Hashtegi #KenyaUnderRuto yawasha moto Twitter, aonywa asikanyage Magharibi

EGkba6mXUAEwH25
EGkba6mXUAEwH25
Wakenya katika mtandao wa Twitter wanatoa maoni yao kuhusu jinsi Kenya itakavyokuwa chini ya uongozi wa naibu wa rais William Samoei Ruto.

Hizi hapa baadhi ya jumbe;

"What else will you expect from this man who lies in broad daylight?? Youths don't be fooled again your vote is your shield!! ...." Frank Mtetezi

Soma hadithi nyingine:

"Corruption will be made a commandment to all Public Servants. ....." Voice of Wanjiku

"DP William Ruto often surprises me. He’s been running for President against himself the last 2 yrs & is still campaigning 3 yrs ahead of elections. His supporters claim he has won against imaginary candidates ...." Tony Gachoka.

Soma hadithi nyingine:

"Aki Kenyans where did we go wrong now instead of 2022 Kenyans have already predicted 2036. Waititu appointed as the finance CS walai Kenya sihami......" David son Jr

Haya yanajiri huku viongozi wa eneo hili wakimuonya William Ruto kutokanyaga eneo hilo baada ya wakaazi kutoka jamii ya wabaluhya kufukuzwa kule Nandi.

Cleophas Malala aliongoza wabunge hao sita hao huku akisema Ruto hatakaribishwa iwapo wale waliofurushwa makwao hawatarejeshwa katika ardhi yao.

Ruto amekuwa akizuru mkoa wa Magharibi mara nyingi na anatarajiwa kuhudhuria mazishi ya mke wa kwanza wa seneta wa zamani wa Kakamega Boni Khalwale huko Ikolomani Jumamosi.