Mambo manne wanaume wa kiafrika wanapaswa kujifunza kufanya

Muhtasari
  • Mambo ambayo wanaume wa kiafrika wanapaswa kufahamu kufanya

Wanaume wengi wakimuoa mwanamke anayempenda na kumuweka kwa nyumba au kuwa na mpenzi kuna mambo ambayo anayaona si ya kawaida kutenda au kutendea mwanamke huyo.

Mfano mwema ni wanaume wazungu huwapenda wanawake wao hata wakiwa hadharani lakini wanaume wa kiafrika wanaona si jambo njema.

Haya hapa mambo ambayo wanaume wa kiafrika wanapaswa kujifunza kuwafanyia wake zao,

1.Si dhambi kumpa mke wako busu hadharani

Si wote ambao wanaweza kuwapa busu wake zao hadharani kwa maana wanaona ni jambo la vijana wadogo au ni dhambi kufanya hayo.

2.Muite mke wako majina ya kimapenzi

Ndio mke wako atajifungua na kisha utaanza kumuita mama fulani, lakinii unasahau majina ambayo ulikuwa unamuita ukitaka awe mpenzi wako.

Ukimuita mke wako majina hayo atafurahi na kisha atakupa mapenzi tele.

3.Thamini mtindo mpya ambao mkeo ata songwa au akijipodoa

Wanawake wengi wataenda saluni kutengenezwa ili wawapendeze waume zao, lakini utampata mwanamume anamuona mke wake yuko sawa upande huo lakini hata kupongeza, mpongeze na umsifu 

4.Mlinde mke wako

Kama mke wako yuko na shida au ana malalamishi haya basi mlinde kwa maana anataka kufahamu kuwa ana mwanamume kwa nyumba na ambaye atasimama naye kwa kila jambo

5.Mpe mke wako pesa zinazotosha bila ya kulalamika

Wanaume wengi hulalamika kila mara endapo atampa mke wake pesa na kunung'unika, ukitaka basi mke wako hasipate 'sponsor' mtunze mpaka atamanike na wengine.