BURIANI:Msanii John Nzenze aaga dunia

Wakenya na wanamuziki kwa jumla wanaomboleza kifo cha msanii wa nyimbo za zama John Nzenze aliyeaga mnamo jana saa nane jioni, Nzenze alifahamika sana kwa nyimbo zake kama vile habari za Nairobi,marashi ya warembo,kuwakimba mabwana na nyimbo zingine.

Mzee Nzenze aliaga dunia akiwa katika hospitali ya Mukumu mission,mwendzake alikuwa amelazwa katika hospitali hiyo kwwa muda wa mwezi mmoja kwa sababu ya shinikizo la damu na vidonda vya tumbo.

Baadhi ya viongozi walituma rambirambi zao na hizi hapa baadhi za jumbe zao;

Raila Odinga: 
We’ve today lost one of our country’s pioneer and most enduring musicians MrJohn Nzenze who popularized the Twist dance and kept the nation entertained from the 1960s up to about 4 years ago. I join the family and the country in mourning this greatly talented composer and singer.
William Samoei Ruto, PhD:
The music industry has lost a legend and possibly one of the most gifted singers of his era whose titles included Angelike Twist, Marashi ya Warembo, Maoni ya Twist, Kumbuka Nyumbani, Wanawake Kuwakimbia Mabwana, among others.
Kutoka kwetu wanajambo Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.