Raila Odinga amejificha Dubai si mgonjwa-Miguna Miguna Adai

Wakili Miguna Miguna amedai kuwa kinara wa chama cha ODM Raila Odinga si mgonjwa bali amejificha nchini Dubai. Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter, Miguna alisema kuwa Raila ana hofu ya kuona ukweli kati yake na Uhuru Kenyatta.

Pia alisema kuwa Rila alifanya hivyo mwaka wa 2017 baada ya marudioa ya uchaguz mkuu wa rais alipoenda marekani kwa siku 10.

An Over-rated drama queen-Mutahi Ngunyi amwambia Miguna Miguna baada ya kukataa kujitokeza katika mahojiano na Anne Kiguta

“Conman Raila Odinga is just hiding in Dubai and pretending to have lost his sight and gone blind but the truth is that he fears facing the reality that despot Uhuru Kenyatta has shafted him. He did the same and hid in New York in November 2017. #RevolutionNow#uhurumustgo.” Aliandika Miguna.

Miguna Miguna
Miguna Miguna

Usemi wake unajiri siku moja baada ya Junet mohamed na Hassan Joho kumtembelea Raila nchini Dubai.

Miguna Miguna akejeli chama cha Mwangi Kiunjuri

Kinara wa ODM alisafiri kwenda Dubai kupokea matibabu ya upasuaji na kuendelea vyema baada ya upasuaji. Raila alikuwa na haya ya kusema;

FRSk9kpTURBXy9lYjNmNDNhZWYxZDk4MGRjYjFiMzFjMzc1Y2E3YTdkNy5qcGeRkwXNAxTNAbyBoTAB

“I’m feeling great. Strong and rejuvenated. I feel so good to be out of the hospital and to be getting this fresh air. I want to thank all my friends and supporters who have sent me messages of goodwill and prayers. This is why I have recovered so fast and it is wonderful.” Alisema Raila kupitia kwa video.

An Over-rated drama queen-Mutahi Ngunyi amwambia Miguna Miguna baada ya kukataa kujitokeza katika mahojiano na Anne Kiguta

Mchambuzi wa siasa Mutahi Ngunyi amenena na kusema kuwa wakili Miguna Miguna ni taka za mawazo ya kitaifa. Hii ni baada ya kutojitokeza katika mahojiano katika runinga ya K24 na mwanahabari Anne Kiguta.

Kulingana na Mutahi, Miguna alisema kuwa hatohudhuria mahojiano hayo kwa maana alidhani kuwa atakuwa kwenye mahojiano hayo.

Colour of Withering! Mutahi Ngunyi akejeli rangi za chama cha TSP

Kupitia kwenye mitandao ya kijamii ya twitter, Ngunyi alisema kuwa Miguna ni ‘Drama queen’ na anapaswa kuwa mshauri wake kwa muda.

zjCk9kqTURBXy8yM2RiNzY4ZTY4MjAzMzg2Zjc5YTgzMjAxMTg4YWQ5MC5qcGVnkZMFzQMUzQG8gaEwAQ

“Miguna Miguna is a PINK Soldier running a PAPER TIGER Revolution. He got SCARED of #Punchline tonight because he CLAIMS I was part of it. The FELLOW is such a WASTE of NATIONAL IMAGINATION. An OVER-RATED drama QUEEN. I need to MENTOR him!” Mutahi Alisema.

Jumapili Miguna alikatiza na kutojitokeza katika mahojiano na Kiguta katika kipindi cha #Punchline, alipaswa kuwa katika mahojiano na  wakili Ndegwa Njiru ili kujadili mambo yaliokumba nchi.

Ndegwa aliwakilisha wawakilishi wadi wa kaunti ya Kirinyaga wakati wa ushawishi wa kuondolewa kwa gavana wa kirinyanga Anne Waiguru afisini.

Miguna Miguna
Miguna Miguna

“I’m not going to be party to Mutahi Ngunyi’s schemes, I consider this a material change in what we had discussed and an attempt to cause unnecessary distractions and drama that would irreparably undermine what I stand for.

I’m cancelling my appearance on Punchline, To Anne Kiguta, K24, Mutahi Ngunyi and Uhuru Kenyatta. I’m not from Kirinyaga. I’m not a Kirinyaga MCA. I don’t represent Anne Waiguru or the Kirinyaga MCAs. “I lead a revolutionary movement. We are struggling for Kenya’s liberation and justice to all. We’ll never waver.” Alizungumza Miguna.

