Nimechoka siku moja Mungu atafichua ukweli-Terence Creative azungumzia kutowaona wanawe

Mcheshi Terence Creative amezungumzia uchungu alio nao kwa kutowaona wanawe kwa muda wa miaka sita baada ya kumjibu shabiki mmoja aliyeuliza mke wake Milly Chebby kama ndiye chanzo cha Terence kutowaona wanawe.

Cheche za maeneno zilianza pale mkewe alijibu swali hilo na kusema kuwa hajui kwa maana alikuwa anaendelea na maisha yake.

“Haki sijui it’s more of moving on.” Milly Chebby alijibu.

‘I pity you!’ Terence Creative awaambia wakosoaji

Shabiki aliyefahamika kama Fabulously Chic alimkosoa vikali Chebby kwa kujibu swali kiholela ilhali watoto wanahusika katika uhusiano wao.

mDZk9kpTURBXy8xYjMxMGIwMzZjZDRmYzdhYzE4NTMwMzI4MTU0MmE4ZC5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE

Pia aliongeza na kusema alichukulia jambo hilo rahisi sana kwa kujibu swali hilo.

“Ni zaidi ya kuendelea na maisha? kawaida? wow!!! unasema haya ilhali watotot wanahusika, watoto wenye wanakua? Umechukulia rahisi hivi aki, lakini unachukulia rahisi hivo mpaka pale utajipata katika hali hiyo

Kukimbia hapa na pale juu chini ili kupata msaada.” Alisema Shabiki huyo.

Nilipoteza kazi kwa ajili ya uvutaji sigara-Terence creative asimulia

Terence ambaye aliona maoni ya shabiki huyo alisema kuwa alikatazwa kuwaona wanawe kwa muda wa miaka sita kwa sababu tofauti na hamna mtu yeyote ambaye anafahamu uchungu ulio ndani yake.

JsVk9kpTURBXy8wMWRhZTMxNDMzMzNjZjBiNzZkMDE0NmVmOGYwMWU5NS5qcGeSlQLNAxQAwsOVAgDNAvjCw4GhMAE

 

Aliongeza na kusema kuwa kwa maana wamekimya haiwezi kumaanisha kuwa mambo yote yako sawa.

“@fabulously_chic hufahamu uchungu ulio ndani yangu kwa kutowaona wanangu kwa miaka sita,kwa sababu za ubinafsi ukweli ni kuwa kw amaana tumenyamza haiwezi maanisha kila kitu kiko sawa  

Siku moja Mungu atafiichua ukweli wote kwa maana nami pia nimechoka.” Aliandika Terence.

 

 

Terrence Creative kuchepuka na Soina, Milly Chebby atusiwa DM za Insta

Ubuyu wa Terrence Creative kuhusika katika tendo la ndoa na mpango wa kando wa miaka 19 ulisambaa katika mtandao kama moto jangwani.

Terrence Creative baadaye alikiri kuwa alimsaliti mkewe Milly Chebby na kuomba msamaha.

Wafuasi wa Terrence hawakupendezwa na msamaha alioutoa kwa mkewe.

YouTube yaitoa video chafu ya Timmy T Dat na Rosa Ree, Timmy afunguka

Ubuyu huu pia ulionekana kumchonganisha na kumuweka kwenye kiti moto Anita Soina.

Inadaiwa kuwa Terrence alichepuka na Anita Soina kisa na ambacho hakikumfurahisha mkewe Milly Chebby.

Kumewaka moto pia katika DM ya Insta ya Milly Chebby baada ya kujulikana kuwa alitumia njama za kumtishia na kumtusi Anita Soina ili kuinusuru ndoa yake.

Chebby amefikia levo za kumtishia kuwa atatuma kundi haramu la Mungiki kumvamia.

(+ Video) Kilichovutia Citizen TV kwa Levis Saule, alichoripoti

Kwa kauli hiyo, wafuasi wake walizamia Insta yake na kuangusha cheche za matusi kwake.

Chebby ameonekana ku-mind sana wanachokisema na kuwajibu kwa Insta Story yake.

“Jumbe za kunitusi kwa sababu ya unene wangu sio tishio nipo sawa….”

“Nitafika Gym kwa wakati wangu…” Alifoka Chebby.

Milly-Chebby-tells-off-her-haters-600x600

Yaani hata Kamami! Tazama picha za mpango wa kando wa Terence Creative

Kupitia mitandao ya kijamii ni wazi kuwa mcheshi Terence Creative ajulikanaye sana kama Kamami ana mpango wa kando na ata amekubali madai ya kuenda nje ya ndoa.

Milly Chebby na mpenzi wake Kamami wamekuwa na misukosuko katika ndoa yao kwa sababu ya kidosho Anita ambaye ndiye mpango wa kando wa bwana Terence.

Baada ya aibu ya Terence kupatikana na mpango wa kando, bwana huyu kupitia mtandao wa kijamii amefungukua wazi na kusema wazi anavyo mpenda mke wake.

Binti ambaye ametia bwana Kamami kwenye aibu chungu nzima ni binti mwenye umri wa miaka 19.

Amini usiamini, mpango wa kando wa bwana Terence ana umri wa miak 19 na wakishirikiana, hawakuwa wanaona kama ni tatizo kwani wahenga walisema, mapenzi ni kipofu!

‘Nilimwagia mpango wa kando wa bwanangu acid,’ Afunguka Mercy

Zaidi ya hayo, hata ikiwa binti huyu amejitia aibu na kumfanya Terence aingie matatani, siwezi kumlaumu bwana Kamami kwani binti huyu Anita ni mrembo sana, yaaani katoto hodari .

Hebu tazama picha

 

Terence Kamami’s wife shares how she lost her unborn baby

Comedian Lawrence Macharia, alias Terence Creative, and his wife Milly Chebby are the new celebrity parents in town.

The couple welcomed their bundle of blessing last week, but shared the information on their social media on Monday.

Speaking to Radiojambo, Milly says she is super-excited to have finally held her baby after she lost the first child through a miscarriage last year in January.

‘I have smoked at least 166,000 cigarettes in 22 years,’ – Terrence Creative

“I was 13 weeks pregnant, but the gynaecologist said the baby died at seven weeks.”

She says that was the worst and most painful day of her life because the couple were eager to become parents after five years in marriage.

“I developed complications at a very early stage and when we went to the hospital, we did a check of the heartbeat of the baby, but the doctor said the child was not breathing,” she said.

“I was in denial and I did not want to do the evacuation. I went home and even slept for two hours, but my husband insisted that we go to the hospital.”

Milly delivered through caesarian section, and she says she was ready to get her baby in any way as she was already two weeks late. “I have not had any complications so far, and the journey is amazing. However, I miss my sleep,” she said.

Nilimpoteza rafiki yangu Ayeiya siku ya kulipa mahari yangu – Terrence

Terence brought Nairobi’s Kimathi Street to a standstill when he proposed to Milly, in what led to Milly being confronted by police officers, and while she tried to sort out the matter, a group of friends pulled up with placards reading ‘Will You Marry Me?’

The couple met at Churchill Show in 2013, where they both worked. Terence then worked as a creative director, while Milly worked as a floor manager.

They named the baby Milla Netai, meaning Millicent and Lawrence, the couple’s names. Milla also means fear and hope. Netai is a Kalenjin name meaning Alpha or first.

‘By the age of 11, I was abusing all types of drugs,’ – Terrence Creative