHITE PARTY IN 2015 IN DAR ES SALLAM, TANZANIA.

Eric hajakuwa kwenye runinga kwa miaka tisa baada ya kuamua kwenda digital. Amesema hivi kuhusu  nyakati za kumfedhehesha katika fani ya uchekeshaji .

‘Alinipiga matiti pasi ndio wanaume wasiniangalie’ Asimulia ‘utamaduni’ wa Cameroun aliofanyiwa na shangazi yake

IT WAS AT NYAYO STADIUM DURING CHAGUO LA TEENIZ AWARDS IN 2010 WHEN I TRIED TO PULL A HOLLYWOOD MOMENT BY COMING DOWN THE STAGE FROM THE ROOF ON A ROPE, KAMBA ILIKWAMA NIKAHUNG HAPO 15 MINUTES …THE EMBARRASSMENT.

 

 

 

 

 

 

‘Mungu Nipokee’ Soma ujumbe wa Akothee kwa Mola

Sarakasi na  ucheshi wa Akothe hautwahi kuisha  hivi karibuni na sasa ameamua kuanza kutengeza njia ya kwenda Mbungini mapema kwa kumuomba mola msamaha mapema kwa ‘dhambi’ zake .

Abiria akohoa na kuaga dunia papo hapo katika basi la kwenda Mombasa

akothe 2

Mko pamoja au mliachana? Otile na Nabeyet wakanganya hata zaidi

Jumapili msanii huyo aliwachekesha wengi mtandaoni kwa  sala yake kwa mola akiandika ;

 “Lord ! on this Sabbath day, if it’s my twerking and arrogance that has made you Angry or some other sins that I might have assumed, please find a place in your Kingdom to receive me, just as I am your Child. Please Lord delete their memories so they stop reminding me whatever I did in 1900, and walk me through the New pathway   AMEN   

Posti yake ilipokelewa vyema na mashabiki wake huku wengi wakipata tabasmu kutoka kwayo licha ya changamoto ya sasa ya kupambana na janga la virusi vya Corona .

akothe 3

Wiki jana  yeye na Eric Omondi  walifanya utani kuhusu kupata mtoto pamoja . lakini Akothe akasema ni mapena sana kwa wao wawili kupata mtoto .

 

Kizuri ulichonipa ni Zahari,’ Jacque Maribe amwandikia Eric Ujumbe

Leo ikiwa ni siku ya kuzaliwa kwa  Eric Omondi baba wa mtoto wa Jacque Maribe, amemuandikia ujumbe spesheli kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.

Happy birthday,’Eric Omondi asherehekea siku ya kuzaliwa

Kupitia mtandao wa kijamii wa instagram Jacque alipost picha ya Eric na mtoto wake na kuandika maelezo mafupi yanayosema,

”The best thing you ever gave me was Zahari, and for that I am forever grateful to you. As you celebrate your birthday (later with us tonight) we remind you that you are an important piece of the puzzle that is our life. Happy birthday @ericomondi and I’ll put up that long post alert of our life one day like you said.” Jacque Aliandika.

88983902_814281925739371_7374530108977637991_n

Leo hii Eric ameandika ujumbe huku akijitakia siku njema ya kuzaliwa, wawili hao wamebarikiwa na mtoto ambaye anafahamika kama Zahari.

Eric Omondi atokwa na povu insta. Afunguka jinsi Ebru ilivyomtesa Chipukeezy

73412368_2346602058990037_642265571477990626_n
Jacque Maribe na Eric Omondi

Wengi waliandika na kumtakia Eric siku njema baadhi ya mashabiki waliomtakia na kutoa maoni mbalimbali ni kama vile wafuatao.

sly_waithakaHappy birthday Babake zahari
wincidy:Awww happy birthday to Ericko
aukobenter:Happy birthday Eric, si muoane tu Sasa mlee mtoto

Happy birthday,’Eric Omondi asherehekea siku ya kuzaliwa

Eric Omondi anafahamika sana kwa ucheshi wake, ambao huwafurahisha wengi. Staa huyu leo anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa.

Je amefikisha miaka mingapi hii leo?

Seli ya mahaba:Mimi na baba mtoto wa Maribe ni marafiki-Ujumbe wa Itumbi kwa Eric Omondi

Marafiki na hata wasanii na watangazi wamemtakia siku njema ya kuzaliwa.

79948467_199049761135862_1749928481737535_n

Eric hii leo kupitia mtandao wa kijamii ameandika ujumbe ufuatao kwa ajili ya siku yake ya kuzaliwa.

