"Sisi sio wachawi.." Kambua aongelea biashara ya familia yao

KAMBUA
KAMBUA

Mwanamziki wa nyimbo za Injili Kambua, alifunguka waziwazi na kuongea kuhusu biashara ambayo marehemu baba yake, Professor Manundu alikuwa anafanya.

Babake Kambua alikuwa mwenye kampuni ya Tabibu Cures International ambayo ilikuwa kampuni iliyouza dawa za miti shamba na amekataa madai kuwa baba yake alikuwa mganga.

Katika mahojianio hivi juzi, Kambua alisema

"WE ARE AN ALTERNATIVE MEDICINE PROVIDER AND NOT WAGANGA AS OFTEN MISINTERPRETED. WE USE NATURE TO ADVISE PEOPLE ON HOW THEY CAN SUPPLEMENT THE MODERN MEDICINE WITH DIET AND WELL LIVING."

Zaidi ya hayo, mwanamziki huyu alimsifu sana baba yake na kusema kuwa yeye na ndugu yake ndio wanaoiendeleza biashara ya baba yao.

''MY DAD WAS A SPECIAL HUMAN BEING. THERE WAS NO IMPOSSIBILITY IN HIS LIFE. HE MADE EVERYTHING SEEM SO EASY, SO DO ABLE THAT SOMETIMES I WONDER HOW I MANAGED TO DO IT ALL. NO DOUBT HE LEFT TOO BIG A PAIR OF SHOES FOR ANYBODY TO EVER FIT IN.

MY BROTHER AND I TOOK OVER TABIBU CURES MINISTRIES AND MANY TIMES, WE KEEP REFERRING TO ‘HOW DAD WOULD HAVE DONE THIS OR THAT’. I MISS HIM A LOT BUT I AM GRATEFUL FOR THE TIME SPENT WITH HIM.''