Wapenzi wa msanii Tome mpoo?,Basi ametoa wimbo

NA NICKSON TOSI

Msanii chipukizi wa miziki ya ‘Afro-pop ‘Tome amerudi tena na mziki mpya uliowafurahisha wafwasi wengi katika mitandao ya kijamii.

Msanii huyo anayetokea Nigeria amewashiriksha Burna Boy na Mr Eazi  katika wimbo huo wake mpya wa ‘THE MONEY’na umefanya vizuri katika mitandao ya kijamii baada ya kuzinduliwa.

Akiwa chini ya Usimamizi wa Kiza Music,kampuni ilio na matawi yake Nigeria ,Kenya,UAE,na Canada ,inapania kutumia fursa hiyo kumfanyia mauzo Tome.

Fast-rising songstress Tõme drops much anticipated hit Money and it’s hot

Mwaka wote  2019, TÖME alibahatika kwa kupat nafasi ya kujumuika na msanii wa miziki aina ya ‘Afro baets’ Wizkid katika safari yake ya kuimba Canada na lejendari Mr Eazi katika safari  zao za kuimba Uropa.

Wote walipata fursa ya kuwatumbuiza wafwasi wao katika uwanja wa Wembley SSE na pia kuimba katika hafla ya ‘Afrofest’2019.

Fast-rising songstress Tõme drops much anticipated hit Money and it’s hot

Tome alifanya safari yake ya muziki Texas ,America kaskazini,Uropa,na Afrika mwaka 2019 .

Kamata mwizi! Diamond kaiba wimbo wa Wizkid

NA NICKSON TOSI

Siku chache tu baada ya Diamond na mpenziwe Tanasha Donna kukumbwa na madai ya kuiba wimbo wa msanii kutoka Brazili,sasa Diamond amejipata njia mbaya baada ya kudaiwa kuiba baadhi ya maandishi ya wimbo wa Wizkid ‘JORO’katika wimbo wake wa JEJE.

Mashabiki wake wengi walienda katika mtandao wa twitter na kuanza kumkejeli kutokana na hatua ya Diamond kuiba baadhi ya sehemu ya wimbo huo wa Joro na kumtaja kama msanii asiye mbunifu katika kazi zake.

Wengine nao wakafananisha baadhi ya midundo ya wimbo huo wa Diamond na wa mwanamziki mwengine Burna Boy.Diamond Platnumz hits 3 million subscribers on YouTube

Baadhi ya wafwasi wake nao wakasema kuwa huenda swala hilo lilitokea kutokana na mzalishaji wa wimbo huo Kelp Vibez ambaye pia alizalisha mziki wa Burna Boy ‘On the Low’unaokisiwa pia Diamond aliiba baadhi ya maandishi.

Baadhi ya paparasi nao wakasema kuwa Diamond ameanza kuupoteza muundo wake wa kuimba na kuanza kufwatilia miundo ya Nigeria ambayo hawezani nayo.

Diamond Platnumz on the spot again over his new song Jeje

Hapa ni baadhi ya semi zao.

Gasheri Fidel Can’t help but hear joro joro playing in my head 🤣🤣😕

chrispine ogode Both his two new tracks sounds like WizKid I think wcb is targeting the star boy market witch is good for getting the USA market….

zholly asha Why do I have a feeling that this sounds like joroo by wizkid 😂

ofra Beatz On the low. Fever. And joro concepts are in the track. The video concepts too.

Ahmed Salim Uyu Dame diamond atamfanya bibi very soon watch the space. Simba awawekii . Mtoto utaskia anaitwa zeje dangote

David Owen Who else notice that he’s singing like Nigerian musicians

alex B. Kelp Vibes is the real OG, he produced Burna’s Ye and Wizkid’s Joro

Kevin Wafula wizkid: joro joro joro… diamond: jeje jeje

kasheri florah Joro WizKid has now become jeje😂😂😂😂😂aii machos …🚮

Stella Ngugi I must say Diamond was my favorite African artist but I’m disappointed in this one. The beat and choreography are copied and not original. The beat is Joro by Wizkid and the choreo and outfits copied from a routine Kellz Mbowe did about a month ago. Give her credit!!!! Not cool at all.

Nicky Mustafa Burna Boy – On the low Bongo version

kwevo kevo Diamond creativity is fading away……anacopy Nigerian music sana….

Anthony Agbor This is pure Joro from starboy. Even the idea of the music video is damn similar! Wizkid should file for plagiarism immediately!