‘Rudi Baringo ukapange huko kwanza,’ Joshua Kutuny amwambia Gideon Moi

Mbunge wa Chereng’any Joshua Ktuny amemkashifu vikali mwekiti wa chama cha KANU Gideon Moi na kusema kuwa hawezi ongoza jamii ya Kalenjin na anapswa kurudi Baringo na kupanga watu wa eneo hilo kabla hajaanza kupanga jamii ya Kalenjin.

Kutuny alisema Moi anaongozwa na maslahi ya kibinafsi na hivyo hatilii maanani mahitaji ya jamii hiyo.

Pia Kutuny alisema kuwa Moi amekuwa akimchochea rais Uhuru Kenyatta kuwafuta wandani wa naibu wake William Ruto kazi walio serikalini.

“Tunataka kumuambia Gideon kuwa huwezi kuchukua nafasi kuadhibu na kutisha maafisa wa serikali ambao walipewa kazi  na Ruto au marafiki wake

Joshua Kutuny
Joshua Kutuny

Mimi nataka kumueleza Gideon kuwa kabla ya kuja hapa kutupanga na kupanga bonde la ufa, rudi kwako Baringo kwanza upange huko, … kwa sababu huko ndio William Ruto ana umaarufu mkubwa. Ni kisa cha nyani ambaye haoni kundule.” Alizungumza Kutuny.

Aidha amesema kuwa yuko tayari kuwasaidia na kuwatetea maafisa walioserikalini ambao ni wanadani wa William Ruto.

gideonmoi2

Inaarifiwa Kutuny walikosana na Moi kufuatia mabadiliko yaliyofanywa katika shirika linalosimamia ujenzi wa barabara za mashinani (KURA).

Mabadiliko hayo yalifanya Luka Kimeli, ambaye alikuwa ni meneja mkurugenzi, atimuliwe na nafasi yake kuchukuliwa na Philemon Kandie.

Glavu zatolewa huku kambi ya Gideon Moi ikigawanyika

Kiongozi wa Kanu Gideon Moi huenda akajipata matatani endapo hatapiga hatua ya dharura kuwaunganisha viongozi katikamrengo wake Rift valley  baada ya kutokea mgawanyiko kabla ya uchaguzi kuu wa 2022 .

Hali imeonekana kuwa mbaya baada ya  mbunge wa cherengany  Joshua Kutuny kumshtumu Mi kwa kutojali maslahi ya watu wa Rift Valley .

Isitishe ,washirika wake wa karibu na wenye ushaiwishi katika chama chake  mbunge wa  Emurua Dikir Johana Ng’eno  na gavana wa West Pokot John Lonyangapuo –  wameonakana kuanza kuegemea upande wa naibu w arais William Ruto .

Maseneta 25 wakula njama ya kuyakataa mapendekezo ya Uhuru na Raila

Ng’eno  ametangaza hadharani kwamba atamuunga mkono DP Ruto kugombea urais mwaka wa 2022 . Kulingana  naye toshi ya uongozi wa wakalenjin itaelekea Nandi mwaka wa 2022 kupitia Ruto kuisha ije kwa jamii ya Kipsigis

Gideon, ambaye ni seneta wa Baringo ni miongoni mwa viongozi wanalenga kumrithi rais Uhuru Kenyatta . Kutuny amesema alifiiri Gideon ni bora  zaidi ya Ruto lakini amegeuka kuwa  ‘mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo ‘

Mbunge huyo  amekuwa mkosoaji mkubwa wa DP Ruto na hatua yake ya kubadilisha msimamo huenda ikawa na athari katika kambi ya Gideon Moi  . Ameliambia gazeti la the Star ;

“Gideon  sasa ni adui ya watu wa Rift Valley .Anawatambua maafisa wakuu watendaji katika mashirika ya serikali  kutoka Rift valley kisha kusababisha wafutwe kazi kwa madai kwamba ni washirika wa DP   Ruto’

Maseneta 25 wakula njama ya kuyakataa mapendekezo ya Uhuru na Raila

Kutuny ndiye sura ya mrengo wa kielweke katika eneo la Rift valley  . tatizo lake la Gideon limetokana na mageuzi yaliofanywa katika shirika la KURA

