Fahamu kwa nini muigizaji na malkia wa tiktok Azziad anavuma namba 1 twitter

Muhtasari
  • Fahamu kwanini muigizaji na malkia wa tiktok Azziad anavuma namba 1 twitter
Azziad Nasenya
Image: Hisani

Ninapomzungumzia Azziad Nasenya wengi wanamfahamu kama malkia wa mitandao ya Tiktok, alifahamika mwaka jana baada ya kufanya changomoto ya kibao cha 'Utawezana'.

Tangu wakati huo, hakukuwa na kurudi nyuma kwa mrembo huyo mwenye talanta.

Hivi karibuni alifunguka juu ya kazi ya redio aliyoipata bila kutaja chapa anayoiwakilisha kama balozi.

Naam Azziad alipata umaarufu akiwa na miaka 20 tu na angalia jinsi amekua mkubwa katika tasnia hiyo hadi sasa.

Azziad alizaliwa mnamo Juni,16,2000 na ku[itia kwenye ukurasa wake wa twitter alisherehekea 

Siku yake ya kuzaliwa na amekuwa akivuma namba moja kwenye mitandao hiyo.

Sababu ya Azziad kuvuma sana kwenye mitandao ya kijamii ni kwa ajili amehitimu miak 21, na amekuwa maarufu akiwa na umri wa chini.

Hizi hapa baadhi ya jumbe za mashabiki wakimtakia heri njema siku yake ya kuzaliwa;

Yaro B: Let me take this chance to wish the one andd only @AzziadNasenya a happy birthday... Maybe God keep on blessing you abundantly #AzziadAt21

#MADEINKENYA: the audacity that i could use to type #CongratulationsAtwoli lemme use it to wish @AzziadNasenya a happy birthday.#AzziadAt21

TheNoiseMaker: Our tiktok queen is celebrating her birthday today and she's the first female who is honest about her ageFlexed bicepsSmiling face with open mouth and cold sweat @AzziadNasenya#AzziadAt21

Bamba Tv Kenya: Happy Birthday to Kenya's Tiktok Queen, @AzziadNasenya Cheers to more wins!! #AzziadAt21 #HappyBirthdayAzziad #Azziad