Ilikuaje: Nilifanyiwe mke nikiwa miaka 16 – Kiambu MCA Mercy Nungari

Doh!

Mgeni aliyejiunga na Massawe Japanni studio anafahamika kama Mercy Nungari, nominated MCA wa Limuru East Ward Kiambu.

Ana fahamika kama Nungash kwa mafans. Anasema amepitia matatizo katika maisha yake. Safari moja alikuwa msichana wa kazi sasa hivi yeye ni MCA.

Amepitia mambo ambayo hawezi sahau. Anasema amezaliwa kwa umaskini watoto sita walikuwa wanalal wanaumwa na chawa na kunguni na alianza kufanya kazi akiwa mtot mdogo wa miaka tano.

Alisema’ Hapa nimefika ni mungu Sikuzaliwa hospitali, nilizaliwa kwa njia. Wazazi wangu walikuwa wanatoka kibarua Uchungu wa mtot ulikuja barabarani, Wazazi wangu walikuwa wachuna majani Ilikuwa inabidi saa zingine tunalala njaa’

Tulisoma kwa shida. tulilala chini mnaenda bila chakula, kunguni zimenikula zaidi.

Akisimulia stori yake katika kitengo cha Ilikuaje, Bi Mercy alisema

Ninafamilia lakini wakati unajua wakati watu wako na shida watu maskini, kuna wale watu waantake advantage. So kuna mwanaume alitook advantage of me na huyo mwanaume aliniambia ananipea kazi ya kuangalia watoto kwa nyumba yake, so it was something demonic kwasababu nilikuwa nafungiwa kwa nyumba 

Alifanyiwa nini?

Huyo mwanaume alinifanya bib yake, na nilikuwa napitia mateso unajua kwanza mimi nilikuwa mtoto so hata skuwa nataka kutoka juu ya ile kitendo alinifanyia sio kizuri na alikuwa na mabibi walikuwa wamekufa so nilikuwa naangalia watoto. Hata mama yake wakati walitafutwa na wanakijiji wetu, alisema mwenye ameona ni maid tuu. Na saa hiyo niko kwa nyumba Kuna hizi malwa za kufunga, huwezi ongea umefungiwa huwezi ongea na mpaka nikapelekwa nikafichwa mahali nikakaa kama mwezi sasa wazazi wangu wakatulia na sikuwa naweza kutoroka, tena huko sikuwa na chakula sasa huko ndio nilipata shida unaona nimeenda huko ndio mtihani form four.

Huyo mtu bado alikuwa anakuja na wanawake kwa nyumba sasa hatukuwa tunajua kitu, mimi nilikuwa nafanya kibarua kufulia watu manguo, napewa unga nipikie watoto wake. 

Alijikomboa aje katika maish na huyu mwanamume?

‘ah nikiwa mahali pale nilihubiriwa na nikaokoka. Mungu alinijia kupitia maombi, nilikuwa napitia magumu, nilibandikwa majina, na nikaamua kujiombea na kuenda kanisa ya PCEA, na kanisa ikanichukuwa na kutambua nilikuwa na talent ya uimbaji, na pia wao walikuwa wanajua hali yangu. Waliniambia tumekufungua, wakniambia wamenipa baraka yao, nilizidi kuvumilia kwasababu nilifikiria munug amenichagulia hiyo boma lakini huyo mtu wakashikana wakauza shamba na tukafukuzwa na auctioneers, sasa nikarudi kwetu. Walikuwa wanatuma brothers wangu wananiambia nitoke huko lakini sikuweza, hata nilikuwa napigwa brothers wangu wakiwa hapo.

 

 

Ilikuaje: Guardian Angel aeleza jinsi alivyoteseka baada ya kukataliwa na babake

Mwanamziki Guardian Angel almaarufu Audiphaxad Peter amelelewa na mama peke yake kwa maana aliweza kukataliwa na baba yake akiwa bado hajazaliwa.

