'Washindi ni wale hawakuacha,'Betty Kyallo awashauri mashabiki mitandaoni

Muhtasari
  • Betty Kyallo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amekuwa akizungumza na mashabiki, na kuwapa ushauri wa jinsi ya kuishi maisha yao
Betty Kyallo
Image: Instagram/Betty Kyallo

Betty Kyallo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram amekuwa akizungumza na mashabiki, na kuwapa ushauri wa jinsi ya kuishi maisha yao.

Alipakia picha nzuri. Lakini kile kiliwavutia mashabiki na wanamitandao ni ujumbe wake.

Aliwahimiza mashabiki wake kuamini mchakato. Alisema kuwa kuacha  au kukata tamaa sio jambo jema.

Mashabiki waliendelea kutoa maoni yao juu ya jambo hilo. Wengi walimshukuru kwa ushauri. Wengine walimpongeza kwa uzuri wake mkubwa.

Wengine walimsifu mtindo wake wa kushangaza. Betty Kyalo ni mwanahabari wa zamani na mjasiriamali nchini Kenya.

Anapendwa kwa utu wake wa ajabu na bidii ya kazi yake.

"Washindi sio wale ambao hawawezi kushindwa, lakini wale ambao hawakuacha. Kamwe kuacha," Aliandika Betty.

Hizi hapa hisia za baadhi ya mashabiki;

_.eastside: Atleast sai ukona kaafya ulipata kamtu😂😂

udakuclubkenya: Betty betty😍🔥 tunakuonaaaaa

betterzoftenterprise: Beautiful as always Betty

kamau_ras79: True that queen

smartboy2737: Ngoma ikipigwa sana mwishowe hulegea na kuwa bububu❤️❤️🔥

eli_fury: patience is for the winners

steviewhaler: and those that acquit themselves from the inconceivable circumstances . Never fight those who facilitate your eschew .. you'll end up submissive Berry.