'Mlipima vitenge lini? Wanamitandao wamuuliza Eric Omondi na mpenziye

Muhtasari
  • Video yake Eric Omondi na mpenziye yazua gumzo mitandaoni
eric omondi
eric omondi

Mfalme wa wachekeshaji nchini Eriic Omondi alikuwa katika misheni ya kumtafuta bibi ambapo aliwatafuta washiriki tisa waweze kupigania nafasi hiyo kwa kupitia changamoto tofauti.

Baada ya kipindi hicho kukamilika wanamitandao na wakenya waliona ni vyema Carol kuwa mkewe Eric na alifaa kuwa mkewe.

Baada ya Carol kuwa mshindi wengi walimpa hongera, huku wakianza safari yao ya mapenzi.

 

Hii leo kupitia kenye ukurasa wa instagram wa Eric alipakia Video wakiwa wawili huku akiapa kumpenda Carol milele.

Kilicho wavutia mashabiki si ujumbe huo bali walivutiwa na jinsi wawili hao walivyokuwa wamevalia na hata kushangazwa ni lini wawili hao waliweza kupima nguo hizo zilizokuwa zinafanana.

Hizi hapa baadi ya hisia za mashabiki;

jalangoo:Nyinyi mulipendana kitambo bro otherwise kitenge mulishona lini?

chriskirwa: @khaligraph_jones must perform at this wedding ama hatukuji ๐Ÿ˜Žon behalfSisiKamaInlaws wa online - Our requirements

bonfireadventures: Yaani mshafika stage ya kitengee๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช

jeff._.ke: Mtaachana tuh๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

hg.wanjiru: ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mi nangoja kuskia shakilla is not pregnant

perriewangare; Hadi eric ana catwalk๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

elly.on_beat: Kwani ilikuwa iweserious ivi ๐Ÿ˜ฒ huyo dem kwani alikuwa single ama uliwakosanisha kwanza jamaa akahurtbrekiwa???๐Ÿ’”

maskat254: Harusi si Leo?