'Wakija Kenya nasi tunaenda Tanzania,'Eric Omondi asema haya huku Diamond akimcheka

Muhtasari
  • Diamond Platnumz amcheka Eric Omondi baada ya kusema anaenda Tanzania baada ya Diamonda kuwasili kenya

Kwa kweli mchekeshaji Eric Omondi anastahili kuwa rais wa tasnia ya uchekeshaji,kwanini nimesema hayo?

Eric atafanya chochote au lolote kwenye mitandao ya kijamii na kuwafurahisha mashabiki wake kwa njia zote zile.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mchekeshaji huyo alimtania msanii Diamond Platnumz baada ya kuja nchini kenya kibiashara.

Eric alipakia video huku akiabiri ndege na kuandika kwamba wakija kenya nasi tunaneda Tanzania.

"Wakikuja tunaenda...Dar Es Salaam see you in Second...." Aliandika Eric.

Baada ya Damond kuona ujumbe wake Eric hakuwa na chochote cha kusema bali alifanya kucheka.

diamondplatnumz: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tuko.co.ke: Na wakiwa na kinywaji hapo kando wewe hunywi kaka?πŸ˜‚πŸ˜‚

caroltandyoketch: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hii imeweza. Kawuono to Imora sana

maria.amor5: You are just the two of you in the whole aircraft🀣

 

mwangi_kinudia: Chibude amukuja sana ona chabade anakimbia

liz_nyamburah: πŸ˜‚πŸ˜‚toka uskume ndege coz haisongiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