Sijawahi kuwa na uhusiano wowote na William Ruto-Asema Miguna

Wakili miguna miguna ameweka wazi na tena kusema kinagaubaga kuwa hajawahi uwa na uhusiano wwote na naibu rais William Ruto,Kupitia mitandao ya kijamii ya twitter miguna alisema kuwa DP Ruto alimpa block kwenye mitandao hiyo mnamo mwaka wa 2017.

Hii ni baada ya kudai kuwa watu ambao wanafanya kazi na Rais Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wanajaribu wawezavyo kumuunganishha na DP ruto.

‘Tunaendelea kupata nguvu na kuwa wanamageuzi kukabiliana na wakora wa kisiasa.’ UJumbe wa Miguna kwa mkewe

For hypnotic zombies, my message is this: There has never been any link, connection or relationship between me and @WilliamsRuto. Despot Uhuru Kenyatta and Conman Raila Odinga must stop their desperation. #uhurumustgo. The #coronacoalition new punching bag @WilliamsRuto has BLOCKED me on @Twitter since 2017 during my BLISTERING CAMPAIGN against all the Kenyan despots and conmen. But Despot Uhuru Kenyatta and The People’s Welding Conman are desperate to link me to him. LOSERS! #uhurumustgo,” Alizungumza Miguna Miguna.

Miguna Miguna
Miguna Miguna

Miguna alizidi na kunakili kisha kusema kuwa Rais Kenyatta na Raila Odinga pia wali,pa block mnamo 2017 na mwaka wa 2018 mtawalia.

Alisema kuwa wawili hao wanamuogopa ndio maana walimfurusha na kumpeleka Canada, Mguna alisema kuwa hajali kupewa block na viongozi hao watatu kwa maana hawaongezi jambo la maana katika maisha yake.

Uhuru amefaulu kuwabadili Wiliam Ruto na Murkomen kuwa wahubiri-Miguna Asema

“To be clear, I don’t care about being blocked on @Twitter by Despot Uhuru Kenyatta, Conman @RailaOdinga or @WilliamsRuto. I don’t miss their empty Tweets. Their messages add no value to the lives of Kenyans. In fact, they are EMBODIMENTS of the culture of impunity. #uhurumustgo.”Miguna Aliongeza.

MIGUNA MIGUNA

‘Tunaendelea kupata nguvu na kuwa wanamageuzi kukabiliana na wakora wa kisiasa.’ UJumbe wa Miguna kwa mkewe

Mwanaharakati matata Miguna Miguna Alhamisi Mei 14 aliwasisimua wafuasi wake mtandaoni baada ya kumsifia mpenziwe kutokana na jumbe zake zenye moto wa mageuzi, wengine wamekuwa wakimuona Miguna kama simba mkali jangwani.

Hawakukosea waliposema kuwa mapenzi yana run dunia, Miguna Miguna hujulikana kwa jumbe zake kali za wanamapinduzi na wafuasi wake wamekuwa wakimuona kama jenerali vitani.

Miguna alhamisi wiki hii amewaonyesha wengi kuwa pia naye ni inadamu na ana hisia na kuwa kuna wakati hufika anazama kwenye mapenzi.

0fgjhs4ipstedekea

Wengi wamekuwa wakishangaa iwapo ndume huyo mwenye ulimi wenye moto ana familia na huishi nao vipi.

Aidha, hata maswali huibuka iwapo ndume huyo ana uwezo wa kutulia na kumpa mwanadada yeyote maneno matamu. Lakini Miguna aliwaonyesha wengi kuwa yeye pia ni gwiji katika ulingo wa kuwanasa mabinti wazuri.

Kupitia mitandao ya kijamii Miguna alimwandikia mkewe ujumbe mtamu alipokuwa anasharehekea siku yake ya kuzaliwa.

“Furahia siku ya kuzaliwa mrembo wa Gem, wewe ndiye mama wa kwangu na watoto wangu. Tunaendelea kuwa wachanga, kupata nguvu na kuwa wanamageuzi kukabiliana na wakora wa kisiasa.” Aliandika Miguna miguna.

about-miguna-miguna

Wawili hao wana watoto watatu na wamekuwa wakiishi nchini Canada huku ikiwa wazi Miguna hufurahia penzi lake, ni wazi kuwa miguna pia anaweza tamka maneno matamu kwa mwanadada.

