Maseneta wakubali mgao wa bilioni 316 kwa serikali za kaunti

senate
senate

Hatimaye Seneti imetii amri na kukubali mgao wa shilingi bilioni 316 kwa serikali za kaunti. Seneti ilikuwa imependekeza mgao wa shilingi bilioni 335 kugawiwa serikali za kaunti lakini bunge la kitaifa likashikilia shilingi bilioni 316.

Maelezo zaidi yanafuata…