MBOCH PIA NI BINADAMU:‘Nilikuwa nikiosha chupi za mwajiri wangu na kutupa ‘pads’ zake’-Mfanyikazi wa nyumbani asimulia masaibu yake .

‘Mamboch pia ni binadamu  na ni watoto wa watu’. Hiyo ndio kauli ya kwanza inayotoka kinywani mwa  Sylvia Namuye ambaye amefanya kazi ya nyumba hapa Nairobi na katika sehemu nyingi za nchi kwa zaidi ya miaka 15 .

Silvya ,mwenye umri wa miaka 37 , ameamua kuzungumza kuhusu masaibu wanayopiotia wafanyikazi wa nyumbani hasa baada ya aliyelikuwa mfanyikazi wa mtangazaji  Betty Kyallo, Consolata Wawira  kujitokeza kufichua  mateso aliokuwa akipitia chini ya mwanahabari huyo .Consolata na Betty wamekuwa na majibizano ya mtandaoni lakini sasa ,Namuye anasimulia baadhi ya mateso na jinsi waajiri wengine hawana utu . Alipomaliza   darasa la nane kwao huko Butere,Namuye alichukuliwa na jamaa yake mmoja kwenda  Nakuru kumfanyia kazi ya kulinda mtoto.Hapo ndipo safari yake ya kufanya kazi za nyumbani ilipoanzia na amewafanyia zaidi ya watu watano kazi hiyo lakini masimulizi yake yanamlenga mwajiri wake mmoja mtaani  Loresho ambaye ukatili wake kamwe Namuye hataowahi kuusahau .

Alinilazimisha kusafisha maiti kahaba wa Mombasa akiri

Sylvia anajua kazi yake vizuri na ratba hutolewa kwa kila mfanyikazi wa nyumbani.Lakini mateso aliopitia  chini ya familia moja iliyompa kazi loresho hayatowahi kufutika kutoka kumbukumbu zake . kando na mama mwenye nyumba kutojali,watoto wake watatu waliokuwa na umri wa kwenda shule hawakua na adabu hata kidogo na walikuwa wakimtolea maagizo kama mtoto alipokuwa akiwafanyia kazi . Kilichomshtua Sylvia ni baadhi ya vitu alivyohitaji kufanya  ingawa anasema alivumilia kwa sababu ya mshahara mzuri wa shilingi elfu 15 aliokuwa akilipwa . Mume wa mama mwenye nyumba alikuwa jamaa mpole na wakati mwingi alikuwa katika safari za kazi .Wakati wote hakujua mateso ambayo Sylvia alikuwa akiYApitia . Baadhi ya kazi alizotakiwa kufanya bila kupenda ni-

1.Kuosha Chupi ya mama mwenye nyumba

  Sylvia anasema kila mfanyikazi wa nyumbani anajua na anakubali kwamba kufua nguo ni sehemu ya kazi yake ,lakini mwajiri  wake alikuwa akimtolea chupi zake za hata wiki moja na kumtaka azifue .

SIJAWAHI KUDUNISHWA HIVI.MWANAMKE ALIYEKOMA NA CHUPI ZAKE KUBWA KUBWA ALINIWEKEA MRUNDIKO KIL WIKI KUZIFUA.HAKUWA MSAFI NA YOU CAN IMAGINE JINSI NILIVYOMANAGE KUZISAFISHA ZING’ARE’. Anasema Sylvia .

Ameongeza kwamba licha ya kujizatiti kadri ya uwezo wake ,wakati mwingine mama mwenye nyumba angemfokea kwa ukali akisema kwamba sylvIa hajaziosha vyema chupi zake ,na angefanya hivyo mbele ya watoto .

‘Wacha I hustle ndio ninunue shopping,’ Betty Kyallo Amjibu mfanyikazi wake wa zamani

2.Kutupa ‘pads’ zilizotumika

  Kila mwanamke mwenye kwenda hedhi anajua kwamba ni  busara yeye mwenyewe  ajitupie vitambaa vyake vya  hedhi baada ya kuvitumia .Lakini mwajiri wa Loresho alikuwa akivitumia  visodo vyake na kuviacha kwenye  kipipa cha taka .Mfanyikazi wake wa nyumbani, Sylvia ndiye aliyeachiwa kazi ya vitupa .

