PATANISHO: Nilipata Mke Wangu Akimuita Mwanaume Mwingine 'Baby'

William alituma ujumbe akiomba apatanishwe na mke wake ambaye waliwachana mwaka uliopita.

Tulikosana na mke wangu Mei mwaka Jana. Kuna vile nilipata ujumbe wa mapenzi kwa simu yake na nilipomuuliza akadai kuwa ni mwanadada rafikiye ambaye wawili hao huitana baby.

Kwa hasira nikaenda nikameza pombe vibaya sana na kurudi nyumbani nikazusha sana na nikampiga na nikatoka na kumuachia nyumba.

Baada ya wiki moja akaweka simu password na akabadilisha ile nambari kiasi ili nisiijue na hapo nikaanza kumshuku. Alieleza William ambaye wamekuwa pamoja kwa miaka minne.

Pata uhondo wote.

&t=5s