'Hamisa ndio amegoma kuja kwako,' Diamond aambiwa baada ya kupakia picha ya mwanawe Hamisa Mobetto

Muhtasari
  • Diamond ampakia mwanawe Hamisa kwenye ukurasa wake wa instagram huku hisia tofauti zikitolewa
Diamond na Mobetto
Diamond na Mobetto

Msanii Diamond anafahamika kama 'Father Abraham' na mashabiki wake hii ni baada ya kufichua idadi ya watoto ambao ako nao.

Licha ya msanii huyo kuwa na watoto, haishi na wao wala na mama wa watoto wake.

Wiki iliyopita Tanasha Donna alimpeleka mwanawe Naseeb Junior kuenda kumuona baba yake, huku hisia tofauti zikitolewa na mashabiki.

 

Mwaka jana pia Zari Hassan aliwapeleka wanawe kumuona baba yao, na kuweka mambo bayana kwamba hawajarudiana na Diamond.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram siku ya Jumamosi Diamond alipakia picha ya mwanawe Dylan,waliobarikiwa na Hamisa Mobettoo huku ikiibua gumzo kwenye mitandao hiyo.

KUna baadhi ya masahbiki walisema kwamba Hamisa amegoma kuenda kwake huku wengine wakimuuliza yuko wapi Mobetto.

Hizi hapa hisia za mashabiki;

thommnyama: mama yake yeye ndo amegoma kabisa kuja mbezi machinjioni

cutyjacky: Unajua kuwakeraaa

pretty_khina: Nasikia raha kama nimepoatiwa mim😭😭😭

 

mulastar255: Baba zamu ya Hamisa Mobetto imefika😮😮😮Naona mtoto yupo mjengoni anawakilisha

dakudaily_: Amkeniii amkennn buana hamisa kaleta mtoto hukuuu😂😂😂😂😂

kibuofficial: Mnyamwez ndan ya mjumba

aishasiku: Siku hzi umekua baba mwema masha Allah ila usibadilike❤️❤️❤️❤️

vitanda_noma: C alisema ukoo umeshajaa mbona amempeleka? 😂😢