Hawahitaji Patanisho! How Rashid Abdalla resolves disputes with wife Lulu Hassan

Huwa desturi ya waliokosana katika ndoa kuomba patanisho kupitia kitengo cha Patanisho Redio Jambo.

Ni nia ya Gidi na Ghost kusuhulisha na kuwashauri waliotengana ili waweze kurudiana.

Lakini hali si hiyo kwa ndoa ya mtangazaji Rashid Abdalal na mkewe Lulu Hassan.

Akizungumza na ripota wetu, Rashid aliibua namna anavyo suluhisha na kurejesha uhusiano na Lulu Hassan.

Wawili hawa ambao wamekuwa kwa ndo miaka tano wamebarikiwa na watoto watatu - wavulana wawili na msichana mmoja-

I think for everyone who s working together, katika uhusiano ukukubali kuna neneo kukosana hiyo relationship haiko, kwenye mauhusiano tukubali kuna tofauti ya kukosana na kutofautiana, mkikosana mpendane, mkitofautiana mnajenga, na mnarekebishana. 

Wapendwa hawa kufanya kazi pamoja katika runinga la Ctizen Tv.

Rashid pia aliongea namna wanvyo weza kufanya kazi pamoja bila shida:

It's always nice when you are working with your best friend, she is my best friend she is understanding. I was working with her even before marriage and after marriage we were working behind the scenes together.

Kwangu ni jambo la maana tufanye kazi vizuri.

Na funzo lake kuu katika ndoa ni?

Don't copy, don't copy what other people are doing, be best friends and the most important thing is respect each other.

kazi yenu maisha yenu ya inje ya familia yasiingilie na kazi, jaribu kuweka katika hiyo mizani, mtapendana na kama kuna utofauti mtaishugulikia kwa usawa na busara.