Unajijua uko na ukimwi badala ya kutumia mpira kazi yako nikuambukiza viongozi wenzako-Mike Sonko

Muhtasari
  • Mike Sonko awalaani viongozi wenye tabia hii
  • Pia amesema kando na hayo wamekuwa wakiwatua wanawake mimba kisha wanawaacha

Gavana wa zamani wa kaunti ya Nairobi Mike Sonko kupitia kwenye ukurasa wake wa facebook amewalaani baadhi ya viongozi wenye tabia ya kuambukiza wenzao ukimwi.

Kulingana na Sonko viongozi hao wanajua vyema kwamba wanaugua virusi hivyo lakini wanaendelea na kitendo hicho cha kugadhabisha.

Pia amesema kando na hayo wamekuwa wakiwatua wanawake mimba kisha wanawaacha.

Je Sonko anazungumzia nani au viongozi wagani? ni swali ambalo wanamitandao wamebaki nalo na bila la kupata majibu.

ujumbe

"Haki ya Mungu viongozi wengine ni wajinga sana na wanastahili kuchomwa. Yani unajijua uko na ukimwi  lakini badala ya kutumia kondomu au mpira kazi yako nikuambukiza viongozi wenzako na innocent women plus kuwapea mimba. Pepoo wewe. Ngoja tu utaskia very soon." Aliandika Sonko.

Hizi hapa jumbe za mashabiki;

Billy Right Mosebi: Sonko you've been good to us but kama umeambukizwa kufa polepole, shebesh is Safe wherever she is

John Macharia: Mambo ya ukimwi na mimba wachia Obado ..wewe Ambia serikali ikupe kazi

Magufuli Benjamin: Hii kitu ni tamu enyewe lakini ni mzuri tutumie condom

Virginia A Josphat: Ubaya you guys misbehave not minding your own families. I can only imagine the chain of those infected.

Shanice Mwende: "You don't trust me?" This question has pushed so many innocent people into the world of ARVs.May God protect all of us.Na watu waache kupima HIV na macho😂Go VCT before going raw. Prevention is better than cure