Nyama ya mauti! Kipande cha nyama chamsakama jamaa hadi akafariki

Jamaa mwenye umri wa miaka 35 kutoka Kijiji cha Sigaon kata ya Neisuit, Kaunti ya Nakuru aliaga dunia Jumatatu Juni 15 usiku baada ya kusakamwa na kipande cha nyama.

Marehemu, aliyetambuliwa tu kama Rasta, alirejea nyumbani saa kumi na moja jioni Jumatatu akiwa amelewa chakari jinsi majirani walisema

“Alikuwa mlevi na alilalamikia njaa,” jirani mmoja alisema.

Mwenyekiti wa Vijana wa Neisuit, Kitur Sigei, alisema Rasta alikuwa amebeba nyama iliyofungwa kwenye karatasi ya gazeti, wakati alipofika nyumbani.

Uhasama haupo tena! Bahati na Willy Paul wazika tofauti zao

“Akiwa katika hali ya kuchemsha nyama hiyo, alianza kuila kabla haijapikwa vizuri,” alisema Sigei.

“Kwa bahati mbaya alisakamwa. Majirani walimsikia Rasta akiitisha msaada. Walipokimbia nyumbani kwake walimkuta akigaagaa kwa maumivu makali. Mmoja wa majirani alijaribu kumsaidia ili akitapike kipande hicho lakini juhudi zake hazikufaulu,” Sigei alikariri.

nyama

Majirani hao waliamua kumkimbiza katika kituo cha afya kilichoko karibu lakini alipowasili tayari alikuwa amekata kamba.

Rasta alijishughulisha na vibarua vya hapa na pale ili kujipatia kipato, hakuwa na mke au watoto, na majirani sasa wanaiuliza serikali ya kaunti iwaruhusu wamzike katika eneo hilo.

 

Baba na mwanawe wafungwa miaka 15 kwa kumnajisi mwanamke -Nakuru

Mzee wa miaka 58 na mwanawe wa kiume miaka 28 wamefungwa miaka 15 gerzani kila mmoja baada ya kupatikana na makosa ya kumnajisi mwanamke ambaye alikuwa jirani yao.

Makahaba wafurushwa Msumbiji kwa kupuzilia masharti ya serikali

Hakimu wa mahakama ya Molo Emmanuel Soita amesema mashtaka yaliwasilisha mbele ya mahakama na John Limo yalionyesha namna John Chirchir na mwanawe Vincent Lang’at walivyotenda kitendo hicho mnamo Juni 27,2018 ,wakitekeleza unyama huo katika kijiji cha Telowa ,eneobunge la Kuresoi Kaskazini ,kaunti ya Nakuru.

HANDS-TIED

Walioshuhudia kitendo hicho wamesema Chirchir na Lang’ata walifanyia kitendo hicho katika nyumba yao kabla ya kumwachilia mwathiriwa.

 

 

Vijana 21 watiwa mbaroni wakirekodi video za ngono, Nakuru

NA NICKSON TOSI

Vijana 21 katika kaunti ya Nakuru walitiwa mbaroni na maafisa wa usalama wakiwa katika harakati za kurekodi video za ngono.

Walionaswa ni wavulana wanane na wasichana 13.

Sikio la Kufa halisikii dawa! Wanawake 39 watiwa mbaroni kwa kuhudhuria harusi kisiri

Inadaiwa vijana hao walisajiliwa kutoka shule za upili na vyuo vikuu na kuwekwa kwenye kikundi cha Whatsapp, hii ni kuambatana na ripoti iliyothibitishwa na polisi.

 

 

 

21 youth arrested shooting pornographic content in Nakuru, quarantined at KMTC

 

Katika siku hiyo ya kiama, walikutwa na maafisa wa polisi wakiwa kwenye klabu moja vyungani mwa nyumba za mtaa wa Milimani mjini Nakuru na kulingana na polisi hawakuwa kwa umbali wa mita 1 kama ilivyopendekeza serikali.

Unyama Ulioje! Atiwa mbaroni kwa kumgonga mkewe na nyundo kichani hadi kufariki

Maafisa wa polisi pia wameanzisha uchunguzi  kuhusiana na ripoti kuwa huenda raia mmoja wa Ujerumani alikuwa afadhili mradi huo na kisha kuziuza filamu hizo za ngono ulaya.

Vijana hao 21 sasa wamewekwa kwenye karantini ya lazima KMTC ambapo watasalia kwa siku 14.

MHARIRI: DAVIS OJIAMBO

 

 

 

Tanzia : MCA wa Lakeview Karanja Mburu afariki katika ajali ya barabarani

Bunge la kaunti ya  Nakuru limepata  pigo baada ya kuaga dunia kwa mmojawapo ya waakilishi wake wa kaunti   kupitia ajali ya barabarani  kwenye barabara kuu ya Nairobi Kwenda  Nakuru.

