Picha ya Jacque Maribe na Itumbi yazua maswali mtandaoni

jacque maribe and dennis itumbi
jacque maribe and dennis itumbi

Jacque Maribe amekuwa akisisitiza kuwa uhusiano wake na Dennis Itumbi ni wa kirafiki tu.

Lakini picha yake wakiwa katika kijiji kimoja wakicheza mchezo wa pool, umeibua maswali mengi katika mitandao ya kijamii.

Maribe ambaye hivi majuzi aliwakaroga mashabiki wake vichwa alipotangaza kuwa amepata mpenzi aliyemtambulisha kama 'K' sasa amewaacha mashabiki wake na maswali mengine zaidi kuliko majibu.

Shabiki moja alitaka kujua kama Itumbi ndiye kipenzi chake ila Maribe alimuuliza ingawa majina yake yana herufi 'K'.

Tazama picha ifuatayo. 

Soma baadhi ya jumbe ambazo Maribe amesalia kupambana nazo;

Shirl: Na saaaasa,mlisema pastor ng'ang'a anatafsiri ama?this is beyond human understanding.wuueeeh....sasa wadau tukaeni hapa pastor atoke milimani

Larry Kipz: Unatuchanganya na kizungu Mingi eeh? Tunaelewa

Propesa: Hey nyi mnatuconfuse sasa

Kirix Ruthy: Is the letter K constant??? Where is my math teacher yawa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Paul Koskei: Please move on into this thing fully, time isn't in your side.

Gloriah Gich: Si muoane tu aki ju mnatuaffect tuπŸ˜‚πŸ˜‚