'Ninakujia kila kitu walichosema sitakuwa nacho,'Betty Bayo kwa wenye chuki

Muhtasari
  • Msanii wa nyimbo za injili Betty Bayo, kupitia ukurasa wake wa instagram aliwashangaza wanamitandao baada ya kumtambulisha mpenzi wake
betty
betty

Msanii wa nyimbo za injili Betty Bayo, kupitia ukurasa wake wa instagram aliwashangaza wanamitandao baada ya kumtambulisha mpenzi wake.

Betty alikuwa mkewe muhubiri Kanyari , na walivuma sana baada ya wawili hao kupeana talaka.

Licha ya kuwa msanii wa nyimbo za injili amekuwa akipokea kejeli nyingi kutoka kwa wanamitandao.

Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagrama amewaharifu maadui na wenye chuki kuwa anaendelea kuchukua kile wote walisema kwamba hawezi kuwa nacho.

"Ninakujia kila kitu walichosema sitakuwa nacho," Aliandika Betty

Huku akiadhimisha miaka miwili katika uhusiano wake na mpenzi wake, alimshukuru kwa upendo wake na jinsi alionyesha upendo kwa watoto wake.

"Mwishowe..imekuwa miaka 2 tangu tukutane na tukawa marafiki wazuri. kile kilichopelekea hapo baada ya hakuna mtu anayeweza kuelezea.lilazimika kuchukua muda kukujua vizuri. mimi na upendo ulionionyesha kuelekea mimi na watoto."

Baada ya ujumbe wake Mashabiki walishauri kwamba anastahili kuwa na furaha, na kupata yote aliyoyatarajia;

Hizi hapa baadhi ya hisia zao;

annie_kirethi: Muke halali ya musungu you are very beautiful

lilianndegwaofficial: 11th hour hunny remember that❀️

zippy_empire_uniques: πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘I will continue rejoicing your success untill God's time for it to be others clapping for me

musaukate: Please have it all. You deserve

lizy_ella: I love this woman since I was a kid😍😍😍