Simba kamili! Diamond Platnumz anunua gari zito la Rolls Royce

Mwakilishi wa wadi ya  Lake View  Karanja Mburu  alifariki baada ya gari lake kupoteza mwelekeo na kugonga mti  katika eneo la View Point kilomita kumi kutoka mji wa Gilgil jumapili asubuhi .

Mwakilishi huyo wa kaunti alikuwa mshirika wa karibu wa Naibu wa rais William Ruto  na seneta  Susan Kihika  alikuwa pekee yake  akielekea Nakuru kutoka Naivasha  wakati ajali hiyo ilipotokea.

‘Kulikuwa na kitu kilichokosekana makshani mwangu’’ Avril azungumza kuhusu maisha yake ya mapenzi

Saa kadhaa  baada ya ajali hiyo   Gavana wa Nakuru  Lee Kinyanjui  ,spika wa kaunti Joel Maina  na waakilishi kadhaa wa kaunti walifika  katika  katika eneo la mkasa ili kumuomboleza   Mburu .

Akithibitisha ajali hiyo OCPD  wa  Gilgil Emmanuel  Opuru  ,amesema mti huo uliogongwa ulifunika sehemu ya mbele ya  gari hilo na  kuwazuia  madereva wengine kuuona .

Taarifa za hivi sasa! Mwanamke aliyekuwa amewekwa chini ya uangalizi Nakuru afariki

NA NICKSON TOSI

Waziri wa afya kaunti ya Nakuru Gichuki Kariuki amedhibitisha kuwa mwanamke aliyekuwa amewekwa chini ya uangalizi kwa jina Elizabeth Holloway kutoka Afrika Kusini katika taasisi ya kiufundi ya Kenya Industrial Training amepatikana kama amefariki

Image

Serikali ilikuwa imetoa onyo kwa kila mtu anayesafiri kuja nchini kuwa ni sharti kuwekwa chini ya karantini ili kubaini iwapo wanavirusi vya Corona.

Kufikia sasa visa vya watu walioathirika na virusi vya  Corona nchini vimefikia 31

Wakili aliyepanga njama ya kumuua mwanamke wa Belgian ashtakiwa kwa mauaji

Wakili anayefanya kazi katika kaunti ya Nakuru hii leo ameshtakiwa kwa njama ya mauaji ya raia wa Ubelgi aliyefahamika kama  Dysseller Mireille Lesoipa almaarufu Leila.

Inadaiwa wakili huyo aliungana na kundi ili watekeleze kitendo hicho,John Gakinya alikana madai hayo mbele ya mahakama hii leo.

Kati ya mwaka wa 2018 Desemba na Julai,2019 John aiungana na wengine ambao hawakuwa mbele ya mahakama na kupanga njama ya kumuua Dysseller.

Alikana madai hayo na kusema hana hatia mbele ya hakimu Daniel Ogembo.

Polisi hawajapata mwili wa mwendazake ambaye wanaamini aliuawa ilhali John ameshtakiwa kwa mauaji hayo, Dyseller alipotea mapema mwaka jana na polisi wanaamini kuwa kundi la watu lilikuwa na njama ya kumuua ili warithi mali zake.

Ilidaiwa Gakinya alisalimisha kesi mahakamani ambapo Lucy Waithera ambaye ni rafiki wa mwendazake na mfadhili wa wasia wa uongo wa mwendazake.

Pia kulikuwa na cheti cha kifo cha uongo ambacho ni cha mwendazake Mireille.

Waithera rafiki wa karibu wa mwendazake alienda mbele ya mahakama kwa mara ya kwanza lakini hakuja mahakamani kwa mara ya pili kwa maana ripoti ya tathmini ya akili yake haikuwa tayari.

Ripoti ya Gakinya ilikuwa tayari na alikuwa wa kwanza kushtakiwa katika mauaji hayo, kesi yake itaendelea jumatatu wiki ijayo ili ajulishwe vile ata lipa dhamana yake.

Mshtakiwa huyo aliambia mahakama kuwa watapinga dhamana yake ya kuahiliwa huru.


‘Pastor alinihadaa nifanye naye mapenzi ili nizae’

Kukosa mtoto ni jambo ambalo wengi huchukulia kwa mzaha lakini  kutana na mwanamke  ambaye hajafanikiwa kupata mtoto ili uweze kujua mahangaiko wanayopitia .

