PATANISHO: Mume wangu amekuwa akibadilisha wanawake kama nguo

Katika kitengo cha patanasho mwanamke Sharon,22, alituma ujumbe ili apatanishwe na mume wake Andrew,24, baada ya kukosana miezi mitatu iliyopita kwa sababu mume wake anapenda mpango wa kando.

Wawili hao wamekaa katika kwa mwaka mmoja na kubarikiwa na mtoto mmoja.

“Nilikosana na mume wangu kwa sababu alikuwa na mipango ya kando, mara nyingi alikuwa anakuja nyumbani akiwa amelewa na kuanza kuongea na wanawake 

Nilipomuuliza aliniambia nikitaka nirudi kwetu, siku moja aliniambia niende nikasalimie mama yangu niliporudi nilipata ameoa mwanamke mwingine

Kuumuliza tena aliniambia nikitaka kukaa nikae nilikaa na mke mwenza wangu lakini ilifika muda akaenda

Baada  muda mfupi niligundua ako na mwanamke mwingine nikachukua nambari yake ya simu nikampigia na kikamualika kwa nyumba.” Alisimulia Sharon.

Patanisho sio ya waluhya pekee! Gidi na Ghost wakosoa wakenya (AUDIO)

Bwana Andrew alipopigiwa simu alisema yuko kazini na hana nafasi ya kuzungumza, Sharon alimsihi mumewe atakama anponda raha ajue na aweke kwa akili kuwa mtoto wake anamhitaji.

“Najua anasikiza radiojambo nataka kumwambia kuwa mtoto wake anamhitaji ata akila raha aje ajue hivyo.” Alisema Sharon.

PATANISHO:Niliachana na mke wangu kwa sababu alichapwa na mamangu na dadazangu

Ni mtindo na tabia ambayo imeenea sana katika kizazi cha sasa, vijana wengi wanaingia katika ndoa bila hata ya kuwa tayari.

Na baada ya muda wasumbuana na kuachana jambo ambalo linafanya watu wengi kujiua, je ushauri wako ni upi kwa mtindo huu?

 

Mume wangu alinilazimisha kutoa mimba kisha akanifukuza

Bi Sharon alifunguka katika kipindi cha Bustani la Massawe bi Sharon alifunguka jinsi mumewe alivyomtesa kwa kumlazimisha atoe mimba ya jamaa mwingine, kisha akamfukuza nyumbani.

Kulingana na Sharon, wawili hao walikuwa pamoja na wakajaliwa mtoto mmoja baada yake kumaliza shule ya upili, baadaye walitengana naye akapata mpenzi mwingine.

Mimi na watoto wangu tulikuwa tutolewe kama dhabihu – Priscillah

Katika uhusiano huo hapo akapata mimba na yule bwanake akamrudia huku akisema hawezi muoa akiwa na mtoto wa mtoto mwingine.

Hapo alimlazimisha kuavya ile mimba huku akimdhuru kiafya, kwani hakuwa pata uwezo wa kujifungua tena na mwishowe walikosana na akamfukuza.

Soma usimulizi wake,

Imagine mzee wangu alinifukuza kwa sababu vile alinipata nikiwa na mimba ya mtu mwingine na akanifanyisha abortion na mimba ilikuwa ya miezi saba, karibu nifariki.

Halafu vile alinichukua kwake tukakaa miaka mitatu sikupata uwezo wa kupata mtoto tena. Nilikuwa na first born aliyekuwa wake na akaniambia angependa kunichukua lakini hawezi nichukua na mimba ya mtu.

Hapo akaniambia itanibidi nitoe kwani sikuwa na option. Wakati alinipata nilikuwa nimemaliza shule, akanidanganya tukalala naye nikapata mtoto. Baadaye akaniambia mimi nina mke mwingine wewe jiendee mimi nikaenda nikapata mtu mwingine tukapatana, ivo ivo.

Mwanamuziki maarufu nchini Uganda afariki baada ya kutekwa nyara, kuteswa