 NILIPOANZA KUTUPA HIZO PADS NDIO NIKAJUA HII KAZI NITAIACHA .BUT NIKIKUMBUKA KUNA WATOTO WAWILI WANAONGOJA CHAKULA NYUMBANI,NILIVUMILIA TU’  anasema Sylvia

Mawazo na Kukosa pesa: Dakika za mwisho mwisho kabla Papa Dennis kujirusha

3. Ukatili na kukosa kujali

Kando na kazi ambazo hazifai kupewa mtu mwingine kufanya ,Sylvia anasema kuna vitu ambavyo mwajiri wake alikuwa akifanya na kusema ambavyo vilimfanya ajichukie . Walipokuwa wakitoka kwenda mkahawani kwa mfano ,anasema alikuwa akiachwa nje ya makahawa.Mama mwenye nyumba na mumewe na watoto wao wangekuwa ndani ya mkahawa wakila ,kisha mfanyikazi wao angeachwa   ndani ya  gari nje ya mkahawa . Nyumbani ,ilikuwa sheria kwamba Sylvia hangeweza kulala kabla ya watu wote wa familia kuingia katika vyumba vyao kulala .Ilikuwa sheria ambayo hangeweza kuikaidi hata awe mchovu namna gani . Kilichomfikisha mwisho Sylvia hata hivyo ni  hatua ya mama mwenye nyumba kukosa utu wa kumruhusu apate likizo ya kupata matibabu alipokuwa mgonjwa .

‘ Siku moja nimepatwa na Tonsils,wiki yote nilijikaza kufanya kazi bila hata kupumzika lakini mwajiri hakusema lolote!’ Alipochukua likizo ya disemba mwaka wa 2019, Sylvia hakurejea kwa mwajiri wake Loresho .

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Nilipita na mboch juu mke wangu alikuwa analala na trouser (AUDIO)

Jamaa kwa jina Charles alifichua jinsi mkewe alimfanyia masaibu hadi ikambidi alale na mjakazi wao, almaarufu mboch.

Kulingana na Charles, siku moja aliporudi nyumbani kutoka kazini alimpata mkewe akiwa amenuna. Alipofanya juhudi ya kujua chanzo cha hayo mkewe hakuzungumza naye kwa siku tatu.

My hubby used to sneak out of bed to smash the mboch – Narrates Kenyan woman (AUDIO)

Katika siku hizo tatu, mkewe alikuwa analala huku akiwa amevalia suruali ndefu na isitoshe alikuwa analala akiwa ameangalia upande wa ukuta.

Jambo hilo lilimkasirisha na hapo akaamua kumtongoza mjakazi wao ili atafute suluhisho la tabia za mkewe.

Akisimulia, Charles alisema kuwa mkewe aligundua na hapo akawaleta wazee wa kanisa nyumbani kwao kutatua shida zao. Hapo walizungumza na tangia siku hiyo tabia zake zilibadilika.

Jambo Massawe: Bwanangu alinipea notice nihame

Soma usimulizi wake.

Kuna siku nilikuwa naingia kwa nyumba na mtu amenuna kama mandazi, najaribu kumuongelesha haongei. Haya ikifika wakati wa kupumzika anavaa longi na anaangalia kwa ukuta.

Nikajaribu kama siku tatu mtu haniongeleshi, sasa mimi nikaambia msichana wa kazi kama ni mbaya wacha iwe mbaya ili suluhisho ipatikane. Na suluhisho ilipatikana. 

Nililala na msichana wa kazi vizuri sana ndani ya nyumba yangu wakati mke wangu alikuwa ameenda job na watoto walikuwa shuleni.