“Please help me wish this guy a HAPPY BIRTHDAY🙏🙏🙏 GOD HAS BEEN GOOD and it appears we are about to change gears.This is the Year of the KENYAN FLAG🇰🇪🇰🇪🇰🇪…Through Gods Grace and Favor we will fly it around the World.” Eric Aliandika.

(+Video ) Eric Omondi ,Akothee, Vera Sidika wafunga mwaka kwa minenguo moto

Baadhi ya watu ambao walimtakia siku njema ya kuzaliwa ni kama vile wafuatao.

chipukeezyMa nigga happy birthday
presenter001:Happy birthday @ericomondi
mulamwahHbd bro , many blessings as you turn 49.
84228877_201002274458413_1384472281411599417_n
nickmutumaHappy birthday @ericomondi Thank for always bringing laughter to our tls. More life, more blessings 🚀✊🏾
prezzo254Happy birthday my brother the president of comedy more life more wins. Bless up👊
Na wengine wengi nasi wana jambo hatutawachwa nyuma Tunakutakia siku njema ya kuzaliwa.

Seli ya mahaba:Mimi na baba mtoto wa Maribe ni marafiki-Ujumbe wa Itumbi kwa Eric Omondi

Dennis Itumbi kwa mara ya kwanza amezungumzia uhusiano wake na babake mtoto wa rafikiye Jacque Maribe, alisema kuwa ni marafiki wakiwa na mcheshi Eric Omondi.

Dear KOT,’ Itumbi awajibu wakenya kuhusiana na kuachiliwa kwa Jowie.

73412368_2346602058990037_642265571477990626_n

Akiongea jana usiku katika uzinduzi wa klabu cha mcheshi chipukeezy alisema ni marafiki wa dhati wakiwa wawili.

“Sisi ni marafiki wakaribu na wazuri sana,uwa namsaidia katika biashara zake kwa mara nyingi na pia yeye uwa ananisaidia katika biashara zangu ndogo

Nikifungua mkahawa uwa anakuja na kufanya onyesho lake katika eneo hilo, kama ana mahali anaenda kufanya biashara zake uwa nampa msaada anaohitaji.” Aliongea Itumbi.

Itumbi na mwanahabari Jacque Maribe ni marafiki wa dhati ambaye pamoja mcheshi Erick Omondi wana mtoto kwa jina Zahara.

Siku ya Siku!:Penzi la Itumbi laning’inia ,’ KOT watoa hisia kuhusiana na Jowie kuwachiliwa na mahakama.

Hapo awali mashabiki wa Jaque na Eric walidhani wawili hao wanachumbiana,walijuwa ukweli wakati wazazi hao walipotundika  picha katika mtandao wao wa kijamii wakiwa na mtoto wao.

Nakutakia siku njema ya wapendanao Itumbi amwambia Jowie

“Family first.happy graduation day Zahari. we mum and [email protected] are proud of you.” Jacque Aliandika.

Kwa hivo sasa mnafahamu vyema wanaume hao wawili wamesimama wapi katika maisha ya Jacque.

 

(+Picha) Mwonekano wa kitambo wa Chipukeezy, picha za sasa

Fundi wa ucheshi nchini Chipukeezy amechapisha picha zake za kitambo kwenye Insta.

Picha hizi zinamwonyesha mwonekano wake wa kichochole kabla hajakuwa maarufu.

“Eeeh lakini enyewe pia nimekapitia 😂😂😂😂 mungu ni mwema na tunasonga tu Pole Pole tutafika.”

Haya yanajiri baada ya kutangaza kuwa ataanzisha shoo yake ya YouTube.

Katika shoo hii, Chipukeezy anapania kuinua talanta za vijana wanaoboea katika tasnia ya ucheshi.

69320657_1526719620815424_7056451118186775400_n__1569588928_10320

Soma hadithi nyingine;

Harmonize ni msanii namba moja kwa sasa Tanzania – Q Chief

Uamuzi huu aliufanya baada ya mkataba wake na Ebru kuvurugika.

Eric Omondi, Kartelo,Stivo Simple Boy ni kati ya watu waliosimama kidete na Chipukeezy wakati huu mgumu.

Uongozi ulimtaka akome kabisa kumshirikisha Kartelo katika kipindi maarufu Chipukeezy Show kinachoruka kupitia runinga hio.

Huu ndio mwonekano wa sasa wa Chipukeezy,

Kulingana na maamuzi yake, mcheshi huyu anahoji ana jukumu kubwa zaidi kuhakikisha amekuza talanta za wasanii wachanga na kuwa hawezi kabisa kushawishiwa na mtu kuacha .

