Ndoa za watu mashuhuri ambao hazijawahi husishwa na kashfa yeyote

Muhtasari
  • Ndoa za watu mashuhuri ambao hazijawahi husishwa na kashfa yeyote
njugu
njugu

Tumewaona kwenye mitandao ya kijamii na hata kwenye blogu ndoa zao zikiwa na kashfa na hata wengi wao waiachana kwa ajili ya kutoaminiana na kashfa.

Kuna wale ambao hukaa kwenye ndoa zao na kutatu shida zao huku wakiwa mfano mwema kwa wengi hata baada ya drama yote.

Lakini kuna wale ambao hatujawahi waona wala kusikia kwamba wamehusishwa katika kashfa yeyote.

 

Hii hapa baadhi ya orodha ya wanandooa hao;

1.Lulu Hassan na Rashid Abdalla

Ni wanahabari wa runinga ya citizen na wamekuwa mfano mwema kwa watu wengi hasa mashabiki wao.

2,Njugush na Wakavinye

Ndoa Muigizaji Njugush na mkewe ni ya kupigiwa mfano na wakenya wengi, kwani wawili hao hawatafuti kiki wala ndoa yao kuwa na drama nyingi.

3.Nameless na Wahu

Ni wasanii ambaoo wametoana mbali, kwani wamekuwa katika ndoa kwa miaka 15, huku wakiwa mfano mwema kwa mashabiki na wakenya kwa jumla.