Ni mkristo ambaye amepitia mengi kisha kuja kuwa mwanamziki maarufu wa nyimbi za injili.

Guardian amekuwa akiimba kwa miaka nane mwaka wa 2017 ndivyo alivyojulikana mzuri na mashabiki wake.

Offences your favourite sportsmen have ever been charged with

“Ilifika kiwango mpaka nikasikia kuacha kuimba nyimbo za injili kwa maana nilikuwa naona nyimbo hizo zingine ziko na mashabiki wengi kuliko za injili hasahasa zangu.

“Nilikuwa nimepanga niimbe wimbo wangu wa mwisho kisha niwache lakini na mshukuru mungu hakuniacha,” Alisimulia Angel.

guardian angel
                 Mwanamziki guardian angel

Mwanamuziki huyo aliweza kuachwa na mamayake ili aje kutafuta kazi Nairobi, ndipo aliweza kuachwa na nyanya yake.

Alieleza kuwa maisha kwake haya kuwa rahisi kwa maana babu yake alikuwa ni wa kambo kwa hivyo aliweza kusisitiza apelekwe kwa baba yake aliye pachika mamake mimba.

Guardian alitoroka nyumbani kwa sababu ya mateso akaenda kuishi mitaani.

“Nilienda kuishi mitaani nikakua chokora yaani kijana wa mtaani katika eneo la western Butere kwa mwaka mmoja ndipo mamangu alipokuja kutoka Nairobi kunichukua,” Guardian alielezea.

Aliweza kuongezea na kusema kuwa ni yeye alikuwa kijana wa mtaani wa kwanza katika eneo hilo la Butere.

guardianangelartworkforradiojambo
Guardian Angel alijiunga na Massawe Japanni

Walipokuja Nairobi na mamake kazi iliisha na kuanza kuteseka tena ndipo alipo rudi mitaani tena hili kujikimu, alikaa mitaani kwa miaka miwili.

Heartbreaking: Body of missing Nation employee found at city mortuary

“Nilikuwa nishaa zoea maisha ya mitaani kwa hivyo nilitoka nyumbani nikaenda mitaani tena lakini mamangu hakujua ama nimerudi mitaani tena,” Aliongea Guardian.

Mama yake aliweza kuongea na babake mzazi wa Angel akiwa na miaka kumi ilhali hakuwasaidia na chochote.

Baada ya miaka miwili rais Uhuru Kenyatta kuamuru vijana wote ambao wako mitaani washikwe na kupelekwa shuleni mwa mayatima.

“Baada ya rais kuamuru tupelekwe shuleni mimi nilienda baroni kwa miezi miwili kisha nikapelekwa ‘Approved school’ baada ya hapo tuliweza kuambiwa ambao wanajua kwao wapelekane ili kuona jamii zao,” Alisema Angel.

Baada ya mwana mziki huyo kutoka shuleni, waliweza kuhama Kibera kisha wakaenda Mwiki na mamake ambapo maisha yalikuwa magumu zaidi.

Exclusive: Gospel singer Pitson reveals his valentines day plans

“Niliokoka nikiwa jela na kutoka nikue mndogo mama yangu alikuwa mkristo, huwa naomba sana katika maisha yangu,” Alizungumza Angel.

Angel ni mwanamziki ambaye hajaoa, aliweza kusema kuwa wana mziki wengi huwa wanaimba tu ili waweze kuonekana lakini si kusambaza injili ya yesu.

Baada ya kutoka ‘approved school’ Guardian alirudi nyumbani ili aweze kukamilisha masomo yake. Alipofika kidato cha tatu aliweza kutoa wimbo wake wa kwanza ambao unaitw ‘Amaizing grace’.

 

 

 

Ilikuaje: Niliteseka Afrika Kusini asimulia kakake Getrude Mungai

Katika kitengo cha ilikuaje, Bi Mary Njuge alijiunga na Massawe Japanni ambaye aliweza kusoma stori yake katika gazetti na kusema huu mama laizima amlete studio awaeleze wakenya jinsi alivyo okoa kakake Getrude Mungai kule afrika Kusini.