Kanisa ikaja kwa nyumba na nikauliza wachungaji analalaje na nguo, shida ni nini? Anavaa nguo kwani anaenda kazini?

Kutoka siku hiyo aliomba msamaha na akasema hatarudia na msichana wa kazi tukamfuta kazi. Siku hizi anavaa suti aliyozaliwa nayo.

Jambo Massawe: Rafiki ya mume wangu alinitoa kwangu na kunioa

My hubby used to sneak out of bed to smash the mboch – Narrates Kenyan woman (AUDIO)

An angry Kenyan woman is still fuming weeks after she discovered that she had been housing and actually feeding a ‘tick’ without her knowledge.

According to the lady, she discovered that her husband was sneaking out of their matrimonial bed just to smash their house help in the next room.

Speaking to Massawe Japanni, all along, she thought her husband was going for a short call in the middle of the night with an erected p*nis, only to discover he was going for a quicky session.

Jambo Massawe: Bwanangu alinipea notice nihame

She says she came to realize that the househelp would always sleep naked in the next room every night and that kept her husband going for more.

To make matters worse, the househelp had become hard headed towards her since she knew she was getting ‘favors’ from the man of the house.

However, her joy ride did not last for long as the lady kicked her out of her house one morning after her husband left for work. She also quit her job so as to look after their children.

Jambo Massawe: Rafiki ya mume wangu alinitoa kwangu na kunioa

Read her ordeal below.

Bwanangu naye ana tabia mbaya mbaya zile hata hazieleweki, imagine mimi nimetoka na mtu anabaki na dem wa kazi.

Imagine usiku kama tumelala jamaa hawezi lala, ana lala aki roll usiku mzimu. Time to time anaenda choo na akienda choo bendera imesimama haitaki kuanguka.

Nashangaa huyu mtu kwani kunaendaje, kumbe madam naye huko amelala hana nguo.

Walikuwa wamezoea kufanya hivyo kwani ilifika mahali huyu jamaa kwa nyumba amenidharau na hata msichana haniskii, nikimuongelesha haniskizi kumbe anajua kikulacho ki nguoni mwako.

Kitu nilifanya nilimfukuza msichana saa kumi na mbili asubuhi, kama kazi ndio inaweza vunja ndoa yangu nalea watoto wangu sahii.

Bwanangu alirudi nyumbani jioni akaniuliza hawa watoto watakaa na nani. Nikamuuliza kwani huyo ndio mama yao?

Jambo Massawe: Nafikiria kumnunulia dada ya mke wangu shamba

PATANISHO: Bwanangu Alikuwa Anashiriki Ngono Na Mboch

Steve alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mkewe Maureen kwani alikuwa anatongoza msaidizi wa nyumbani.

“Mwanadada alituma ujumbe wa kimapenzi kwa simu yangu kimakosa, akisema vile anataka tendo la mapenzi na hapo mke wangu aliona huo ujumbe kwa simu yake.” Alisimulia Steve.

Baada ya hayo mke wangu alirarua manguo zote na akavunja televisheni kwa hasira na kuondoka nyumbani. Hayo yote yalitoke mnamo tarehe 17 mwezi uliopita.”

“Na si tumekuwa na yeye leo asubuhi mbona anapiga simu kwa Radio Jambo? Hayo ni maneno ya kibinafsi sielewi mbona anayaanika.” Alisema Maureen kabla ya kufichua kuwa mumewe na mwanadada wa nyumbani wamekuwa wakizungumza kwa miezi mitatu.

Anawadanganya ati alitumiwa ujube, yeye ndiye alikuwa anazungumza naye. Msichana wa kazi, mtu naamini na mtoto wangu analala naye? wamekuwa wakilala naye nitamuamini aje? Siwezi msamehe.” Alieleza zaidi Maureen ambaye amekuwa pamoja na mumewe kwa miaka mitatu.

Wawili hao wamejaliwa na mtoto mmoja mchanga.

Bwana Steve naye aliposkia sauti kali ya mkewe alitoweka.

Pata uhondo kamili.