Picha ya mkewe inaashiria kuwa Miguna kwa kuchagua warembo si kidogo bali ni mkali katika sekta hiyo pia kama vile ni mkali katika sekta ya kisiasa.

 

Mapenzi tele! Orodha ya watu mashuhuri waliofunga ndoa zaidi ya miaka 25 iliyopita

Wiki hii mtangazaji wa kituo hiki Ghost Mulee alionyesha mapenzi kwa mkewe kwa kumpongeza kwa miaka 27 ya ndoa.Katika mtandao wake maridhawa wa Insta, Ghost aliposti picha yake pamoja na mkewe na kusifia ndoa yao.

“Mungu wa maajabu kweli. Miaka 27 imepata ila nahisi kama jana tu…” Alisema Ghost.

Kwa hilo tunaangazi orodha ya watu mashuhuri ambao waliofunga pingu za maisha zaidi ya miaka 25 na 40 zilizopita na mpaka sasa wanapendana si kidogo.

1.Barrack Obama na Michelle Obama

Aliyekuwa rais wa USA bwana Barrack Obama na mke wake Bi Michelle ni miongoni mwa wapenzi ambao wameishi katika ndoa zaidi ya miaka 25.

Wapenzi hawa waliooana mwaka wa 1992 walisherehekea ukumbusho wa miaka 27 wa harusi yao huku Michelle akimsifu mume wake kwa kutimiza yote aliyoahidi kufanya.

’27 YEARS AGO, THIS GUY PROMISED ME A LIFE FULL OF ADVENTURE. I’D SAY HE’S DELIVERED.

HERE’S TO OUR NEXT CHAPTER OF BECOMING EMPTY NESTERS AND DISCOVERING WHAT’S NEXT—WHILE STILL FEELING THE MAGIC THAT BROUGHT US TOGETHER ALL THOSE YEARS AGO. HAPPY ANNIVERSARY, BARACK. 💕’ Michelle alisema.

Obama naye hakuachwa nyuma. Alifunguka na kundika,

‘LIKE THE BEATLES SAID: IT’S GETTING BETTER ALL THE TIME. THANKS, BABE, FOR 27 AMAZING YEARS!’ 

Obama and Michelle on their wedding day

2. Kathy Kiuna na Allan Kiuna

Waanzilishi wa Jubilee Christian Church mhubiri Kathy Kiuna na mume wake Bwana Alan Kiuna wameishi katika ndoa kwa miaka 25.

Wapenzi hawa wamebarikiwa na watoto watatu – mabinti wawili na kijana mmoja.

Hivi juzi, Kiuna aliandika ujumbe mtamu wa kumshukuru mke wake kwa kubaki naye hata wakati ambao kulikuwa na matatizo maishani mwake.

‘I WISH I COULD EXPLAIN HOW MUCH THE LIGHT IN YOUR EYES HAS SHONE IN MY DARKEST MOMENTS, I WISH I CAN TELL STORIES OF HOW YOUR SMILE HAS TRANSFORMED MY EMOTIONS IN MY TOUGHEST TIMES.

YOU HAVE TAUGHT ME THAT MARRIAGE IS NOT ABOUT THINKING ALIKE, BUT THINKING AS ONE AND REGARDLESS OF THE MANY TUNES LIFE HAS PLAYED ON US.

SOME HIGH AND OTHERS VERY LOW, YOU HAVE MADE A COMMITMENT TO ALWAYS DANCE WITH ME.

kathy kiuna

YOU WILL FOREVER BE MY ALWAYS, AND I ENJOY DOING LIFE WITH YOU.

TOGETHER IS MY FAVORITE PLACE TO BE AND FOREVER IS THE HOW LONG I WANT TO BE WITH YOU. 

THE REASON I WILL ALWAYS LOVE COMING HOME IS BECAUSE YOU ARE MY HOME. THANK YOU .’

3. Beth Mugo na Nicholas Mugo

Seneta Beth Mugo na mume wake bwana Nicholas Mugo walisherehekea ukumbusho wa miaka 61 katika ndoa.

