Nilimsikia mpenzi wangu akikiri kwenye redio kwamba ana 'sponsor' na sipaswi kujua-Mwanamume alia

Muhtasari
  • Nilimsikia mpenzi wangu akikiri kwamba ana sponsor na wala sijui
  • Mwanamke huyo alikiri kwamba anampenda sponsor huyo kwa jambo moja tu
shocked
shocked

Ni swali ambalo wengi wamekuwa wakiuliza 'sponsor' anaitwa aje kwa kiswali haya basi husitie shaka hili hapa jibu mwanamume huyo anaitwa Buzi.

Kisasi cha sasa kwa kweli kinapenda buzi sana ili aweze kujukumikia gharama zao za kawaida.

Kuna wale pia wanawapenda baada ya kuonyeshwa upendo kupindukia na jinsi anamuonyesha mapenzi ni raha tu hamna kilio.

 

Kile ambacho wanawake hao hawajui ni kwamba Mwanamume huyo anafamilia yake akimalizana nawe kwa kweli atarudi kwake na kwa familia yake kwa hivyo hana shida yeyote lakini tamaa yako ya pesa inafanya maisha yako yaende sigemnege.

Mwanamume mmoja kupitia kwenye redio moja humu nchini alimsikia mpezni wake akikiri na kufichua kwamba ana sponsor ambaye wanekuwa naye kwa muda.

Mwanamke huyo alimtaka mpenzi wake apigiwe simu na kufahamishwa hayo lakini kwa bahati mbaya alikuwa anaskiza hayo yote.

Mwanamke huyo alikuwa na haya ya kukiri;

"Ninataka kukiri kwamba nina sponsor ambaye tumekuwa naye kwa muda sasa lakini mpenzi wangu hajui wala kufahamu chochote, huwa anachapa hii kitu mpaka nasiki vizuri(yaani huwa anampa penzi la ngono anasikia vyema)." Mwanamke huyo alikiri.

Mwanamume huyo alipopigiwa simu alikuwa na haya ya kusema;

'Nimesikia kila kitu ambacho amesema lakini sijawahi jua wala kufahamu chochote, nashindwa kwani huwa sifanyi kazi mzuri

 

Kusema kweli hajkula pesa zangu nyingi lakini sijui nifanyeje."

Kwa maoni yako ungekuwa mwanamume huyo ungefanya nini na ni mawaidha yapi ambayo unaweza kumpa?