'Usibebe maumivu, beba somo,'Ushauri wake Victoria Rubadiri kwa mashabiki

Muhtasari
  • Mwanahabari Victoria Rubadiri ni mmoja wa wanahabari ambao wanapendwa na mashabiki kote nchini, kwa ajili ya bidii ya kazi yake
VIC 2
VIC 2

Mwanahabari Victoria Rubadiri ni mmoja wa wanahabari ambao wanapendwa na mashabiki kote nchini, kwa ajili ya bidii ya kazi yake.

Rubadiri ni miongoni mwa wanahabari ambao wamepokea tuzo za uhanahabari nchini kwa kazi yake nzuri.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram mwanahabari huyo aliwashauri mashabiki wake wasibebe maumivu wala wabebe somo wanapo pitia katika changamoto yeyote.

 

"Usibebe maumivu, beba somo," Aliandika Rubadiri.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki baada ya ushauri wake mwanahabari huyo;

ndeto_salome: Well said❤️

blessed_muasya: Very true Vicky 💞👌💪👍👏

pu.ri797: Beautiful Vickie❤️❤️

alicenyamaiofficial: Truth

Karne hii ya sasa vijana wengi wanapitia mengi huku baadhi yao wakibeba tu maumivu badala ya somo.

 

Je ni jambo gani ulitendewa na ulijifunza nini kutokana na maumivu ambayo ulipokea?