Wanawake kaeni kwa ndoa zenu msiniige ata mimi nimepotea-Akothee awashauri wanawake

Muhtasari
  • Akothee awashauri wanawake wenye wako kwenye ndoa wakae humo na wala wasiige mfano wako
akoth stylish 1 (1)
akoth stylish 1 (1)

Msanii Aothee amefahamika sasa kwa miaka mingi kwa kusema ukweli na kukabiliana na kejeli kwenye mitandao ya kijamii ipasavyo.

Akothee anafahamika kama malkia wa akina mama ambao wanawaletea watoto bila usaidizi wa mwanamume.

Huku akimwamndikia mwanawe Rue Baby ujumbe siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwa Akothee alimshauri mwanawe aweze kuolewa kwa maana maisha ya kukaa bila kuolewa si mazuri.

 

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram siku ya Jumatatu Februari 22 amewashauri mashabiki na wanamitandao wanawake ambao wameolewa wakae kwenye ndoa.

Pia aliwaambia wasimuige kwa maana ata yeye amepotea.

"Wanawake walioolewa kaeni kwenye ndoa yenu, msininiige mimi pia NIMEPOTEA 🀣🀣🀣, Hamjui asili yangu na mwisho wangu, nitakuja nyuma yenu na kuoa tena ya mumeo," Akothee aliandika.

Ni ujumbe ambao uliibua gumzo kwenye mitandao hiyo na haya hapa baadhi ya maoni ya mashabiki;

bettykimeu: Married women can you stick to your lane and leave us alone.

dynasty.home.organization: Strong people rarely have an easy past... so continue to work for all dream you need to realise. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

yvonnewesonga: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’―πŸ’― right...am encouraged

kigomadaily: Akiiii Leo umependeza ukuje bongo.nkupe bwana

 

dija_255: πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚so much truth in it Akothee πŸ‘πŸ‘πŸ‘

baraka.model: Clear and discreet is your EnglishπŸ”₯πŸ˜‚πŸ˜‚

nurafedrick: Wenye ndoa wamesikia igaa ufee