Mpango A-Z wa Akothee kuitema Kenya na kuwa raia Nigeria, asimulia

images (2)
images (2)
Staa wa kike Akothee sasa anasema kuwa ataitema nchi yake na kuhamia nchi ya Afrika Magharibi, Nigeria.

Kupitia mtandao wa Insta, Akothee ametangaza nia ya kuhama Kenya.

https://www.instagram.com/p/B3_tpjAHbkk/

"Nahisi kuwa kuna upekee ndani yangu ambao mashabiki wangu wa Nigeria wamegundua, ndugu zangu Kenya hawajafahamu kabisa..."

"Nina talanta kibao, napenda lugha za wananaigeria...'

"Napenda sana lugha yao...napania kujiunga na shule inayofunza kizungu cha huko nitakapohamia nchi hiyo..." Alichapisha Akothee.

Aidha, staa huyu amesema kuwa raia wa nchi hiyo ni wakweli zaidi kuhusu muziki wa wasanii wao.

"Wengi wao watakuambia ukweli kuhusu muziki wako..." Akothee

Akothee kwa sasa anatamba na kibao freshi cha Rollam