Soma habari za Abraham Kivuva

Wakati umefika!Jacque Maribe aonyesha sura ya baba ya mtoto wake

Je unajua kuwa Jacque Maribe ana mtoto?
Kidosho huyu aliyekuwa mtangazaji wa televisheni ya Citizen ana mtoto mmoja wa kiume na hakuna siku ambayo amewahi kuonyesha sura ya baba ya mtoto wake.

zahari2 jac (1)

Hata hivyo Jacque Maribe alihudhuria sherehe ya kuhitimu kwa mtoto wake wa kiume shuleni na pamoja naye alikuwa baba ya mtoto wake.
Amini usimini, babake mtoto huyu  Zahari ni mcheshi Eric Omondi.
Wawili hawa wamekuwa marafiki kwa muda mrefu na wao hulea mtoto wao Zahara pamoja.
Baada ya sherehe hiyo, kupitia mtandao wa Instagram, Jacque Maribe aliweka picha akiwa na baba ya mtoto wake na kuandika,
Family first. Happy graduation day Zahari. We, mum and dad @ericomondi are proud of you.”
 

“Rudisha mama ama utafute mtu!” Jaguar amshawishi Eric Omondi

Mheshimiwa Charles ‘Jaguar’ Njagua amemsuta mcheshi na msanii Eric Omondi kumrudisha aliyekuwa mpenziwe, bi Chantal maishani mwake.

Kupitia kwa kanda iliyochapishwa katika mtandao wa Eric Omondi, Jaguar ambaye alikuwa ameenda kumtembelea rafikiye kwake nyumbani.

Akiwa humo, aliandaliwa staftahi na inaonekana hakuridhishwa na hapo akamrai Omondi amrudishe Chantal.

Omondi na Chantal walitengana mwaka huu mwezi wa Mei alipotangaza kuwa njia zilizowaleta wapendwa hao wawili, ziliwapa mielekeo tofauti.

Aliandika,

As you move into your new phase in life with or without me I want to wish you all the best My Love❤️…The paths that brought us together are now facing different directions. The post read in part.

Ingawa Jaguar alishukuru juhudi za Omondi kumuandalia chai, anahisi kuwa ni muhimu amrudisha chantal au hilo likishindikana, basi atafute mpenzi mwingine kwani wako wengi zaidi.
Soma jinsi mazungumzo yao yalivyokuwa;

Jaguar: Rudisha mama

Eric Omondi: Chai ilikuwaje bila mama?

Jaguar: Chai haiko lakini ahsante kwa breakfast, lakini tunaomba urudishe mama. Hata wewe sasa utanona, utaongeza weight ama utafute mtu, watu ni wengi.

Eric Omondi: Nitafute mtu ama mama arudi?

Jaguar: Mama arudi au utafute mtu

Tazama kanda hiyo

Fred Omondi aeleza jinsi Eric na Irene walijitahidi kunusuru maisha ya kaka yao

Fred Omondi amesimulia kisa na ambapo uraibu wa dawa za kulevya ulipelekea afya ya ndugu yake kudhoofika na baadaye kufariki.

Katika mahojiano na kituo cha Jambo, Fred amefunguka mwanzo mwisho kuhusu tukio hilo.

“Tuko wanne kwa familia. Eric aliiposti kifo chake kwa social media… Irene Omondi anaishi German.”

Soma hadithi hii:

Mshangao! Fahamu jinsi wanaume walivyobadilishana wapenzi Busia

Ni mwaka mmoja kutoka nipoteze kakangu. Ni kaka yetu mkubwa na hatukaa sana na yeye. Marafiki wake walichangia sana kuingia katika dawa za kulevya.”

“Eric na Irene walikuwa wanamtafuta wakampata hapo River Road. Akaenda Rehab. Mtu kama huyo huwezi mpatia hela kwa sababu atarudi kwa madawa.”

“Eric kipindi anahangaika kumpeleka hospitali akampata ameaga. Nadhani ni mfano mzuri wa watu wananisikiliza, toka sasa achana na dawa za kulevya.”

Kuhusu kupotea kwake katika ucheshi, Eric amesema,

Soma hadithi hii:

Nia ya kuzima ndoto ya Ruto. TangaTanga waelezea hofu yao kuhusu ukimya wa Uhuru Kenyatta

‘Sijaingia mitini. Nimekuwa nikijipanga…Churchill ni platform kubwa mashariki na Afrika ya kati na kwa hivyo mara kwa mara huwa narudi pale.”

Fred anafanya kazi pamoja na kaka yake Eric Omondi ambaye alimtambulisha katika tasnia ya ucheshi.

