Wahasiriwa wa maporomoko West Pokot wadai kutelekezwa, BBI ikipewa kapau mbele

Wakaazi wa kaunti ya West Pokot wameonyesha kutoridhishwa na jinsi serikali inavyojikokota kuwapa misaada ya kimsingi baada ya janga la maporomoko ya ardhi, Jumamosi.

Mkaazi Paul Limakau ameelezea masaibu wanayopitia bila huduma za kimsingi licha ya hali ya anga kuimarika, hawajapata misaada ya chakula.

“Hatujapata usaidizi wa serikali. Leo hii anga ni shwari na ndege za kijeshi zingekuja kuzipa familia zilizoathiriwa misaada ya dharura.” alisema.

Aidha, wananchi hao walisema kwamba serikali imeangazia ripoti ya BBI zaidi na kuwatelekeza licha ya kwamba wao ndiyo waliowachagua viongozi katika nyadhifa tofauti serikalini.

Kwendeni Huko! Nina Haki Ya Kusikika, Murkomen Afoka Kwenye Uzinduzi Wa BBI

Wakaazi hata hivyo, wamepongeza shirika la Kenya Red Cross kwa kujumuika nao huku wakitoa misaada ya dharura.

“Red Cross wamekuwa hapa tangu mkasa ulipotokea,” alisema.

Mkaazi Reuben Teko alisema kwamba wanawake katika kambi ya Sebit hawajapata msaada wowote.

Rubani Jasiri Anusuru Maisha Ya Abiria Ndege Ilipopigwa Na Radi Angani

“Kuna mama mwenye mtoto wa umri wa siku tatu na hadi sasa hajapewa mavazi ya kujikinga kutokana na baridi kali. Ana blanketi moja tu. Nyumba yao ilisombwa na mafuriko,” alisema.

Mnamo Jumatano asubuhi, Gavana John Lonyangapuo alipokea misaada ya chakula na pamoja na mahitaji mengine maalum kutoka wahisani ili kusaidia familia zilizoathirika.

Misaada hiyo ilitolewa Wakfu wa Al Khair, Kape matt, jamii ya wafanya biashara pamoja na makanisa na kusambazwa katika vijiji vya Mwino na Parua.

Kwa sasa, idadi ya waliofariki imetimia 58.

Lonyangapuo aliwasihi wahisani kutoa misaada zaidi kwa familia 10,000 zilizoachwa bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na mafuriko.

Mwanaume Aliyempiga Mlinzi Wa Lango Mtaani Komarock Akamatwa -Video

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO

‘Kijana fupi amenona..’ Compilation of the best quotes by lonyang’apuo

A few months back, West Pokot governor, John Lonyang’apuo made headlines thanks to his hilarious ‘Kijana fupi amenona round’ remarks.

He was making the remarks in reference to one of he former MCA aspirant as “Kijana fupi, amenona, round; huwezi jua tumbo ni wapi, mgongo ni wapi

Je, ushawahi jiuliza ni nani huyu “kijana fupi round”?

The speech went viral and every Kenyan grabbed an opportunity to make a meme out of the remarks. In fact, the speech caught the president’s attention and had to utter the very same words the moment the two met.

In fact, those were not the only remarks that Kenyans grabbed and ran away with, but if you have watched the entire speech you would agree that every word is worth a meme!

One Kenyan even went ahead and endorsed it as Kenya’s best speech ever.

Lonyang’apuo who is now regarded as one of the funniest politicians since president Kibaki, is not slowing down and more videos of him have been unearthed and are picking from where the ‘kijana fupi’ storm stopped.

President Uhuru bursts out laughing with Governor Lonyangapuo about ‘kijana fupi amenona’ joke

Take a look at some of the funniest quotes from Lonyang’apuo.

Je, ushawahi jiuliza ni nani huyu “kijana fupi round”?

Ucheshi wa “kijana fupi round” umeteka anga za ucheshi kwa takriban mwezi mmoja sasa.

Tamko hili ambalo limewafanya wakenya kulifurahia katika mitandao ya kijamii lilifanyika wakati na ambapo gavana wa kaunti wa Pokot Magharibi mheshimiwa  John Lonyangapuo alikuwa akihutubia wananchi na kuonekana kupandwa na mori sana.

Gavana huyu alionekana kugadhabishwa na mwanasiasa aliyegombea kiti cha mwakilishi wodi na kupoteza kwa mpinzani wake wa karibu. Katika hotuba hiyo gavana huyu anadai kuwa mwanasiasa huyu alipata kura tatu na kuaibisha chama chake cha KANU.

President Uhuru bursts out laughing with Governor Lonyangapuo about ‘kijana fupi amenona’ joke

Gavana huyu alikuwa anamtupia vijembe mwanasiasa katika kaunti yake anayefahamika kama Dennis Ruto. Mwanasiasa huyu ni katika ya watu wanaopinga uchaguzi wake gavana John.

Ruto alitaka kujua na kuelezwa sababu zinazomfanya naibu wa gavana kaunti hiyo kuwahudumia wananchi akiwa nchi za ng’ambo Marekani badala ya kuwahudumia watu akiwa nchini.

Rais Kenyatta amtembelea na kumfariji Rais Mstaafu Moi kufuatia kifo cha Jonathan Moi

Tamko la gavana huyu linaonekana kutamba kwa kasi sana na kukamata hisia za wengi huku Rais Uhuru Kenyatta akiwa miongoni mwa wakenya wanaofurahishwa sana na jinsi ucheshi huu unavyotokea. Wawili hawa walikutana hapo jana kipindi na ambapo Rais alikuwa ameenda kumfariji aliyekuwa rais wa Kenya mzee Moi kwa kumpoteza mwanawe Jonathan.

Denis Ruto ambaye ameanzisha vuguvugu la kumpinga Lonyangapuo linalokwenda kwa jina Mulmwas katika mahojiano na vyombo vya habari  anadokeza kuwa alihisi vibaya sana aliposikia kwa mara ya kwanza.

Ruto aligombea kiti cha mwakilishi wa wodi ya Lelan katika mkoa wa Pokot Kusini na tikiti ya chama cha KANU  na kupoteza kwa mpinzani  wake Johnson Lokato .

North Rift leaders to be grilled over Nadome killings

Photo source: northriftnews.com

A section of North Rift leaders are today expected to be grilled by police over killings in the area in which more than 60 were killed last week.

The leaders who include West Pokot Senator Prof John Lonyangapuo, Tiaty MP Asman Kamama, who is also the chairman of the Parliamentary Security Committee, Kapenguria MP Samwel Moroto and Samburu North MP Alois Lentoimanga were summoned by officers from Directorate of Criminal Investigations (DCI) headquarters in Nairobi.

Officials at DCI said they were supposed to appear last Friday but they requested to report on today. They among others are expected to respond to queries over the Nadome killings.

Gunmen from Turkana are suspected of launching an attack on May 4 against an ethnic Pokot village along the Turkana-East Pokot border, an area where there are frequent deadly conflicts between the two communities. This was after the Pokots had earlier attacked the Turkanas in a cattle rustling incident.