Wote walikuwa wamekubaliana kwamba Luka Kimeli ambayealikuwa maneja mkurugenzi wa Kyura  na mkaazi wa cherangany  athibitishe kama mkurugenzi mkuuu wa maamlaka hiyo

Ha hivyo ,kulingana na Kutuny  ,Gideon alikiuka makubaliano hayo  yaliyokuwa yameidhinishwa na rais Kenyatta  na kushawishi uteuzi wa Philemon Kandie katika nafasi hiyo.Kandie anatoka Baringo

 

Fimbo ya Moi! Gideon Moi aanza kuweka mikakati ya 2022

Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa ameanza kuweka mikakati mwafaka ya kuinua chama cha Kanu katika eneo la Bonde la Ufa baada ya kutia saini maafikiano na chama cha Jubilee wiki jana.

Matawi ya Kanu Rift Valley ambapo chama hicho kina uungwaji mkubwa wa watu, yameidhinisha makubaliona hayo ambayo yalimfanya seneta wa Pokot Magharibi Samuel Poghisio kupewa kiti cha kiongozi wa wengi katika bunge la seneti baada ya kutimuliwa kwa Kipchuma Murkomen.

“We fully support the coalition between our two parties, Gideon Moi and President Kenyatta, and endorse the decision to have Poghisho take over as Senate Majority Leader,” David Chepsiror, mwenyekiti wa Kanu tawi la Uasin Gishu.

Moto ndani ya Jubilee! Wanawake wa ‘tanga tanga’ walalamikia vitisho

moi

Pia maoni hayo yaliungwa mkonoi na viongozi wengine 15 wakiwemo Paul Kibet wa Keiyo Kusini.

“The new arrangement was long overdue because it will help the President achieve his plans for the country instead of having a situation where all his plans are opposed and undermined by people who have selfish interests especially within the Rift Valley region,”amesema  Kibet .

Uasin Gishu Kanu chairman David Chepsiror in Eldoret on February 13

Ni ukweli tunapanga kitu na Rais Kenyatta- Isaach Rutto asema

Gideon kwa sasa anafanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa eneo hilo kutoka kwa chama cha Kanu na vyama vingine ili kuleta maambatano kufikia mwaka wa uchaguzi wa 2022 kutokana na mvutano uliopo baina ya rais Kenyatta na naibuye William Ruto.

Ruto kwa sasa ana uungwaji mkubwa wa watu ukanda huo wa Rift Valley huku viongozi Samson Cherargei na Oscar Sudi wakipinga vikali maafikiano baina ya Jubilee na Kanu.

 

“Even the Political Parties Tribunal has already declared that the so-called coalition illegal, but all the same Kanu is not a factor in either Rift Valley or national politics,” Cherargei alisema.

Sudi amesema kuwa hawatalegeza kamba kuhusiana na hatua ya kumpigia debe naibu rais na kuongeza kuwa idadi kubwa ya watu wanaomuunga mkono nchini haitapungua kamwe.

 

“We are not interested in small-time politics with non-entities like Kanu. Our focus as a team led by the DP is how to take this country forward because our youth have no jobs and the economy is collapsing,” Sudi aliongezea .

Kifo cha mzee Moi kilimfanya Gideon kupata uungwaji mkono kutoka kwa viongozi wengine baada ya kupokezwa fimbo maarufu ya Nyayo.

Aidha Gideon yuko na nyumba eneo la Soy, mita chache tu kutoka kwa boma la Ruto Sugoi.

 

.

Mbivu na Mbichi: Gideon na Ruto kukabana koo Rift Valley

Seneta wa Baringo Gideon Moi jana alikabidiwa rungu ya babake  ili kuashiriwa kukabidhiwa jukumu la  kuiongoza familia yake kisiasa  .

Ilikuwa ni ishara tosha kwamba rais mstaafu  Marehemu Moi  alikuwa amemchagua mwanawe wa mwisho  wa kiume kuchukua usukani wa kuiongoza familia hiyo kisiasa . Watu waliofahamu mipango ya familia Ya Mzee  Moi wamesema kabla hata ya  hafla ya jana ya Gideon kukabidhiwa rungu hiyo na kakake Raymond ,Moi alikuwa ameshatangaza kabla ya kifo chake kwa Gideon Ndiye atakayemrithi kisiasa.

