'Aitwe Majuto' Yaone majina yaliyopendekezwa kwa mtoto wake Diamond anayemtarajia

Mwimbaji wa Tanzania, Diamond Platnumz na mpenzi Tanasha Donna, wanatarajia mtoto wao wa kwanza pamoja.

Tanasha mwenye umri wa miaka 24, ni mjamzito wa miezi saba, ambayo ina maana kuwa baada ya miezi miwili atajifungua.

Anatarajia mtoto mvulana.

Diamond Platnumz, atakuwa baba ya watoto wanne, kwani waliwapata watoto wawili na Zari na mmoja na Hamisa Mobetto.
(PLEASE ADVICE THE NAME……..👇🏼)

NYINYI NI NDUGU ZANGU……NYINYI NI FAMILIA YANGU….MNA KILA HAKI YA KUPENDEKEZA JINA LA MTOTO WETU TUMUITE NANI……TAFADHALI PENDEKEZA👇🏼

[Y’ALL ARE LIKE MY FAMILY AND HAVE A RIGHT TO SUGGEST A NAME FOR OUR NEWBORN CHILD. WHAT NAME SHOULD WE GIVE TO HIM? PLEASE BE NICE.]

Maoni mengine yalikuwa mazuri lakini mengine yalipendekeza majina yasiofaa, baadhi ya maoni hayo ni ikiwemo,

2019soul2019soul Aitwe majuto maana next year mda kama huu Tanasha atakua na majuto mengi sana. 😂.

lukmamy Kaylan kwa vile nimkenya utakua na nylan dylan na kylanchriskirwaDiaTana … jina Nzuri hilo

dunga_santuri_trinity Mansa Musa Dangote

akiliyababu Jina ni kimonyoski

smashbracket Chibuuuu dangoteeeee!!! Sharp shooter congratulations bro

iam_niryh Muite mwakitombile 😊

fetty.ommy kipindi ulikuwa unampa mimba ulituomba ushauri

trishercriss Shing’weng’we😂😂

malkiawaudaku Masumbuko