(+Video)Mwanasiasa Karen Nyamu aonyesha sura ya mwanawe kwa mara ya kwanza

Muhtasari
  • Karen Nyamu aonyesha sura ya mwanawe kwa mara ya kwanza
  • Baadhi ya mashabiki walidai kwamba mwanawe Nyamu anamfanana msanii wa KIkuyu Samidoh

Mwanasiasa Karen Nyamu kwa mara ya kwanza amepakia video ya mwanawe kwenye ukurasa wake wa instragram.

Akiwa kwenye mahojiano na radiojambo alitupilia mbali madai kwamba ni mpenziye mwanamuziki Samidoh, na kusema kwamba wao ni marafiki wa karibu.

Baada ya kupakia video hiyo Nyamu, aliandika ujumbe mfupi, huku mashabikiwake wakisema kwamba mwanawe ana sura nzuri.

 

"Huyu anataka kuninyanganya mtoto nini? @brixston4243 unavaa nguo zinafanana na mtoto wangu kama nani?" Aliandika.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki;

alicekamande: Ooh my Goodness too cute😍

c.e.o_alexgndiritu: Bona anakaa samy doh🤭🤭

he_sahie: Awww look at kababa 🤩🥰Cuteness overload 😩🥺🥺😍😍

shee_shiqo: Kamuhihinyi junior 😍😍😍so cute

p.wanjohi: Walai anakaa samidoh ama ako na twin🙌🙌🙌

 

miss.mukami.wahome: Too much cuteness🙌🙌

kateannitah; Handsome boy❤️