Kingpin? Gideon Moi apewa ‘rungu’ ya Mzee Moi na familia yake.

Kisha alianza kumfunza mambo ya kumwezesha kuchukua jukumu hilo na tangia hapo Gideon Moi alikuwa karibu sana na babake . Inafahamika kwamba Mzee Moi ndiye aliyemshinikiza mwanawe kujiunga na siasa  na pia kukiongoa chama Cha KANU .

‘Nilidanganya Mzee Moi kwamba nilikuwa bafuni’ Rais Kenyatta awachekesha waombolezaji Kabarak

Kuidhinishwa kwa Gideon kama mrithi wa Mzee Moi sasa huenda kukafungua wamu nyingine kali ya  malumabno ya uongozi wa jamii ya wakalenjin na naibu wa rais William Ruto . Gideon  hakutarajiwa kulingana na mila za wakalenjin kuwaruka kakake zake wakubwa marehemu Jonathan na mtoto wa pili wa Mi Raymond ili kuchukua usukani wa kisiasa wa familia yake . Lakini uamuzi wa familia kubwa ya Chepkeres  kumpa uongozi wa kisiasa wa familia huenda  umethibitisha uamuzi wa marehemu Mzee Moi . Baada ya Gideon kupewa jukumu hilo ,hofu iliyokuwepo  ya uwezekano wa kuzuka mgawanyiko sasa imefutiliwa mbali .

 

 

 

 

 

 

Kingpin? Gideon Moi apewa ‘rungu’ ya Mzee Moi na familia yake.

Seneta wa  Baringo na mwanawe rais mstaafu Marehemu Daniel Moi leo amepewa rungu ya Mzee Moi ili kumpokeza jukumu la kuiongoza familia ya Moi kisiasa . Kakake mkuu Raymond Moi ambaye ni mbunge wa Rongai ,alimkabidhi Gideon Rungu hiyo akisema sasa ndiye atakayekuwa na jukumu la kuipa familia ya Moi   mwelekeo wa kisiasa .

‘Nilidanganya Mzee Moi kwamba nilikuwa bafuni’ Rais Kenyatta awachekesha waombolezaji Kabarak

Hatua hiyo huenda ikatafsiriwa kama  kumpepeza Gideon katika kilele cha usemi katika jamii ya wakalenjin. Gideon  na naibu wa rais William Ruto wamekuwa katika  nipe nikupe ya kujaribu kuchukuwa uongozi wa jamii hiyo kisiasa lakini baada ya uchaguzi  wa 2013 ambapo Ruto aliungana na Uhuru Kenyatta kuunda serikali ,amechukuliwa kama ‘kiongozi’ wa wakalenjin kisiasa . Wakati wa hafla fupi ya kumpa Gideon Rungu hiyo Raymond amesema –

KWA  VILE MZEE   ALITULINDA ,NA KULINDA KENYA VIZURI ,TUNAAMBIA HUYU(Gideon) KANU IAMKE.. NA TUKO NA BBI ,WE WANT TO  BE PART OF IT..WE SUPPORT BBI’  amesema Raymond .

giedeon na Rungu

Toka Hapa! Mike Sonko afurushwa jukwaani Kabarak wakati wa mazishi ya Mzee Moi

Alipoichukua rungu hiyo ,Gideon aliahidi kufanya kadri ya uwezo wake kufaulu katika jukumu lake la kuiongoza familia ya Moi kisiasa .

‘HATA KUSHIKA HII RUNGU…ANYWAY…NITAJARIBU ..NIKIWEKA MWENYEZI MUNGU MBELE,MENGI TUTASEMA BAADAYE’. Amesema Gideon .Kakake

 

 

Photo of the day: William Ruto and Gideon Moi come face to face

Deputy President attended the funeral service of the late Jonathan Moi, at the Kabarak University grounds.

The somber ceremony saw Ruto and Gideon Moi shake hands as the Deputy President walked to his seat.

Many have been speculating if the DP will attend the service, owing to tension between Ruto and Moi.

 

Raila, Gideon Moi hold talks for hours in Nairobi

The AU special infrastructure envoy and ODM chief Raila Odinga today held a four-hour meeting with KANU leader and Baringo Senator Gideon Moi in Nairobi.

The between between the two  is expected to generate wide political interest, and even re-ignite the succession politics debates.