Kwa  Shelly Wacu  kutoka Nakuru, ndoa yake ya miaka saba bila mtoto ilimfanya  kuwa tayari kufanya jambo lolote ili afanikiwe kumzalia mumewe mtoto lakini baadaye  matokeo yake yamekuwa majuto. Baada ya kujaribu njia zote za matibabu na hata miti shamba, shelly hakuweza kupata mtoto na haikuwa rahisi kwake kukubali kwamba yeye ni tasa . Watu wengi sana wakiwemo jamaa na rafiki zake walimtembeza  Shelly kwa watu mbalimbali. Sio waganga, sio waomabaji  na watalaam aina nyingi ili kumsaidia shelly apate mtoto lakini bila mafanikio. Kiasi cha pesa ambacho pia yeye na mumewe  walitumia ili kuweza kupata mtoto kilikuwa cha juu sana na hatimaye mume wake alisalimu amri na kukubali kwamba hangewahi kupata mtoto, lakini kwa Shelly , vita  vyake  vya kuzaa havikuishia hapo .

‘Majambazi waliwabaka mamangu na dadazangu nikishuhudia’ Jamaa asimulia

Aliendelea kutafuta msaada kwa kila aliyemwambia kwamba kuna mtu anayeweza kumsaidia apate mtoto na ikawa rahisi sana kumshawishi kufanya chochote .Hapo ndipo ngoma ilipoanza wakati mhuburi mmoja wa kanisa jipya mjini Nakuru alipokuja na kupata sifa za kuweza kusuluhisha mambo mengi ikiwemo mtu kukosa mtoto .Wafuasi  wake mjini Nakuru walimuita kuwa  nabii na wanawake kwa wanaume waliokuwa na msururu wa matatizo mbalimbali walipiga foleni katika kanisa lake kupata msaada . Hapo ndipo Shelly alipoamua pia kucheza kamari ajaribu kupata usaidizi wa mhubiri huyo ili apate mtoto .

‘Mume wangu mwoga hajui kufanya mapenzi!’Mwanamke apasua mbarika

Alipokutana na  mhubiri huyo, hakuna kilichomfanya ashuku kwamba alikuwa mlaghai na  akamuombea na kumtaka awe na imani kwamba siku moja atapata mtoto .  Kisha akampa ratiba ya kuja kwa maombi kila jumapili na hata siku ambazo watu hawakuwa kanisani ili aombewe . Kimoja baada ya kingine, siku moja mhubiri akamwambia kwamba lazima ashiriki naye mapenzi ndiposa ndoto yake ya kupata mtoto itimie . Washirika wengine wa kanisa hilo walijitokeza na kumuambia Shelly kwamba afanye kila anachoambiwa na nabii  na  angeweza kupata mtoto . Kuna waumini wa kanisa hilo waliojitokeza katika ushuhuda kanisani wakidai kwamba hakuwa na watoto lakini baada ya usaidizi wa nabii waliweza kufanikiwa kupata watoto .Hilo lilimpa sana matumaini Shelly kwamba siku moja angepata mtoto .

Utalijua jiji: Jamaa kawekewa ‘mchele’ na kuporwa kila kitu katika nyumba !

Baada ya kutafakari pendekezo hilo la mhuburi huyo kutaka kulala naye ili aweze kupata mtoto, Shelly alihofia kumwambia mume wake kuhusu  hatua hiyo akiogopa kwamba angekataa. Kwa hivyo, alipiga moyo konde na kulala na mhubiri akiwa na matumaini  kwamba atapata mtoto .Ole wake! Kilichofanyika baadaye sio tu cha kuhuzinisha bali ni jambo la kuvunja moyo kwani ufichuzi ulitolewa kwamba mhubiri huyo alikuwa  keshafanya hivyo kwa wanawake kadhaa  mbeleni na kwamba utabiri wake ni ulaghai ! Shelly alijua kweli amejiingiza katika shimo ambalo  hangweza kujitoa .  Muda sio mrefu uvumi ulianza kuzagaa jinsi ambavyo yeye na mhubiri huyo walilala pamoja na  hata walikuwa wapenzi . Kabla hajajua cha kufanya mume wake alikuwa tayari keshaarifiwa kuhusu alichofanya na huo ndio uliokuwa mwisho wa ndoa yake . Mhubiri alianza kutafutwa na polisi kwa makosa mengi ya ulaghai baada ya watu kadhaa kujitokeza na lalama mbalimbali .Baadaye Shelly alilazimika kurejea kwao akiwa na mzigo wa aibu za kulala na mhubiri , fedheha ya kuachwa na mumewe na  kuonekana kama mjinga aliyehadaiwa  ili kulala na mhubiri feki .

 

 

 

 

 

 

Msinitishe:Rais Kenyatta asema hatotikiswa na yeyote katika kuwaunganisha wakenya .