IMG_9493__1568121304_62325

“Ni kama unafocus sana kwa YouTube ya Eric. Kuna kazi tunafanya pale You Tube.Off late tunafanya pamoja…”

Fred alisimulia kipindi na ambapo wazazi wao walikuwa hai

Soma hadithi hii:

Harmonize aonyesha dalili za kupoteza umaarufu. Mashabiki wampa shavu kavu (+Video)

“Babangu alikuwa inspekta wa polisi. Mama alikuwa biashara kidogo kidogo.”

“Sisi wazazi wetu walichoka na sisi. Kwa mfano kama amekosea,Eric angesema kitu hapo mum acheke.”

Kakake Eric Omnodi alikuwa wa msaada mkubwa kwake,

Eric alinikaribisha Churchill show. Akaniambia kuwa niko sawa kwa hivyo nianze.”

Soma hadithi hii:

Hela iliyopotea ATM ya Standard Chartered na G4S. Jinsi simu zilinaswa Thogoto

Aidha, staa huyu wa ucheshi ametaja juhudi familia iliwekeza katika kuhakikisha kaka yake ameacha uraibu wa dawa za kulevya.

‘Fred amesema kuwa familia ilifahamishwa alikokuwa ili wamfikie. Eric aliagiza kuwa asije akaachiliwa na awekwe katika hali ya utulivu.

“Eric kipindi anahangaika kumpeleka hospitali akampata ameaga. Nadhani ni mfano mzuri wa watu wananisikiliza, toka sasa achana na dawa za kulevya.”

Soma hadithi hii:

Utafiti waonyesha jinsi wafungwa wanavyotengeza mamilioni jela

Fred amesema kakake alikuwa mbioni kuikimbia familia.

Ni mwaka mmoja sasa tangu aage. Tulipitia mengi. Huyu ni mtu hatukuishi na yeye. Angepotea kwa sababu ya mihadarati.”

Marehemu baba yetu alikuwa mwanapolisi angemtafuta na kumpata. Iliwaumiza sana kakangu Eric na Irene.”

Soma hadithi nyingine za mwandishi huyu

 

Eric Omondi atokwa na povu insta. Afunguka jinsi Ebru ilivyomtesa Chipukeezy

Fundi na profesa wa ucheshi Africa Mashariki Eric Omondi amejawa na mori na ghadhabu kubwa alipopokea taarifa za Chipukeezy kutemana na runinga ya Ebru. Staa huyu amefunguka mengi jinsi uongozi wa runinga hii ulikuwa unamhangaisha mcheshi mwenzake.

Katika posti refu insta, staa huyu ameonyesha kuwa Chipukeezy alipitia mahangaiko tele katika mkataba wake na Ebru. Omondi anasisitiza kuwa sio tu kuwa anamshirikisha mcheshi anayekua kwa kasi zaidi Kartelo katika kipindi chake ila kuna baadhi ya madharau anayofanyiwa ili kuuvuruga mkataba.

Pata uhondo kamili:

Chipukeezy atemwa na runinga ya Ebru. Mbona figisu figisu?

I can not count the number of times Chipukeezy called me to Cry, Lament and Complain about Mistreatments and Frustrations at Ebru🤦🤦… I witnessed personally in awe as a watchman stopped Chipukeezy’s car at the gate and asked him to park outside because he was carrying “Vijana strange” ( Guests at the show). It is high time Media Houses started treating Artists with due respect. I have not been on TV for the past 7 years and I can assure you that am doing JUST FINE so @chipukeezyand @kartelo_official will be More than Okay!!! Do not be lied to @chipukeezy has left Ebru because of simple MADHARAU hata sio @kartelo_official tu, I have seen my boy suffer in silence and with sooo much patience, he’s taken it all and now he’s left. If I were Ebru TV I would apologize to @chipukeezy and @kartelo_officialVIJANAAAA!!! ALUTA CONTINUA!!!” 

Baada ya mkataba wa staa na fundi na ucheshi nchini Chipukeezy na Ebru kuvurugika, mastaa nchini wameonekana kukasirishwa na swala nzima na kuamua kumpa nguvu katika mtandao wa insta.Mkataba wao ulitatizika baada ya uongozi kumtumia baruapepe ukimtaka atenge wakati mwingi akiwahoji wakurugenzi na wanasiasa maarufu nchini kama alivyoripoti staa huyu katika mtandao wake wa insta.

Soma hapa:

Inspekta Mwala anusurika kichapo cha umati. Agonga na kuua mtu papo kwa hapo

Chipukeezy anasema kuwa ana jukumu kubwa zaidi kuhakikisha amekuza talanta wasanii wachanga na kuwa hawezi kabisa kushawishiwa na mtu kuacha . Staa huyu sasa anasema kuwa kipindi chake kitaruka kupitia mtandao wake wa YouTube.