TBT!Tazama picha ya zamani ya msanii Gloria Muliro iliyowapendeza mashabiki

Muhtasari
  • Tazama picha ya zamani ya msanii Gloria Muliro iliyowapendeza mashabiki
64744215_844561759249906_349120164825179193_n
64744215_844561759249906_349120164825179193_n

Gloria Muliro ni mwanamuziki wa injili wa Kenya anayetokea Magharibi mwa Kenya. alikuwa msanii tangu utotoni mwake.

Kutoka kwa mahojiano yake ya awali msanii huyo alifichua amewahi kuwa kijakazi wa nyumbani kabla ya kuanza kuimba rasmi.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram msanii huyo alipakia picha akiwa katika shule ya upili na wengi walimsifia.

Mashabiki wake wengi wanasema alikuwa mzuri tangu akiwa mtoto wakati wengine wanasema alikuwa mrembo hapo awali.

Ametoa vibao  ambavyo vinapendwa na watu wengi nchini na nje ya nchi.

Wasanii wengi wana hadithi za kusikitisha za maisha yao ya awali kabla ya kufahamika sana na wamekuwa wakizisimulia na kuwatia wengi moyo.

Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;

kingsonyango047: It's in the genes ,is God๐Ÿ‘โค๏ธ

dr.gathinjagamainawagioko: Umemaintain looks

jmulwale: Wauuuu looking appetitive

cj_son_of_universe: Hehehe๐Ÿ˜‚...the journey has been incredible great

crizzygilberttsato: It has been a journey, ni mungu

deejay_lukas: Wow,wow๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™