Beth Mugo ambaye ni binamu yake rais Uhuru kenyatta ni mhusika aliyenusurika kwa ugonjwa wa saratani alisherehekea miaka 80 tangu kuzaliwa kwake.

beth mugo wedding anniversary

4. Uhuru Kenyatta na Margaret Kenyatta

Rais Uhuru Kenyatta alifunga ndoa na mke wake Margaret Wanjiru binti yake aliyekuwa maneja wa Kenya Railways bwana Njuguna Gakuo tarehe 2, mwaka wa 1989 katika kanisa la Holy Family Basilica Nairobi.

Kadinali Maurice Otunga ndiye padri aliyewafungisha ndoa.

”Tulioana na mume wangu ili tujivinjari sio kupata watoto” Mamake Diamond asema

Wapenzi hawa wamejaliwa watoto watatu Muhoho Kenyatta, Jomo Kenyatta na Ngina Kenyatta.

Kwa sasa, Uhuru na Margaret wanaitwa babu na nyanya baada ya mtoto wao wa kwanza Muhoho na mke wake Achola kubarikiwa na mtoto wao wa kwanza.

Rais Uhuru Kenyatta na mke wake Margaret wameishi katika ndoa kwa miaka 30

 

President Uhuru Kenyatta on his wedding day-

5. Raila Odinga na Idah

Aliyekuwa waziri mkuu wa nchi yetu ya kenya bwana Raila Odinga na mke wake Idah wameishi katika ndoa kwa miaka 45.

Katika ukumbusho wao wa ndoa wa miaka 43, Raila aliandika,

AS WE CELEBRATE OUR 43RD WEDDING ANNIVERSARY TOGETHER, PEOPLE ASK WHAT THE SECRET TO A LONG, HAPPY MARRIAGE IS.’

Raila Odinga and hiw wife Idah-classic 105

kwa sasa ni zaidi ya miaka 40 na wapenzi hawa wanaishi kwa furaha na upendo bado.

PATANISHO: Mume wangu alizaa na rafiki yangu

6. Miguna Miguna na Jane Miguna 

Jane Miguna ameishi katika ndoa na hakimu Miguna Miguna kwa zaidi ya miaka 17 na pamoja wamebarikiwa watoto 5.

Miguna alikuwa na bibi mwengine lakini walitengana miaka mingi iliyopita.

7. Dorothy Nyong’o na Anyang’ Nyong’o

Ingawaje hatujui ni miaka ngapi kamili ambazo gavana huyu wa kisumu ameishi katika ndoa, tuna uhakika kuwa ni zaidi ya miaka 30.

Nyong’o ni baba yake Zawadi Nyongo mwenye umri wa miaka 39, Lupita Nyongo 36, na Peter Nyongo Junior.

 

7. Ghost Mulee

Mtangazaji wa Radio Jambo bwana Ghost Mulee na mke wake mrembo sana Bi carol wameishi katika ndoa kwa miaka 27.

Kulingana na Ghost Mulee, wawili hawa walikutana kwa matatu zaidi ya miaka 25 iliyopita.

Ghost aliiba roho ya binti Carol kwa kicheko chake cha ajabu sana.

Tangu siku hiyo,wapenzi hawa walianza kuzungmza na mpaka kwa sasa, wanaishi pamoja kwa mapenzi tele.

 

 

Miguna Miguna huenda akajipata katika malumbano na serikali atakaporejea Jumanne

Wakili Miguna Miguna huenda tena akajipata katika malumbano na serikali atakaporejea nchini siku ya jumanne baada ya kudai mtandaoni kwamba polisi wamelinasa gari lake hapo jana jumamosi.

Miguna amesema maafisa wa polisi waliokuwa na nguo za raia walilitwaa gari hilo mtaani South B katika hatua anayodai inalenga kuhujumu kurejea kwake nchini. Aliripoti baadaye kwamba polisi waliamua kuliachilia gari hilo.

 

Mkusanyiko wa habari,

Makachero wamensa runinga 37 zinazoshukiwa kuwa shemu ya vifaa vya elektroniki vyenye thamani ya shilingi milioni 5 vilivyoibwa huko Athi River tarehe moja disemba mwaka jana mshukiwa mmoja kwa jina John Maina amekamatwa na atafikishwa kortini hapo kesho.

