- Ujumbe wa muigizaji Maggie uliozua maswali mitandaoni
- Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram muigizaji huyo amepakia picha na kuandika ujumbe ambao umezua madahalo na maswali mitandaoni
Muigizaji Dorea Chege maarufu Maggie alifahamika sana wakati wa uigizaji wake katika kipindi cha Maria.
Bali na uigizaji wake Maggie amekuwa akiwakosesha wanaume wengi usingizi kutokana na urembo wake na picha ambazo amekuwa akipakia mitandaoni.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram muigizaji huyo amepakia picha na kuandika ujumbe ambao umezua madahalo na maswali mitandaoni.
Kulingana na Maggie alikuwa amesema kwamba mtu yeyote asiogope kumchukia kwani yeye sio wao.
"Usiogope kunichukia mimi si wenyu๐คฆโโ๏ธ," Aliandika Maggie.
Hizi hapa baadhi ya hisia za mashabiki;
terencecreative: Nani ngakosea maadam ๐๐๐
dj_lisney: Vayolens asubuhi
belavista_xtreme_makeover: ๐๐๐๐๐๐ hehehehe! Your captions! They finish me ๐๐๐๐๐๐always
lydiamwikz87: Kweli kabisaa habari waipate๐๐you rocking Mrs the last Don๐ฅ
lucy_mboko_Eeeema: huwezi twambia hivyo ๐๐
kobiaroselynnkenyah :Leo iko nini?๐ฎ
kithinji.yvonne: Nakupenda sana na wewe sio wetu๐๐๐๐๐โค๏ธ