Ni nini anachofanya Afrika Kusini?

Nilingiaa south africa mwaka 1992, tukienda kutafuta mali na biashara, na kutoka wakti huo tulikuwa wakenya wa kwanza kuingi hilo nchi.

kwa hivyo nikawa na nafasi sana ya upata wakenya ambao wameingia shida and hiyo ndio iligusa mwoyo wangu. sana sana watu young wakiingi south africa wanapata shida. 

massawejapanni
Radio Jambo presenter Massawe Japnni

shida gani wanzopitia?

Watot wanaingia wakiambiwa kazi ni rahisi lakini wenye kuwaita saa ingine wanawatoroka ama wengine wanwatumia vibaya, na sana sana wanishi kwa streets. 

Na ile issue ya south africa, hawkaribishi wageni kwa hivyo watu wengi wana wanapata kuishi maisha yenye itakuwa disturbing. na hata wengine wanenda kuingi kwa mambo yenye sio inafaa kwa maisha ama kwa biashara zingine yenye si ile biahsra wanyotamani. 

Mbona wakenya wanaoenda kuishi south africa hawasomi?

ni mshutko kwasababu ile matarajio sababu wengi waningia mambo makuu you know maisha itakuwa rahisi kama tunavyosikia america, only kuingia pale na unakuta maisha sio vile 

shirika letu tulianza after wamamam kadha tukisaidia watu pale, tulikuta kama ukiwa pekee yako inakuwa ngumu na saa ingine hata hujui nani utamuita akuje akusaidie. 

Kuna safari moja ilikuwa inaitwa xenophobia, kwamba mkenya yeyote au watu kutoka mataifa tofauti hawa ruhusiwi kuishi na kufanya kazi afrika kusini, na wakaaji kusema hawapati kazi kwasababu ya wageni. Ni nani aliweza kumwokoa?

Edwin Munanga aliyekuwa victim wa xenophobia, lieleza yaliyotokea na alivyorudi nchini Kenya.

Afrika kusini ilkuwa kama canaan, na nikaenda kujaribu na nikapata kazi Banut beat records, nilianza kama msaidizi wa kuosha na sababu nilikuwa na interest, nikaanza na music production, nikiwa 25 years.

Kutoka kuosha studio hadi kuwa CEO, haikufurahisha wengine. 

oosthuizen-xenophobia
Anti immigrant protests in south Africa

Nilipanda ngazi na kwasabau nilikuwa na deal na community, walinipenda. lakini kwa hiyo kupanda ikawa shida. kupitia hapo ndio maisha ikawa ngumu na serikali ikaleta rules ngumu sana, ikabidi tutoroke usiku. 

Maisha ikaanza kuwa ngumu, ikafika hio wakati ya xenophobia, na tulalose hiyo building walipochoma. 

Walitake over building na huwezi rudi, kwasbabu wamehijack building. 

Skiza kanda ujue alipohepa xenophobia;

 

 

‘My uncle challenged me to venture into comedy industry,’ – Jasper Murume

Top comedian, Jasper mwongera also known as Jasper Murume revealed that he has his dear uncle to thank for the success he is enjoying ever since he ventured into comedy.

Speaking to Massawe Japanni on Thursday afternoon, Murume who is famed for his meru accent, narrated how he almost gave up in comedy after failing in numerous auditions.

I had the determination to do comedy just like everyone else and so I had to hustle hard. I went for auditions and it all started when I used to do crazy comedy with the likes of Fred Omondi, then I got the right contacts and I got to learn about Churchill Show auditions.

Finally I went and Victor Ber gave me a shot but it did not go as planned.” He said.

However, were it not for his uncle’s determination to see him prosper on the biggest stages like his colleague, Eric Omondi, Murume does not who where he would be today.