Iwapo umekuwa na mfanyikazi wa nyumbani kwa zaidi ya miezi mitatu basi unahitaji kusaini mkataba naye. Wakili Anne Babu  anasema sheria inamhitaji mtu kumpa mkataba mfanyikazi wake wa nyumbani baada ya miezi mitatu.

Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi amesema wakenya wengi wanahangaika kwa sababu ya haLi mbaya ya uchumi na sera mbovu za serikali ya Jubilee. Sudi amedai kwamba wazazi wengi hawana fedha za kuwalipia wanao karo shuleni ilhali shule zinafunguliwa kesho.

Amedai kwamba utawala wa rais Uhuru Kenyatta umewafanya wakenya kupitia hali mbaya zaidi kiuchumi katika historia ya taifa.

 

Waziri wa elimu George Magoha ametishia kukifunga kiwanda cha sukari cha kibos endapo usimamizi wake utakosa kuihamisha shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum hadi katika sehemu nyingine katika mji wa Kisumu. Magoha amesema wanafunzi wenye mahitaji maalum katika shule hiyo wanaendelea kuhaingaika kwa ajili ya uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na kiwanda hicho umbali wa mita 20 kutoka shule hiyo.

MkurUgenzi mkuu wa mashtaka ya umma Noordin Haji amemtuma mwendesha mashtaka mwingine katika mahakama ya kilungu baada ya kisa cha ijumaa Ambapo afisa mmoja wa mahakama alijitosa kortini na kuchukua faili za kesi na kisha kuondoka nazo. mwendesha mashtaka huyo anayedaiwa kuwa mlevi alilemaza shughuli za korti na kumwacha kinywa wazi hakimu mkaazi Elizabeth Muiru.

Wafanyibiashara kadhaa huko machakos wanakadiria hasara waliopata jana baada ya moto kuteketeza jengo lenye biashara zao. Afisa wa kusimamia majanga David Mwongela amesema juhudi za zima mto kukabiliana na moto huo zilipata pigo baada ya maafisa wa Kenya power kuchelewa kufika ili kuzima umeme.

 

Moses Kuria apigia debe safari ya Miguna Miguna kurejea nchini

Mbunge wa Gatundu  Kusini Moses Kuria amedai kuwa wakili Miguna Miguna anafaa kuruhusiwa kuingia na kuwa huru nchini Kenya.

Tamko la Moses linajiri siku chache baada ya wakili huyu mwenye utata Miguna Miguna kuweka wazi kuwa atasafiri Kenya mapema mwaka ujao.

Image result for moses kuria

Alichokisema Rashid Abdalla baada ya mamake kupata afueni

Katika mitandao ya kijamii, wakili huyu ambaye ana uraia tata alisema kuwa haogopi kusafiri nchini tarehe 11, Januari 2020.

Kulingana na mbunge huyu, Miguna alikuwa mkenya alipokuwa akihudumu katika ofisi ya kinara wa ODM Raila Odinga.

Kuria anahoji kuwa swala hilo lilikamilika baada ya kuidhinishwa kwa katiba ya 2010.

Image result for moses kuria

(+Picha) Mwonekano wa kitambo wa Chipukeezy, picha za sasa

Moses ameongeza kuwa ni vyema Miguna apewe pasipoti yake .

“Nilimwandikia aliyekuwa Waziri Mkuu wakati huo Raila Odinga nikimjulisha kulikuwa na raia wa Canada aliyekuwa akifanya kazi katika afisi yake kwa jina Miguna Miguna,” alisema Kuria .

“Kupitia aliyekuwa waziri wa uhamiaji Gerald Otieno Kajwang’, Raila alisema Miguna alikuwa Mkenya na hata kutoa pasipoti yake aliyokuwa amepokezwa Kisumu,” Kuria aliongeza katika chapisho mtandao wa Facebook.

Hatimaye Miguna Miguna atangaza siku ya kurejea nchini

Wakili mwenye utata Miguna Miguna ameweka wazi kuwa ataweza kupanga safari ya kusafiri Kenya mapema mwaka ujao.

Katika mitandao ya kijamii, wakili huyu ambaye ana uraia tata amesema kuwa haogopi kusafiri nchini tarehe 11, Januari 2020.

Aidha, Miguna amechapisha nambari za dharura za kupiga iwapo kutatokea kizungumkuti katika safari yake.