There has been debates about leaders who descended from powerful families regrouping to stop politicians from “poor backgrounds” from assuming power after President Uhuru Kenyatta term expires in 2022.

Politicians allied to Deputy president William Ruto have been particularly vocal about this and with this meeting in perspective, it is expected that the rhetoric could raise again.

Sources close to the two leaders confirmed the meeting, but refused to give more details on what they discussed.

The meeting is said to have been at a Nairobi hotel and was closed door.

While the Baringo senator has announced that he will be running to replace Uhuru in the next election the ODM leader has not be forthcoming on whether he will vie or hang his boots in favour of a young leader.

Odinga has vied four times but maintains that he only lost once and that in the three other times, he was rigged out.

He would then have a truce with President Uhuru in March last year, neutralizing the opposition and developing a working relationship with the government.

 

 

Riverside Attack: Politicians pay tribute to security forces for quick response

Tributes continue to pour in following the attack at 14 Riverside Drive where 21 people lost their lives.

IG Boinnet Wednesday confirmed the death toll has climbed to 21, after six more bodies were retrieved from the scene.

“It is unfortunate that we have picked six other bodies at the scene while one officer succumbed to the injuries,” he said.

The IG said among the dead are 16 Kenyans, one Briton, one American and three others of African descent that are yet to be identified.

dusit9
Glass shattered at Dusit D2

“As a result, our final tally indicates that five terrorists were eliminated by our security apparatus,” Boinett said.

Politicians have visited the scene of the attack, where they have praised security forces for a quick response.

He also praised the emergency team from Nairobi County who also showed their quick response. He commended measures put up by the government to ensure the city is a safe place for everyone.

Sonko condoled with the families who lost their loved ones during the attack and asked the residence to report any suspicious activities to the policy.

matiangi at dusit
Internal CS leads officiails to 14 Riverside Drive

Baringo Senator Gideon Moi has joined other leaders in condemning the attack

He said; “I would like to offer my deepest sympathy to the families who lost their loved ones and injured during the attack”.

dusit fire 8
Red Cross help evacuate employees at 14 Riverside Drive

Opposition leader Raila Odinga also condemned the terror attack act.

“we condemn in the strongest term possible this act of cowardice by the attackers”

 

 

 

 

 

Declare your bid to kickoff campaigns ahead of 2022, KANU supporters tell Moi

Declare presidential bid now so we can kickoff massive countrywide campaigns ahead of 2022 general elections, KANU supporters urge Baringo Senator Gideon Moi.

Led by Nominated KANU Member of Parliament from Wajir County Saadia Ahmed Mumin, the leaders praised Senator Moi saying he is fit to take over power after Uhuru Kenyatta ten-year term ends.

“I am blood-injected KANU die hard and my plea is just to urge Gideon to speed up his declaration for presidency so we can move all over the country to bid him” said Mumin.

The MP said the pastoral communities in Kenya were tired of being marginalized and suppressed trusting that Moi shall put forward their interest once he gets to power.

She was backed my Emurwa-Dikirr MP Johana Ng’eno who also appealed to Senator Moi to declare his bid early.

“Tell us about your plans and if you will not contest for presidency in 2022 then please stop disturbing our minds” Ng’eno told Moi.

He further urged the Senator to wake up and work to serve the people, “Don’t ever relax your muscles thinking that the people will vote you as the president simple because you are a son of former president…it does not come in a golden platter like that you must sweat for it in order to convince the people to vote for you” Ng’eno.

She was backed by West Pokot Governor Professor John Lonyangapuo, Kapenguria MP Samwel Moroto, Fred Ouda (Kisumu town), Rehema Jaldesa (Isiolo), Kangogo Bowen(Marakwet East), Bishop Titus Khamala (MP Lurambi), Major Bashir (Mandera North) and Omar Mohamed (Mandera East).

The leaders attended the homecoming of Tiaty Constituency Member of Parliament (MP) William Kamket, at Michuki grounds in Chemolingot on Saturday.

However Moi, who doubles KANU party Chair, maintained that it is not yet time for 2022 campaigns urging the elected leaders to work for the people.

“Time will come for politics and my word remains ‘tumto ko tako tai’, battle is still ahead” he said.

-Joseph Kangogo