'Kazi ya mikono yangu itabarikiwa milele,' Kate Actress azungumza baada ya kutoa kibao kipya na msanii Mr Seed

Muhtasari
  • Muigizaji Catherine Kamau almaarufu Kate Actress ni mmoja wa wanawake mashuhuri ambao wamebarikiwa na talanta tofauti
  • Kibao hicho kinazungumzia jinsi mapenzi yanapaswa kuwa kati ya wapenzi wawili, huku wakifunga ndoa
kate-actress
kate-actress

Muigizaji Catherine Kamau almaarufu Kate Actress ni mmoja wa wanawake mashuhuri ambao wamebarikiwa na talanta tofauti.

Kate amewashangaza mashabiki wake baada ya kutoa kibao kinacho fahamika kama 'Ndoa'  akimshirikisha msanii Mr Seed.

Kibao hicho kinazungumzia jinsi mapenzi yanapaswa kuwa kati ya wapenzi wawili, huku wapenzi hao wakifunga ndoa.

 

Kate amejiunga na wanawake kama Avril,Vivian, Nadia MUkami miongoni wa wengine ambao wamo katika tasnia ya burudani na wanafanya vyema katika kazi yao ya usanii.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Kate alisema kwamba kazi ya mikono yake itabarikiwa milele.

Pia alimshukuru msanii Seed kwa kumualika na kufanya kazi pamoja.

"Nimekaa hapa na inhaler prisπŸ‘€ .'Kazi ya mikono yangu itabarikiwa milele @mrseedofficial  kwa kupiga simu hiyo, nilifurahi kufanya haya," Kate alinakili.

Mashabiki walimpongeza Kate kwa hatua yake na hizi hapa baadhi ya jumbe zao;

celestinegachuhi: Booobooo😍😍πŸ”₯πŸ”₯I loved your work

kanyiri_marangu: Sasa tunangoja collabo yako na samidoh

 

mercy_wakiyo: A BANGER!!!!!! deffinately playing this at my wedding inshallah!!

queen.nabilah: You sound soooo Good ! you should be doing it often!! πŸ”₯πŸ”₯

margie.jewel: πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ it's fire fire fire

Hii hapa video ya kibao hicho;

#MrSeed #Ndoa #Ngomma NDOA by Mr.Seed X Kate Actress is a manifestation of how TRUE LOVE should be displayed. This is a wedding song that should definitely not miss in your playlist. Audio by: Giddy Vibes Studio : Starborn Empire Studios Mixed and Mastered by: Teddy B Directed by : Slim Mapoz Assistant Director : Tom Gor Makeup By : Lulu Ke Bridal Makeup: Phoina Beauty Song written by : Giddy vibes & Mr.Seed SPECIAL THANKS TO TRADEMARK HOTEL SPOTON VACATIONS WHITE ROSE BRIDAL KE SHAL EVENTS DECOR BROWNS BAKERY KINGS CASTLE VAMAVALMA WEAR