Image result for miguna miguna

(+ Picha) Ghost Mulee na mkewe, ajivunia mapenzi yao ya miaka 27

Miguna alikuwa mgombezi wa nafasi ya ugavana kaunti ya Nairobi katika uchaguzi uliopita.

Image result for miguna miguna

Wakili huyu alifurushwa nchini mwaka jana baada ya tukio la kuapisha kinara wa chama cha ODM Raila Amollo Odinga.

(+Patanisho) “Si mimi niliharibu kazi yako, shughulikia mahitaji,” Ruth afoka

 Kwa sasa Miguna yupo nchini Canada na anapanga kurejea nchini baada ya kipindi cha miaka miwili.

“Ndege nitakayosafiria itatua uwanja wa JKIA tarehe 11,Januari 2020…” Ametangaza Miguna.

“Hatutaita watu kuandamana. Huo utakua ujinga. Kihistoria, mageuzi na maendeleo ya kusonga mbele katika jamii husababishwa na thuluthi tatu ya watu. Kama hautaki mageuzi, tulia nyumbani. Wazalendo milioni 1 wataandaamana…” Alisema Miguna.

Aluta Continua:Miguna Awashtaki maafisa 25 wakuu wa serikali kuhusu uraia wake .

Wakili Miguna miguna amewashtaki maafisa 25 wakuu wa serikali  kwa anachokitaja  kama  kumnyima uraia wake wa Kenya . Walishtakiwa na Miguna ni pamoja na   waziri Fred Matiang’i,  Mkuu wa sheria , mkurugenzi wa idara ya uhamiaji ,mkuu wa DCI , mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma , na katibu katika  idara ya uhamiaji .Miguna  siku ya ijumaa alisema kwamba ni raia  wa Kenya mzaliwa wa taifa hili na alifurushwa nchini kinyume na matakwa yake  na hajawahi kusalimisha uraia wake wa Kenya .

Mapenzi sumu: Mwanafunzi wa kidato cha 3 Ajiua baada ya mpenzi wake kumhadaa

Aliongeza kwamba alikuwa kiongozi wa wanafunzi katika chuo kikuu cha Nairobi mwaka wa 1987  na aliteswa mwaka huo na vyombo vya usalama nchini kwa  kujihusisha na shughuli a kisiasa .Miguna  Miguna amesema hakusafiri kwa hiari kwenda Canada kutoka Kenya  na hajawahi kuukana uraia wa Kenya . Serikali ilimtimua Muguna nchini mwaka jana  kwa madai kwamba alipewa paspoti ya Kenya kinyume cha sheria .

Mkasa:Zaidi ya watu 50 wafariki katika mlipuko wa trela la mafuta Morogoro

“ Wakati Miguna alipopewa paspoti ya Kenya  kinyume cha sheria alikuwa  akifanya kazi katika afisi ya waziri mkuu kama mshauri wa Raila Odinga’ ilisema taarifa ya serikali .Miguna  ameipuuza taarifa hiyo ya serikali akisema kwamba alilazimika kukimia mafichoni  kwa sababu ya hofu ya uwezekano wa kushtakiwa  na hakuondoka Kenya kwa hiari. Amesema maafisa hao 25 wa serikali waliiharibu paspoti yake  na vifaa vyake  kabla ya kumfurusha kwa lazima nchini bila notisi yoyote .

 

 

 

 

Matiangi and Kihalangwa told to pay Miguna Miguna 7 million shillings

The High Court has ruled that the state violated lawyer Miguna Miguna’s rights by deporting him to Canada.

Justice Chacha Mwita on Friday ordered that Miguna is paid Sh7 million for his continued violation since he is still in Canada.

Miguna

Mwita further ruled that actions by Interior CS Fred Matiangi and the other state officials amounted to an abuse of office.

The judge said that “taxpayers should not shoulder costs of violations by overzealous state officers.”

In order to deter future violations, the court ruled, Matiangi and Immigration Principal Secretary Gordon Kihalangwa should personally pay the damages and costs.

rsz_miguna_miguna

The court also ordered the state to return Miguna’s passport since it was unlawfully confiscated.

Miguna has also been awarded a further Sh207,000 in damages to his house.

Mwita said the damages issued to Miguna will act as a deterrent to similar violations of the law.