Alidhani albamu yetu haitafana! Ethics na Octopizzo wajibizana

Majibizano baina ya wanamuziki wa kikundi cha Ethics na msanii wa hip hop nchini Otopizzo yanazidi kuibua hisia mseto baada ya Ethics kudai kuwa Octopizzo alikataa kushirikishwa katika albamu yao akidhani haitafanya vyema .

Kupitia mtandao wao wa twitter, Ethics waliandika kuwa Khaligraph Jones anafanya vyema kuliko Octopizzo, semi ambazo zilimpelekea Octo kujibu kuwa ni kutokana na hatua yake ya kukataa kushirikishwa katika albamu ya wasanii hao.

Kama sijabusu kisima cha asali, hawezi kunipa haki yangu ya ndoa- Asema mwanamume

“Aaah is it because I refused to jump on your project or? Anyway, it is life. Wakiritho TA!TA!” Octopizzo alisema

 

Ethics walilazimika kujibu madai hayo kati yao.

“We gave @OCTOPIZZO the privilege to be on our super dope album but hakuona vision, truth ni numbers ziko but ange kuja tu na zile mathogothanio zake, video for the song wasn’t part of the plan…all in all watch out June 13th album dropping, ‘BIG MAN BADO ODINARE’ Ni mbwaya ni moto” Ethic waliandika

Sponsor wangu ana chuma fupi ya doshi ,nikimwambia hanitoshelezi haskii hata! Asimulia Asha

Celebs ambao wakivalia kaptura hufanya Mjulus wa wanaume kuwa ngangari

Ethics aidha siku za hivi maajuzi wamekuwa wakikashifiwa na wakenya kutokana na nyimbo zao kuwa za uzushi haswa zinazozungumzia maswala kuhusiana na ngono kila mara..

Learn to grow up! Ethics waomba msamaha kutokana na wimbo wao potovu

NA NICKSON TOSI

Baada ya kuwa chini ya shinikizo kwa muda kutokana na wimbo wao wa Soko ambao una jumbe zinazoshabikia ubakaji nchini, wanamuziki wa kikundi cha Ethics wamejitokeza na kuomba msamaha kwa wakenya kutokana na wimbo huo.

Wiki jana, wakenya pamoja na wasanii wengine wa humu nchini walishikwa na hamaki kutokana na wimbo huo na kuwataka wasanii hao kuomba msamaha .

Sina jibu mie! Kati ya hao wacheza santuri [DJ]nani mkali wao?

Miongoni mwa watu waliowakashifu Ethics alikuwa Tedd Josiah ambaye alisema iwapo hizo ndizo nyimbo ambazo wasanii wa humu nchini wanapania kutoa kila wakati, basi sanaa ya muziki ya Kenya haitafana katika mataifa mengine yaliyostawi kimuziki.

Rais Mfu! Uchina yatuma madaktari Korea Kaskazini kuhusiana na hali ya afya ya Kim Jong Un

Kutokana na semi kama hizo, Ethics wameandika barua kwa mitandao yao wakiomba msamaha.

ETHIC MUSIC

Baada ya kutoa Utawezana na Mejja ,Femi One arejea na Freestyle ya Wimbo huo

Tazama ujumbe huo wa msamaha.

93929283_261494528579614_1795768048874534742_n

Wengine waliokashifu wimbo huo ni Ezekiel Mutua ambaye alisema hatakawia kuutoa katika mitandao ya kijamii ya humu nchini.

Mna ujinga sana! Mnaeneza jumbe za unajisi kwa nini? Wakenya wakasirishwa na wimbo mpya wa Ethics

NA NICKSON TOSI

Kwa mara nyingine tena, wanamuziki wa kikundi cha Ethics nchini wamejikuta katika  njia panda baada ya kutoa wimbo unaeneza jumbe za kufanya kitendo cha  ubakaji nchini kuonekana kama kitu halali.

Kinaya ni kwamba, licha ya kukashifiwa na wakenya wengi, Ethics kwa mara hii wamefanya wimbo kwa jina Soko ambao baadhi ya maneno yaliyotumika katika wimbo huo yanaeneza ujumbe kuwa kitendo cha kunajisiwa si kinyume cha sheria  hali ambayo imewakasirisha mamia ya wakenya.

Wololo! Zambian MPs visit Kenya to learn how to fight corruption

Miongoni mwa wale waliokasirishwa na kitendo hicho ni  Tedd Josiaha ambaye amesema vijana hao wanatafuta umaarufu kwa kutumia mbinu za kitambo zisizo na maadili yoyote.

Tedd amesema kuwa nyimbo kama hizo zinaangamiza sanaa ya muziki wa Kenya kwani maneno yaliyotumika hayawezi kufanya wasanii wengine nchini kutoa nyimbo ambazo zinaweza kuendeleza sanaa hiyo.

 

 

Ujumbe wa Tedd Josiah alioandika kuhusiana na wimbo huo ni huu hapa tumeunakili kwa lugha ya kiingereza.

Rape culture is a huge NO! You 2-bit silly Gengetone artistes and producers I want u to sit ur punk asses down right now and listen! You’re killing an industry called the music industry of Kenya when it’s already on its knees! Why y’all wanna start talking bout raping little infants 👶🏽 in your tracks? Why y’all wanna make ladies our beautiful Kenyan ladies think that sex is a man’s right and if u don’t give it then u ain’t nothing? Why y’all messing things up for yourselves and all those talented kids trying to come up without stupid music or scandalous stories! Use ur talent not scandals, sex, drugs and all that nonsense you can do much better! Big brother is watching u 👁”aliandika  Tedd

 

Baadhi ya wasanii wengine kutoka kwa kikundi cha Sailors Peter Miracle Boy pia yeye alikasirishwa na hatua ya Ethics na kuandika hivi.

Siwezi kimya mumechoma😳Rape haifai ku glorifiwa. SHAME ON YOU 🙄 

Mamlaka ya kuratibu ubora wa miziki nchini KFCB haikubaki nyuma bali ilihakikisha kuwa wimbo huo unatolewa katika mitandao yote ya kijamii na kuwatumia wasanii hao onyo kali.

Pandana and Tarimbo wimbo huu ulipigwa marufuku nchini na KFCB baada ya kufahamika kuwa baadhi ya maneno ambayo yalitumika katika wimbo huo yalikuwa ya kupotosha jamii.