Later on I heard they were hosting a show in Meru and everything went my way this time and by the time I went back for Nairobi auditions it was not too hard for me to be picked since I had learned what I needed to sharpen.

I was encouraged by my uncle to actually go back and audition again. He told me; “Mwongera can you take your things and go back to Nairobi. I don’t know what you are doing here, you are very talented. Other people are making it in Nairobi, look at people like Eric (Omondi) they are millionaires right now. You need to go back and show me what you got.”

He went on to state that, looking back, he now realizes his dear uncle was using cheeky ways to kick him out of his home so as to see him become an independent man.

Looking back I came to realize my uncle used a cheeky way of actually kicking me out of his home.

Listen to the audio below.

Jambo Massawe: Rafiki ya mume wangu alinitoa kwangu na kunioa

Mwanamke mmoja kwa jina Nancy aliwaacha wengi vinywa wazi akiwemo mtangazaji Massawe Japanni alipopiga simuna kusimulia jinsi rafiki wa mumewe wa dhati alivyo mtoa kwa ndoa yake na kumuoa.

“I am back bigger and better!” Massawe Japanni announces her comeback

“Nilimpenda tu na nikaona mapenzi yake iko juu sana.” Alisema baada ya kuwa na yule jamaa kwa mda wa miaka mitatu lakini bado hawajafanikiwa na mtoto.

“Mimi alishanioa alikuwa rafiki ya mzee. Alinitoa kwangu.” Alisimulia.

Nilikuwa nafanya biashara na mzee alikuwa anamuamini huyo jamaa na kutuacha naye.

Nilimuacha mume wangu kwani nilimpenda huyo rafiki yake nikaona mapenzi yake yako juu sana. I am happy, very happy!” Aliongeza Nancy akidai kuwa ndoa yake ya pili ilivunja urafiki kati ya jamaa hao wawili.

Proof that Radio Jambo Presenter Massawe Japanni has fun in the studio

Pata uhondo kamili.

 

 

“I am back bigger and better!” Massawe Japanni announces her comeback

Media personality Massawe Japanni is super excited to be back on radio after taking a break for a while.

Speaking to Radiojambo.co.ke,  the award winning radio queen said her decision to take a break was very important for her career, and now she will be back a new person with different content for her fans.

Proof that Radio Jambo Presenter Massawe Japanni has fun in the studio

“Radio is still my first love. Radio is real because the same way I talk to my friends face to face is the same way radio does,” she said.

“I love it and I am always happy doing what I love, unlike TV, where you have to be conscious of what you are saying. When I took my career break, I was very happy because I felt I needed a break, but after six months, I actually missed radio for some reasons.

“I feel so excited that I will be back on air, but at some point I am very anxious about it, which is very normal for every radio presenter. The excitement is also overwhelming me.”

Massawe says her fans have been dragging her back to radio, and she is ready to connect with them again.

 “People have been asking me about when I am going back to radio, but I was not sure until now. My fans should expect more than what I was giving them when I was on air before. I am a different person now, who has grown more and I am better. I know the mistakes I ever made in my career and I have rectified that to be a better person.”

While at Radio Jambo before her break, Massawe interviewed big personalities, which is why most people remember her. Will she bring them to her show?

This Is For My Fans! Award Winning Massawe Japanni Poses With Her Trophy (PHOTOS)

“Like I said, I am better and my content will be bigger and more researched than it was then. I am going to give my audience quality content, and I will be introducing new segments as well that will be more entertaining and educative to them,” she said.

“I will request all my fans to tune in to Radio Jambo on Monday from 10am, and I will be highlighting some of the segments I will be having for them.”

During her career break, Massawe was a judge in the Ultimate Comedy Show, which was aired on a local TV station.

“I learnt that comedy is not only about jokes. I respect young people who try these things to better their life,” she said.

VIDEO: If You Must Get Down Use A Condom! Massawe Japanni Tackles Deadbeat Dads