PATANISHO: Mombasa Raha Yawakosanisha Ken Na Mkewe Betty

patanisho
patanisho
Si mara ya kwanza wapendwa wawili wamekosana kwa ajili ya tendo la ndoa, wengi wao wakikimbilia usaidizi wa watangazaji, Gidi na Ghost katika kitengo cha Patanisho.

Leo ilikuwa zamu yao Gidi na Ghost kujaribu kuwapatanisha Ken na mkewe Betty, baada ya Ken kumzaba mkewe kofi mwezi uliopita. Kisa na maana? Betty kamnyima mumewe Mombasa raha!

Skiza uhondo.