Usikule fare!Mashirima Kapombe awashauri wanawake wenye tabia hii

Muhtasari
  • Mashirima Kapombe awashauri wanawake waache kula fare huku akisema wanapaswa kufika eneo hilo ili kujionea
Mashirima Kapombe
Image: Hisani

Baadhi ya wanawake karne hii ya sasa wamesutwa vikali sana kwa kula nauli za wanaume yaani 'Boy child' kisha amakosa kukutana naye.

Wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wamekuwa wakilalamika sana kwa ajili ya tabia hii ya wanawake ambao walianzisha.

Huku mwanahabari Mashirima Kapombe akiwashauri wanawake kuhusu jambo hilo aliwaambia wasidhubutu kula nauli bali wanapaswa kufika humo na kuona mambo jinsi yalivyo.

 

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Mashirima alikuwa na haya ya kusema,

"KIl nilidhani kuhusu Garissa ni tofauti sana na kile nilipata, maadili ya hadithi usikule fare πŸ˜‚ Fika ujionee 😊picha ya mwisho ya kila kituπŸ₯°πŸ“Έ ❀," Aliandika Kapombe.

Ni ujumbe ambao uliibua hisia kati ya mashabiki wake na hizi hapa baadhi ya hisia zao;

blessingcarina: Mm nitumiwe nikule πŸ˜‚πŸ˜‚

gracemakau409: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ulikuwa unakula 2020 ee

itscynthiamwangi: Let's accept and move on 😍😍😍😍 we love love love

alikauleni; Kumbe umekuwa ukila fare? We shall see!πŸ˜‚

 

anniez21: Weuweee hio kitenge imewezaaa mbaya πŸ”₯soo lit Mashirima my all time mentor πŸ₯°

benardkoskey56: ❀️πŸ”₯very true

bampyspace_rider: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sawa hunty hatutakula fare tena

sellyamutabi: Kabisaaa❀️❀️it was worth it my darling

hinzanaerick: Underline uskule fareπŸ˜‚