'Hukuwa unaperform poa!'Mwanadada amtobolea siri aliyekuwa mpenzi wake sababu ya kumuacha

Muhtasari
  • Mwanamke amuacha mumewe kwa kutojua kusoma katiba vizuri
Mbusi na Lion

Utafiti ambao umefanywa na wanasayansi wa afya ya mwili na mahusiano ya kingono unaonesha kwamba asilimia 10 tu ya wanawake wanaoshiriki ngono hupata mchemko wa kutokwa na unyevunyevu mkali wakati wa tendo la ndoa.

Kati ya asilimia 50 hadi 80 ya wanawake hawajawahi chemka wakati wa tendo la ndoa na aghalabu hurubuni tu kwa kuigiza kwamba wamepata mhemko huo wa ngono ili kuwatosheleza wapenzi wao wa kiume.

Je umewahi jiuliza ni kwa nini uliachana na mpenzi wako wa awali bali na madai ya udanganyifu au sababu zingine zisizoeleweka?

Ndio utawapata baadhi ya watu wakisema na kudai kwwamba hawajui sababu kuu ya kuachwa na mpenzi wao.

Kupitia kwenye kitengo cha toboa siri, mwanamke mmoja alimtobolea aliyekuwa mpenzi wake sababu kuu ya kumuacha.

Kulingana na mwanamke huyo aliyekuwa mpenzi wake amekuwa akimuuliza sababu kuu ya kumuacha.

Hii hapa siri yake;

"Nataka kumtobolea aliyekuwa mpenzi wangu siri, kwani amekuwa akiniulia sababu ya kumuacha, nataka kumwambia hivi kuwa hakuwa ana perform poa

Nimempata mwanamume ambaye ananitoleshelesha hasa upande wa tendo la ndoa, kwani hakuwa nanitosheleza, kwa hivyo aache kuuliza kwa nini nilimuacha nilimuacha kwa ajili ya hayo."