Mwanamziki Eddy Kenzo amuomba msamaha aliyekuwa mkewe baada ya kuachwa

Eddyv-Kenzo-vs-Rema-696x418
Eddyv-Kenzo-vs-Rema-696x418
Uhusiano kati ya Eddy Kenzo na mkewe Rema Namakula wa miaka tano umeisha.
 Wawili hawa wana mtoto mmoja na walitengana mwaka huu  mwezi wa nane.
Rema  alitoka nyumbani na kuolewa kama mke wa pili wa bwana Ssebunya Hamza ambaye ni daktari katika hospitali ya Mulago jijini Kampala.

Inasemekana ndoa kati ya Kenzo na Rema ilikuwa na panda shuka si haba kwani katika wimbo Siri Muyembe (Mimi si embe),ambao aliutoa juzi juzi, binti Rema aliimba kuwa amempenda mwanamume ambaye haregeshi mapenzi yake.

Maneno ya wimbo huu ni:

I’m not a mango that I’m going to ripen, neither am I a pawpaw. If you are not seeing my worth, if you are not taking good care of me, others will take me. Then you will realise that you were actually the one on the wrong.

I decided to stay because of love. Wherever I pass, I leave men in want of me. I don’t entertain them. But you’re sleeping. Wake up. Don’t cry for me when I am taken.”

I have failed to keep with your ways, I am tired of it. Don’t leave me in a sea of temptation, it might tempt me and I go too far.

Rema na mume wake daktari walifanya Nikah yao miezi sita iliyopita. Nikah ni kiislamu kumaanisha agano la ndoa.
Sherehe ya ndoa  ya wapenzi hawa itafanyika mwezi ujao katika nyumba ya wazazi wake Rema.

THE FAMILY OF THE LATE MUKIIBI SSEMAKULA AND THE LATE HAMIDAH NABBOSA OF NYENDO MASAKA, WITH GREAT PLEASE, INVITE *YOU* TO THE INTRODUCTION OF THEIR DAUGHTER REHEMA NAMAKULA, DUE NOVEMBER 1, 2019,’ Kadi ya harusi ilisema.

Kupitia mtandao wa Kijamii, Eddy Kenzo alifunguka kuhusu ndoa yake na Rema na kusema kuwa, kuna wakati ambao alilazimika kuhama kutoka kwenye nyumba yake ya ndoa ambayo alikuwa ametia bidii kuijenga.

Mwanamziki huyu ajulikanaye sana kwa wimbo wake wa Sitya loss alizidi kusema kuwa, kwa sasa yuko shwari kabisa kwani anaelewa fika kuwa, kila kitu kinachotendeka kina sababu.

''STRONGER THAN EVER. EVERYTHING HAPPENS FOR REASON ALHAMDLILLAH 🙏,’

Vilevile alizidi kusema,hafai kuwa anaandika maneno kwenye mtandao wa kijamii lakini mashabiki wake ni familia yake na kusema kuwa, anaomba msamaha kwa kuwatia aibu mashabiki wake kwani hakukusudia kufanya mambo yatendeke hivyo.

''I’M NOT SUPPOSED TO WRITE ON SOCIAL MEDIA FOR NOW BUT MY FANS ARE MY FAMILY . I’M VERY SORRY TO ALL OF YOU MY FRIENDS I DIDN’T MEAN TO DISAPPOINT YOU. I’M SO SORRY🙏.''Eddy Kenzo alisema.

Vilevile, alizidi kusema kuwa, yeye ni mwanamume mwenye nguvu na itambidi akubali yaliyotendeka na kuendelea na maisha yake.

''I’M A STRONG PERSON NAYE WALIWO EKISUUKA BANANGE SIMANYI OBA I DESERVE ALL THIS NAYE NSABA MUNSONYIWE.