Kimeweza au la?Tazama kibao kipya cha mchekeshaji Shiti na msanii Naiboi

Muhtasari
  • Tazama kibao kipya cha mchekeshaji Shiti na msanii Naiboi
  • Shiti pia alifahamika sana kupitia kwa kipndi cha Churchill na The househelps of Kawangware

Steven Oduor Dede maarufu DJ Shiti, amekuwa akiweka tabasamu usoni mwa mashabiki wake kupitia kwa  kazi yake ya ucheshi.

Kwa sasa tunaweza sema kwamba Shiti amejiunga na tasnia ya usanii, kwani ametoa kibao kinachofahamika kama 'pesa'.

Shiti pia alifahamika sana kupitia kwa kipndi cha Churchill na The househelps of Kawangware.

Ni kibao ambacho kinazungumzia jinsi mwanamume alikuja kugundua kuwa mpenzi wake hampendi, na kusalia na maswali kama ni pesa angemwambia mapema na kabla ya uchumba wao.

Pia mwanzoni mwa kibao Shiti anaigiza jinsi wasanii wameteseka wakati huu wa janga la corona, na jinsi wamekuwa wakitupwa na kurushwa nje na wenye nyumba kwa kutolipa kodi.

Hiya hapa baadhi ya maoni ya wanamitandao;

kinyua_royford: Hii ni 🔥🔥🔥... Tumekubali...

nicki_bigfish: Mbona parts zangu hazija oneshewa? Surely

mwawu_mdawida: Mlamu utachoma simu zetu😂

terry_jeremy: Eeeiiiiish🔥🔥🔥🔥🔥🔥lemmi watch this🔥

hot_cocoa95: Kumbe you took my advice seriously ☺️

Je kibao hicho kimeweza au hakijaweza?

Hii hapa video ya kibao hicho;

Performed by: NaiBoi & Dj Shiti Produced by Vicky Pon Dis Video directed by Trey Juelz Location & Set by Film Brand studios ke Styling by Kilokilo Creatives For Bookings contact : thenaiboi@gmail.com +254723723734 #Pesa Connect with Naiboi on ;- Instagram : https://www.instagram.com/thenaiboi/ Facebook : https://www.facebook.com/NaiBoi-150698498321084/ Twitter : https://twitter.com/thenaiboi?lang=en Download and stream Naiboi's Music on ;- Apple Music : https://itunes.apple.com/ke/album/usipime-mwanaume-single/1444692277 Boom play : https://www.boomplay.com/albums/21769954?from=artists Spotify : Mdundo : https://mdundo.com/song/1643578 #Naiboi #DjShiti ©2021 channel administered by ngomma vas