'Tunakungoja urejee,'Kabi Wajesus asema hana chuki na mwanablogu Edgar Obare

Muhtasari
  • Kabi Wajesus asema hana chuki na mwanablogu Edgar Obare
Kabi wa jesus
Kabi wa jesus

Mwanamitindo Kabi Wajesus, kupitia kwenye mahojiano, amesema kwamba ana chuki dhidi ya mwanablogu Edgar Obare.

Kabi alipongeza kazi yake Edgar na kusema kwamba amesikitishwa na yale mwanablogu huyo na ndugu yake wanapia.

Pia alisema kwamba anatarajia kurejea kwake kwenye mitandao ya kijamii.

"Sina shida yeyote na Edgar nimesikia yeye na ndugu yake wanapitia, na ninamasikitiko juu yao,hpngera kwa kazi yako mzuri, tunakungoja urejee kwenye mitandao ya kijamii," Kabii alisema.

Mapema mwaka huu Obare alifichua kwamba Kabi ana mtoto na binamu yake, na kwamba ameacha kujukumika kw ajili ya mtoto wake.

Hata hivyo Kabi alisema kwamba hayuko pamja na Edgar lakini hamyakii mabaya maishani mwake.

Obare alianza kupokea changamoto, mwezi jana baada ya kufichua siri za biashara ya Wash Wash, huku akuanti yake ya instgram ikifutwa.