  Rais Uhuru Kenyatta amekariri kujitolea kwake katika kuliunganisha taifa . Amesema juhudi zake zitamaliza ghasia za kila mara ambazo hushuhudiwa kila wakati wa uchaguzi mkuu .”Nchi ikiwa na amani na umoja mengi yanaweza kutendeka, sio kila saa ni siasa. Nawaomba wenzangu muambie wanasiasa wacheni tufanye kazi kwanza,” Uhuru  amesema.

DOUBLE TRAGEDY:Mama ajiua kwa kuruka kutoka Ambulansi baada ya mtoto wake kufariki Kajiado .

Rais ameyasema hayo siku ya jumanne  katika eneo la Salgaa,Nakuru  wakati wa kufunguliwa kwa kiwanda cha kitaifa cha saruji .  Amesema juhudi zake zinalenga kuhakikisha kwamba wakenya wanasalia na umoja na kusonga mbele  pamoja .

Moto ndani Jubilee: Jubilee yajitenga na mkutano wa wanachama wa Tangatanga mjini Naivasha

“Tusiogope tukiwa pamoja. Ndio kitu muhimu kwa nchi hii ili iweze kusonga mbele. Na mimi sitatingizika.Hapo ndipo mimi nipo na nitasonga mbele na hiyo line,”   Rais amesema . Kenyatta amesema kiwanda hicho cha saruji  kitachangia kuafikia malengo ya ajenda zake kuu nne kwa kuwapa wakenya ajira . Amesema serikali itazidi kushughulikia changamoto  zinazowakabiliwa watengezaji bidhaa .

Ni kama ndrama: Widow sits in husband’s grave to halt his burial in Nakuru

There was drama at the burial of murder victim in Nakuru after his wife sat in the grave in protest against the police for releasing a suspect prematurely.

Edward Mwangi’s wife and his two cousins sat in his grave for over two hours demanding that their kin’s body is taken back to the mortuary.

Saying they were ready to be buried with their kin, the three held the church conducting the ceremony at ransom as other mourners watched helplessly.

Mwangi’s father Daniel Mwea also watched in shock as his own children defied and accused him of siding with those who murdered his son.

The 33-year-old was murdered on December 3. His body was found dumped on a farm next to his suspected killer’s home.

“Why was the suspect released hours after he was arrested? It is very painful. There’s no burial which is going to take place here,” Mary Wangare, the widow, said.

“We cannot allow the killers to walk free as we reel in pain,” she said. Attempts by Dundori MCA Michael Chege to calm them were futile.

At about 3pm, Mwangi’s father lost his temperament and ordered his son to be buried. Four men went inside the grave and forced the three ‘protesters’ out.

After shouts and exchange of fists, calm returned and the body of the deceased was quickly lowered. No prayers were conducted.

-The Star

Who is your Governor? Here are some of the cleanest towns in Kenya

Even though many towns in Kenya are doing their best to fight the menace of garbage, some cities and towns have done a great job in this fight.

Here are some of the towns in Kenya that are really clean.

1. Kisumu

kisumu9

It is the Kenyan inland port city and is the capital of Kisumu county, Kenya. It has a estimated population of upto 500,000 people and is so far the cleanest.

2. Nakuru

kenya-economy

It is the fourth largest city in Kenya and is also the capital of Nakuru county.

It is the second most cleanest town in Kenya and has a great variety of tourist attraction sites.

3. Kericho

kericho

it is the biggest town in Kericho county and home of some of the largest tea plantations due to its favourable climate.

The town is strategically located along Kenya’s western tourism circuit with access to Lake Victoria, the Maasai Mara National Reserve and Ruma National Park.

It is the 3rd cleanest town in Kenya.

4. Naivasha

naivasha

Three Day Fishing Ban Lifted In Lake Naivasha After A Massive Clean Up Exercise

It is a popular tourist destination and is an agricultural town as well that practices floriculture.

It is a great tourist attraction site with places like Hells gate National Park, and Longonot National park.

it is the 4th cleanest town in Kenya.

5. Eldoret

eldoret

It is the fifth largest town in Kenya and is the capital of Uasin Gishu county.It is the fastest growing town in Kenya .

It is the 5th cleanest in the country.

6. Machakos

Machakos

It is the capital of Machakos and is 63 km southeast of Nairobi. It has a rapidly growing population and is surrounded by hilly terrain, with a high number of family farms.

It is ranked 6th cleanest in Kenya.

7. Kiambu

kiambu

It is located within the Nairobi Metropolitan Region.The town is surrounded by hilly Kikuyu farmland although is under urbanisation as Nairobi is growing fast and more people settle in neighbouring towns. Kiambu is seen as a future anchor to the capital city Nairobi which is undergoing rapid development with limited space for growth.

It is the 7th  cleanest.